Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuomba usaidizi nato haimanishi Us kaishiwa ila nikatika mambo yao yaumoja afu inabid utambue USA hajaomba wanajeshi au zana ameomba kambi na airspace kwenye izo nchi za NATO, malengo makubwa ya marekan na Israel nikuidhoofisha Iran kwamaslahi yake Iran ilishakua kambale pale middle east that why Trump anatamba kutaka kuirudisha Iran kwenye zama zamawe nakwel Iran kwenye hili anapoteza leo bunker buster zimeharibu kabisa mji wakinuclear wachini yamilima, daraja kubwa zaid middle east limebomolewa, miundombinu yakijeshi imeharibiwa, iran navy, iran air force zote zimevurugwa
Malengo ya USA sio kuidhoofisha Iran hayo ni malengo Yako wewe

Wote tunaofuatilia hii vita tangu inaanza USA na Israel walisema kwamba malengo yao ni kubadilisha utawala wa Iran( regime of change, )Naona unaleta mahaba kwenye mambo yanayo hitaji fact , .

Sisi mashabiki wa Iran hatupingi kuwa Iran haipigwi hakuna Mahala tumeshawahi kusema hivyo Tunacho furahia sisi ni ushindani Anao utoa Iran wakati tuliaminishwa kwamba Iran ni dhaifu,

Umesema kwamba USA wanapo iomba NATO hawaombi vifaa vya jeshi !? You must be kidding fuatilia Tena mkuu inaonekana huna data Vizuri au mahaba Yana kusumbua 🤣
 
Hii vita US akijitoa Myahudi itabidi awe mpole tu na US mwenyewe mda si mrefu anajitoa kwani vita inampa hasara, hata Rais mwenyewe, Secretary of Defence, Pentagon na Viongozi wanavurugana,wanaongea vitu tofauti, maara General ambiwe ajiuzuru,mara huku mwanasheria mkuu nae aondolewe, mara Mkuu wa kitengo cha Counterterrorism ajiuzulu, mara Trump awalaumu NATO na NATO mwenyewe wamemlia buyu,Congress Trump hawataki kabisa kusikia upuuzi wake wamenyima USD bil 200 alizoomba kwa ajili ya hii vita.

Myahudi hawezi kufanya chochote bila msaada wa US kwenye hii vita na US mda si mrefu anarusha taulo kwani dalili zimesha jionyesha ni swala la mda na Myahudi ataomba meza ya majadiliano nae mda si mrefu.
US hawezi kumuacha Muisrael.

Pia nakiri Iran ni taifa kubwa lenye nguvu na silaha nyingi, hivyo kumshinda inatakiwa maarifa mengi. US na Israel wameonyesha uthubutu.
 
Ni sawa na bondia anayepigana huku amefungwa mikono yote na pingu lakini anampiga mpinzani wake vichwa kila anapomsogelea.Miaka 47 wamewekewa vikwazo lakini bado wanawatwanga.....Je wasingewekewa vikwazo????????
Indeed 🎯💯
 
Wakuu samahani kwa nini waIran wengi wanajiita "We are the nation of Imam Hussain" nimeona sana hii wakiitumia pia wakiunganisha "We are the nation of Martyrdom" kuna uhusiano wowote ?

Anayejua lolote kuhusu hizi sentensi mbili nilizoweka hapa anaweza share maarifa yake tafadhali
Imam Hussain ni mjukuu wa Muhammad SAW kupitia binti yake Fatma na Ali, Caliph wa Nne
Walizaliwa wawili, Hussein na Hassan

