Hii vita ndio ya mwisho Israel na Marekani kuiangamiza Iran kushindwa kwao sasa basi Iran itajimilikisha rasmi ubabe wa mashariki ya kati kama ilivyo kwa U.S, Russia,China na Iran itaingia rasmi katika league hiyo kila taifa litajimegea rasmi eneo lake/ukanda wake rasmi wa kuonesha ubabe.
Kwa sababu vita viki kamilika bila Iran kuangamizwa nchi ya Iran itaibuka na nguvu maradufu tofauti na ilizo nazo sasa, nguvu katika sekta zote.
Kwa ufupi hii vita Marekani na Israel kushindwa kutimiza malengo yao yatamtengeneza Iran kuwa mkubwa zaidi ya sasa.