ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Iran ilipo sema imeitungua Marekani walikanusha Iran ilipo onesha ushahidi wa mabaki eti ndo wamekuja kukili.Marekani imethibitisha kuwa ndege yao imetunguliwa ndani ya Iran!
Iran ilipo sema imeitungua Marekani walikanusha Iran ilipo onesha ushahidi wa mabaki eti ndo wamekuja kukili.Marekani imethibitisha kuwa ndege yao imetunguliwa ndani ya Iran!
Now wanasema !!!Marekani imethibitisha kuwa ndege yao imetunguliwa ndani ya Iran!
Technology Ina waumbua sana 😄Iran ilipo sema imeitungua Marekani walikanusha Iran ilipo onesha ushahidi wa mabaki eti ndo wamekuja kukili.
Mlokole mavi katika ubora wakoMarekani wameingia kusini mwa Iran kutafuta eneo ambalo ndege ya Marekani vita ya Marekani F-15 imeanguka kwa sababu zisizojulikana hadi sasa (Unknown causes) imeelezwa rubani bado wako salama kabisa kwahiyi wamekwenda kuwachukua.
🫵 Kitu kinachonishangaza ni kwamba ndege zaidi ya 3 zipo katika anga la Iran, kwamba hadi sasa hakuna mfumo wowote ule wa anga ulioweza kuzidungua, tena katika ndege hizo baadhi ya ndege ni Helicopter ambazo ni rahisi kabisa kuzidungua.
Sasa kama Iran waliweza kudungua ndege ya F-15 wanashindwaje kudungua ndege hizo kubwa (Ya mafuta na hizo Black Hawks Helicopter) tena zikiwa zinasafiri katika umbali wa chini unaoruhusu kuonekana.
➿FACT CHECK:
Bado nashindwa kuamini kwamba ndege hii ilidunguliwa na Iran imani yangu inaniambia kuwa ndege hii ilipata hitilafu tu na kupelekea kuanguka.
𝙈𝘿
Kwa sababu zisizojulikana 😂Marekani wameingia kusini mwa Iran kutafuta eneo ambalo ndege ya Marekani vita ya Marekani F-15 imeanguka kwa sababu zisizojulikana hadi sasa (Unknown causes) imeelezwa rubani bado wako salama kabisa kwahiyi wamekwenda kuwachukua.
🫵 Kitu kinachonishangaza ni kwamba ndege zaidi ya 3 zipo katika anga la Iran, kwamba hadi sasa hakuna mfumo wowote ule wa anga ulioweza kuzidungua, tena katika ndege hizo baadhi ya ndege ni Helicopter ambazo ni rahisi kabisa kuzidungua.
Sasa kama Iran waliweza kudungua ndege ya F-15 wanashindwaje kudungua ndege hizo kubwa (Ya mafuta na hizo Black Hawks Helicopter) tena zikiwa zinasafiri katika umbali wa chini unaoruhusu kuonekana.
➿FACT CHECK:
Bado nashindwa kuamini kwamba ndege hii ilidunguliwa na Iran imani yangu inaniambia kuwa ndege hii ilipata hitilafu tu na kupelekea kuanguka.
𝙈𝘿
View: https://x.com/BTnewsroom/status/2039738442368549294?s=20
huu utawala wa awamu hii ni kama viongozi wa hapa kwetu afrikan
Samahani, sifahamu uelewa wako coz nidanganye ili iweje?? Unasema umeisoma link, umeisoma yote??Nimepitia hiyo link hakuna popote walipo sema kuna majeruhi 6,500 porojo zako tu unatusumbua nazo!!!
Kwahiyo unabishana na wamarekani wenyewe wanaodai imedunguliwa? Usiweke hisia sana tumie akili.FACT CHECK:
Bado nashindwa kuamini kwamba ndege hii ilidunguliwa na Iran imani yangu inaniambia kuwa ndege hii ilipata hitilafu tu na kupelekea kuanguka.
Mbona hushangai ndege kubwa ya kijasusi ya USA inayokusanya data nyingi sana kwa eneo kubwa sana ilipigwa kombora na haikua hata kwenye anga la Iran ila Saudi Arabia.Kitu kinachonishangaza ni kwamba ndege zaidi ya 3 zipo katika anga la Iran, kwamba hadi sasa hakuna mfumo wowote ule wa anga ulioweza kuzidungua, tena katika ndege hizo baadhi ya ndege ni Helicopter ambazo ni rahisi kabisa kuzidungua
Sababu zinajulikana, ni surface to air missiles za Iran. Acha kuwa delusional, ishi kwenye uhalisia.Marekani wameingia kusini mwa Iran kutafuta eneo ambalo ndege ya Marekani vita ya Marekani F-15 imeanguka kwa sababu zisizojulikana hadi sasa (Unknown causes) imeelezwa rubani bado wako salama kabisa kwahiyi wamekwenda kuwachukua.
acha tuone itakuajeNa Wasiwasi ichi kizee Trump kinaweza kufa kwa Presha ngoja tuone kama katafika mwisho wa Mgogoro na Iranian.