Nimegundua wachangiaji wengi (sio wote) watakuwa around 30s na wanatumia hisia kuliko fact.
Ukitaka kupata picha ya hii vita, inabidi urudi 2007.
The U.S. General then Wesley Clark alisema kabisa, watavamia/kuvuruga nchi 4 middle East (Lebanon, Iraq, Syria na Iran) na tatu Africa (Libya, Somalia na Sudan. Ukiangalia kwenye list hii, aliyekuwa amebaki ni Iran, so hiyo ishu ya Nuclear ni kama hadaa
Pia suala lingine, kampuni zinazoongoza kwa faida ni (Military Industrial Complex and pharmaceutical)
Ili wauze silaha na kupata faida, lazima watengeneze vita, hakuna Vita bila scapegoat.
Wenye hisa nyingi kwenye military industries ndio lobbyists na wachangiaji wa vyama na wagimbea+wanasiasa
Na waliokuwa wanapush hii vita ni Jewish kupitia AIPAC.