kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,791
- 12,225
Mwingine nani wameisha wote?hakuna wa kupokea kijiti tena MzeeIt means nothing hata Mojtaba akiuliwa, mwengine atachukua kijiiti na mapambano yanaendelea, Nchi yoyote Ile ambayo kiongozi yupo mstari wa mbele na yupo tayari Kufa kwa ajili ya wananchi wake lazima Raia wake nao Wawe na Ari ya Hali ya juu.
Umeona Hellcopter za Jana zilivyopigwa? Zimeingia km 50 Tu toka mpakani Eneo ambalo hata Air defence haiwezi kupiga, search ya Rubani na kupigwa Helicopter vyote vimefanywa na wananchi,
Sasa jiulize kwanini wananchi wanakuwa na Moyo kama huu? Jibu ni Hilo viongozi wao wapo tayari Kufa kwa ajili yao, na wao wapo tayari Kufa sababu ya viongozi wao, mwisho wa siku ndio unapata Taifa kama Iran ambalo lina Honor na pride.
Mpaka waasi wa kibalouch na kurdi ambao hawaikubali Serikali ya Iran kwa Muda mfupi wamesitisha mapigano, wamekataa kuiunga mkono USA na Wana defend Nchi Yao, ugomvi wao uta resume USA na Israel akipigika Kwanza. Mambo kama haya hutayakuta kwa mashoga huko ambao wapo busy sasa hivi chini ya mabunker wakirifuana mitaro.
Mkakati ni kubakiza viongozi watatu tu kwa ajili ya kuwepo kwenye meza ya mazungumzo
Leo kaliwa kamanda wa jeshi la majini tena,mmoja mmoja wanaisha
Ngoja vipigo viendelee kwa miezi 2 tena mbele watu watakua washatepeta wajipeleke kibra wenyewe