Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

I
Pia kuna kitu kuhusu Rubani wa Jana si bure, Ndege kibao zimepigwa toka vita vianze why Rubani huyu wadispatch Hellcopter mbili na A10? Nazo zote zikaliwa kichwa? Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
Marekani walipomkamata Sadam Husein (2003) na kisha kumnyonga. Ndiyo sheria za kimataifa zinasema hivyo?

Ubaya ubwela. Wananchi wakimkamata huyo rubani lazima watamfanyia kitu mbaya.
 
‘Black day for US, Israeli air forces’: Iran downs 2 fighter jets, 2 missiles, 3 drones in single day​

Friday, 03 April 2026 10:16 PM [ Last Update: Friday, 03 April 2026 10:18 PM ]

A combo provided by the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) on April 3, 2026 shows the aftermath of various successful strikes carried out by its Aerospace Force against enemy projectiles and drones as well as a warplane belonging to aggressors.
 
Tuache mahaba, MOSSAD plus CIA, ni binadamu, na sifa mojawapo ya binadamu ni kufanya makosa!!!!!!!! Kwenye hii vita wamefanya makosa kibao!!!!

Wale wafia dini (Wakristo), bado mnaamini Israel ni taifa teule?? Wale waislamu, Allah ameonekana?? Watoto wadogo plus kina mama wanakufa na kuteseka halafu yeye anaangalia tu??????

Ukweli mchungu: Mataifa yanaangalia maslahi mapana na siyo dini!!!!!!!!

​

U.S. Responsible for Killing Over 100 Children in Iran School Attack​

​

Over 1,800 Children Killed or Injured as Middle East Conflict Deepens​

Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
Waziri wa Vita wa Marekani alisema kuwa hawatafuata Sheria za vita. Sasa kulia Lia kunatoka wapi?
====
Based on reports from early 2026, U.S. Secretary of Defense Pete Hegseth pledged to "unleash overwhelming and punishing violence" on Iran, dismissing "stupid rules of engagement". Hegseth promised to destroy Iranian infrastructure, aiming to set the pace of the conflict without typical constraints on targeting.
 
Lakini hii vita itaisaidia pia USA kujifanyia self evaluation juu ya ukuu wao kidunia kama bado wanastahili kuendelea...
Hata akijifanyia self evaluation, US haitokuwa kama zamani, nchi za Middle East zimeanza kudiscuss uhusiano wao na US (Qatar wanataka kuviondoa vikosi vyote vya US kwenye ardhi yao),so kuna uwezekano mkubwa,nchi za Middle East zikakataa US weka base kwenye ardhi zao na kuangalia washirikiane kwenye nyanja zipi.

NATO-UK,France,Germany, Spain,Italy,Poland,Austria hawa wote wamekataa kutoa wanajeshi wao kushiriki kwenye vita.Spain na Italy wamenda mbali zaidi kukataa kambi zao na anga zao kutumika kwenye hii vita. UK juzi alikusanya mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi arobaini zinazo tumia mfereji wa Hormuz, watafute jinsi ya kutatua huu mgogoro kidemokrasia,wakati Trump yy anataka watumie nguvu. Ukiangalia hizi move na upinzani anao upata NATO, muundo wa NATO utaenda kuangaliwa upya. Jana tu hapo UN,kulikuwa na majadiliano ya kutumia nguvu ya kijeshi kufungua mlango wa Hormuz, Russia na China walitumia kura yao ya Veto kukataa huku France nae akiungana nao kukataa.

Ukitizama tuu huu ujasiri wa nchi za EU zidi ya US,unaona mpaka sasa US kishapoteza ushawishi na ile nguvu ya kisiasa aliyokuwa nayo na sizani kama ataweza kurudisha ikawa kama zamani.
 
Ni sahihi usemayo mkuu,lakini wasisahau huyo USA ndo mfadhili wao mkuu iwe UN,NATO n.k
 
Ni sahihi usemayo mkuu,lakini wasisahau huyo USA ndo mfadhili wao mkuu iwe UN,NATO n.k
Watatafuta njia nyingine, ukiwasikiliza viongozi wa EU,unaona wamemchoka US. Nchi za EU zina watu,wasomi, tech nk wanaweza wakaa chini wakaja na muundo na vitu vitakavyo wanafaisha wao,hii vita mpaka sasa US ameshapoteza kisiasa. Middle East naona kabisa watakavyo watimua US,maana hasara waliyo ipata ni kubwa sana.
 
Ninachowapendea Iran Jana japo wamefanya KAZI kubwa Sana kutungua hizo Ndege hawajasahau Ile Ibada yetu ya usiku miji 7 Israel Jana imepigwa na sehemu si chini ya 17 zimepigwa.

