Washatubu huko 4 tayari perdayNdege 3..? Ndani ya siku moja..
Washatubu huko 4 tayari perdayNdege 3..? Ndani ya siku moja..
We qouma acha ujinga💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mwa jamaran
Hivi huyu Marekani aliye shindwa kuwalinda washirika wake dhidi ya taifa dogo kama Iran ndo anawadanganya akina Japan,korea,Austiralia,taiwan,na uphilipino kuwa ataweza kuwalinda dhidi ya china na korea kasikazini?
We qouma acha ujinga
Ikitokea vita ya ardhini askari wa US morale yao ipo chini kwa kufahamu fika wanapambana vitani kwa sababu ya maslahi ya Israel na vita isiyo na msingi wala maana, huku askari wa Iran wakifahamu wanapambana kulinda nchi yao dhidi ya adui. Hapo unaelewa nini kitatokea.