City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la lavizan Tehran
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la lavizan Tehran
Hili bandiko limeeleza na kuuliza mambo ya msingi mnoo!! Watetezi wa bibi na trampu mna la kujifunza hapa
Kazi kubwa sana U.S atakutana nayoWairan wana ujasiri wa kijamii na kiutamaduni. Ni watu ambao wanasimamia kile ambacho wanakiamini ni haki zao na uhuru wao wa jamii kwa ujumla.
Hawana tofauti na wayemen.
Nchini Iran raia million 7 wamejitolea kupambana na uvamizi wa ardhini dhidi ya USA.
Jamaa target yao ya kwanza tu ilikuwa shule ya watoto vichwa vya hawa watu sijui vimejaa ulevi ganiTayari walishaanza , sasa unalenga chuo kikuu, huko si kuzidiwa?