Mimi siyo muislam kaka, ni mkristo, na nimekaa Israel kwa miaka 2. Najua jinsi nchi ile ilivyo, sidanganywi na mtu, sipo Israel kwa sasa lakini nina marafiki wengi waki-jews, rafiki zangu wote wana misimamo inayopingana na Netanyahu na wale wachache ambao ni Orthodox jews ambao wanafuata Halakha (Msimamo wenye mrengo mkali wa kulia, na si wengi kwa namba yao) wengi wao wanampinga Netanyahu na sasa opinion polls imebadilika asilimia 46 tu ya waisrael wote wanaona hivi vita vina faida kwa nchi, hawa ni kutoka asilimia 67 mwezi mmoja uliopita. Wewe unajua huyu Netanyahu amesababisha Israel kuwa ya nchi ovyo kuliko ilivyokuwa? Au unapanua domo tu bila kuwa na idea? Wewe unaweza kuwa mkristo kama mimi.....SAWA, je unajua hata sisi wakristu tunabaguliwa huko Holy Land? (Sidhani kama umefika huko, ungefika na ukaona unavyobaguliwa kutokana na rangi yako na dini yako ungeshangaa na kufadhaika mno). Unajua juzi tu, wiki iliyopita jumapili, Cardinal wa Jerusalem, Pierbattista cardinal Pizzaballa alikatazwa kufanya misa jumapili ya Matawi (Palm Sunday)? Hao wanaotetea waisrael hasa maseneta ya Marekani wakaingilia kati, but it was too late.
Unaelewa kuwa watu wa dini nyingine hata hao wakristo wanabaguliwa huko Israel? Isipokuwa jews wenyewe, tena jews wale weupe, wenzangu (Falasha) wanaonwa kama watumwa, sembuse wewe mwenye ngozi nyeusi? Endelea kujifanya myahudi mweusi, hawa jamaa ni wabaya mno....HAWAFAI. Kama walimuua Jesus christ, aliyekuwa myahudi mwenzao, watakuthamini wewe? Hivi mnaelewa kweli au mnadanganywa huko mnakokuwa?