Pia kuna kitu kuhusu Rubani wa Jana si bure, Ndege kibao zimepigwa toka vita vianze why Rubani huyu wadispatch Hellcopter mbili na A10? Nazo zote zikaliwa kichwa? Na sasa Marekani wanaforce Iran wafuate Sheria za kimataifa Wasim treat vibaya mateka?
Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
 
US alianza kuanguka pale kwenye September 11. Hujuma dhidi ya US zilianzia pale.
Wanapaswa wajitafakari,hii ni fursa nzuri ya kujifanyia mageuzi kama taifa ili wajiimarishe tena zaidi kijeshi. Jeshi limekaa miaka mingi bila kupractice..hata hizo ndege hazijatumika sana kwenye mission ngumu.

Hivyo Alichofanya Trump ni kitu kizuri sana,kama taifa watakaa pamoja bila kujali vyama vyao ili wajiimarishe Zaidi vinginevyo USA itadharaulika duniani kuanzia sasa.
 
Tuache mahaba, MOSSAD plus CIA, ni binadamu, na sifa mojawapo ya binadamu ni kufanya makosa!!!!!!!! Kwenye hii vita wamefanya makosa kibao!!!!

Wale wafia dini (Wakristo), bado mnaamini Israel ni taifa teule?? Wale waislamu, Allah ameonekana?? Watoto wadogo plus kina mama wanakufa na kuteseka halafu yeye anaangalia tu??????

Ukweli mchungu: Mataifa yanaangalia maslahi mapana na siyo dini!!!!!!!!

​

U.S. Responsible for Killing Over 100 Children in Iran School Attack​

​

Over 1,800 Children Killed or Injured as Middle East Conflict Deepens​

Hakuna walichokosea maendeleo ni mazuri
 
Hindustan Times wanaripoti kutoka kwenye gazeti kubwa la US Wall Street Journal ambao walifanya uchunguzi, kwamba kwenye shambulia ktk ubalozi wa US nchini Saudi,kuna maafisa wa CIA waliangamizwa (Japo hawa kutaja idadi).
Screenshot_20260404_115937_Chrome.jpg

View: https://m.youtube.com/watch?v=Z43cA8cUxL8&pp=ugUEEgJlbg%3D%3D
Wanaficha ficha ila wanaumbuka, ndege zao nyingi zilipigwa Kuwait,Saudi na Jordan walikuwa wanakanusha hitilafu za kifundi,haya jana zimepigwa mbili na chopa mbili zimetunguliwa na magobole ya kienyeji ya wanachi.

Haya wakaja kuficha meli yao ya Ford, wenyewe mwanzoni walituambia mlipuko wa kawaida,yaani mlipuko uunguze vitanda zaidi ya mia sita,wanajeshi zaidi ya mia mbili wamejeruhiwa na moto ulichukua masaa 30 kuuzima.Haijapita mda Trump akaropoka jinsi meli yao ya Ford ilivyo shambuliwa,akadai walipigwa mabomu kutoka katika angle 17 tofauti, meli imeharibika inaenda kufanyiwa marekebisho yatakayo chukua miaka miwili.

Wanaficha ficha ila kila siku,ila baada ya mda wanaumbuka.Shambulio la kwenye base yao ya Saudi ndege tatu Aircraft refuelling tanker pamoja na ndege mbili zinazotumika kama Radar zilizokuwa zimepaki zililipuliwa. Shambulio la juzi tena Jordan, kuna ndege mbili za F-15 zilizokuwa zimepaki ziliharibiwa. Ila ndio hivyo wanaficha na media zao za US zinawambua ,mpaka Secretary of Defence alipiga mkwala kuzifungia,vyombo vya habari vinavyo andika ukweli wa habari za vita ya Iran.

Huyu ni mwandishi wa habari Dimitri Lascaris ambaye alikuwa anaripoti matukio ya Iran tena alikuwa na mwenzake wa CNN,anadai sehemu zote ambazo zilizo shambuliwa walizo hitaji kwenda waliruhusiwa kwenda.
Screenshot_20260404_075901_TikTok.jpg

Ila nchi zote za Middle East kwenye base za US na kwa Myahudi kuna media censorship ya hali ya juu.
 
Yani Iran kufanikiwa kutungua ndege mbili tu ndio imekua gumzo na shangwe kwamba wapo vizuri😀😀😀
Wakati viongozi wao wote wameliwa vichwa wamebaki 9 na kila siku wanaisha,ikifika tarehe 30 April Iran itakua haina kiongozi
Viongozi ni watu na watu ni viongozi. Viongozi hawawezi kuisha labda uue raia wote. KUMBUKA Kuna viongozi wengine wapo nje bado wanaweza kuji organize wakawa viongozi. Pia ranks za vyeo akiuawa wa juu anaye fuata kicheo anashika hatamu automatically

Sio kule kwenu alikufa magufuli mmoja tu vikao wiki nzima na wakati Kuna katiba.
 
Back
Top Bottom