Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ground invasion itafanikiwa vipi kama tu raia wa kawaida wamejiandaa kuwakabili na wanasakanya kila mahali mlipo hapa bado sijagusia wanajeshi rasmi wenye mafunzo.


View: https://x.com/i/status/2040127680780157428
Ni kipi kilicho waaminisha wa Marekani kuwa asilimia kubwa ya Wairan wapo upande wao na watawapokea kwa nderemo na vifijo ?
OHB11 hearly Khaibar baba-mwajuma ITR and 100 others

😄😄😄 Nilishasema tangu mwanzo wa vita hii vita itamuacha uchi USA now mambo yote hadharani
 
Walikuwa hawajashtukia mchongo kuwa anacho kifanya ni propaganda Wajua USA wako vizuri sana kwenye propaganda ila Sasa Dunia ya Sasa technology inaonekana imefanikiwa Kwa kiwango kikubwa sana kuishinda propaganda mambo mengi yapo wazi
Hivi huyu Marekani aliye shindwa kuwalinda washirika wake dhidi ya taifa dogo kama Iran ndo anawadanganya akina Japan,korea,Austiralia,taiwan,na uphilipino kuwa ataweza kuwalinda dhidi ya china na korea kasikazini?
 
Nilikuwa namkuza sana U.S kuliko uwezo halisi sisemi hana nguvu lakini binafsi nilimkuza zaidi kuliko uwezo na nguvu zake maybe silaha zake na utitiri wa military bases ulinichanganya ila nilicho gundua military bases ni useless mbele ya wababe wenzake, waliomkaribisha Marekani kuwalinda kuna somo wamepata kupitia hii vita inayo endelea kuwa wapo uchi
Hayo mabase base Hayana umehimu wowote ule katika technology iliyopo Sasa wewe unajaza mi-base kibao kwanza kuiendesha ni gharama kubwa wenzako wana invest kwenye missile wana kufuata huko huko ulipo 😄😄😄🙌

Na baada ya hiyo vita kuisha Iran wata adjust missile zao zitakuwa ni ICBM wakimchokoza Tena anakufuata huko huko new York 😄
 
🚨🇮🇷🇺🇸 BREAKING: Iran SHOT DOWN/HIT 6 U.S. aircraft yesterday

🚀 Shot down an F-15 jet
🚀 Shot down A-10 aircraft
🚀 Struck an F-16 fighter jet
🚀 Struck 2 Black Hawk helicopters
🚀 Forced KC-135 emergency landing

🤣 But Trump still claims Iran ‘ran out’ of air defenses


View: https://x.com/i/status/2040293162913034666
 
Wenyewe mnadai Iran wananchi wake wanaipinga serikali, hizo Black Hawk, wana vijiji wamezitungua na magobole yao,ndio mjue zilikuwa Propaganda. Halafu ndio uingize jeshi la ardhi,Iran wanawasubiria kwa hamu.
Screenshot_20260404_081304_Chrome.jpg

Mzee na gobole lake anazimimina, akisaidiana na wanavijiji wenzake(Tiktok acc ya Daily Mail).
Screenshot_20260404_083234_TikTok.jpg
 
Back
Top Bottom