Kwa imani ya madhehebu ya Shia, Uongozi wa Uislam ulipaswa kufuata familia ya Muhammad SAW yaani Ahlul Bayt, the first house
Caliphate zote kuanzia ya kwanza ya Abu Bakar, Omar mpaka wakati wa Caliphate ya Othman, familia ya kina Ali hawakuzikubali kwa sababu waliona hazikutoka kwenye familia, ndiyo chanzo cha Sunni (wanaomfuata Mtume) na Shia (wafuasi wa Ali)
Othman aliuawa na ukoo wa Kharijites, uongozi wa Uislam ukaenda kwa Ali na kuwa Caliph wa nne (na Imam wa kwanza wa Shia) ambaye naye aliuawa
Baaada ya kufa kwa Ali uongozi ukaenda kwa Hassan, mtoto wa Ali, kuwa Khaliph wa Madina (Imam wa Pili wa Shia) ila akaamua kuachia ukoo wa Muawiyaa, au Umayyad.
Hussein hakukubali akaamia Kufa, Iraq ili kuendeleza mapambano akiupinga utawala wa kidikteta wa Yazid Muawiyya na akawa Imam wa 3 wa madhehebu ya Shia akitawala kutokea Iraq
Wanaume wakamuita aje apambane na hiyo Umayyad dynasty maeneo ya Kufa ila hakufika akapigwa siege maeneo ya Karbala wakapigana vita na Hussein akauwawa baada ya kuzidiwa na majeshi ya Muawiyya/Umayyad
Hapo ndio ile concept ya martyrdom (kufa shahidi) inapotokea kwa Hussein kukubali kufa kuliko kuwa chini ya utawala wa Yazid Muawiyya kama alama ya uzalendo na kupinga utawala wa kidikteta kama ilivyo kwa wapalestina wa leo na kauli wanayotumia Iran kupinga aggression ya US/Israel
Iran ndiyo inaongoza kuwa na waIslam wengi wenye madhehebu ya Shia, hivyo kwao kila kitu kuhusu Hussein kinatukuzwa sana.
Hata Tz, madhehebu ya Shia huwa wanaadhimisha hiyo martyrdom yake siku ya Ashura wanavaa nguo nyeusi, wanaandama na wanatoa damu mahospitalini kama ishara ya kuenzi damu ilomwagika wakati wa kifo cha Hussein

Islamic Revolution ya 1979 ikatumia sana hiyo history kama synonymous na mauaji ya Imam Hussein, Karbala kuendeleza itikadi ya Shia
Supreme Leader, Ayatollah Khomeini, kabla ya huyu Ayatollah Khameneni ni direct descendant wa Imam Hussein kwa generations zaidi ya 25 nyuma ndiyo maana alikuwa anasikilizwa na waIran kwa level ya Imam au Caliph wa Shia

Ndio maana Iran wanajiita Nation of Imam Hussein na kauli kama hizi

“ If we feared death, we would not have entered this war, nor would we have offered our finest men as martyrs. Death is an honor for us as we defend our homeland...better than dying subjugated to you, with our homeland under your guardianship and rule.
We were born free, and we will die free. We will not submit to child rapists, blood merchants and oppressive rulers." - Abbas Arragchi, FM
 
Kuomba usaidizi nato haimanishi Us kaishiwa ila nikatika mambo yao yaumoja afu inabid utambue USA hajaomba wanajeshi au zana ameomba kambi na airspace kwenye izo nchi za NATO, malengo makubwa ya marekan na Israel nikuidhoofisha Iran kwamaslahi yake Iran ilishakua kambale pale middle east that why Trump anatamba kutaka kuirudisha Iran kwenye zama zamawe nakwel Iran kwenye hili anapoteza leo bunker buster zimeharibu kabisa mji wakinuclear wachini yamilima, daraja kubwa zaid middle east limebomolewa, miundombinu yakijeshi imeharibiwa, iran navy, iran air force zote zimevurugwa
Mkuu unajichosha tu kuwaelimisha hao waliokimbia shule. Hapo hakuna wanachoelewa zaidi ya ubishani wa kishamba.
 
US hawezi kumuacha Muisrael.

Pia nakiri Iran ni taifa kubwa lenye nguvu na silaha nyingi, hivyo kumshinda inatakiwa maarifa mengi. US na Israel wameonyesha uthubutu.
Yeah, US na Israel bado karata zipo upande wao, bado mashambulizi yao yana impact nzuri zaidi upande wao.

Ile kasi waliyoanza nayo Iran kushambulia kila sehemu naona imepungua.

Huu utawala wa Kiislamu utaenda kuanguka pale Iran.
 
Naona Intelijensia ya Marekani leo inakiri kuwa Iran bado inamiliki Launchers za kutosha tu.

Naona hawa kila siku wanabadili stori
Hao hawaeleweki kama mwanamke mjamzito mara Leo maneno haya mara kesho hivi mara vile

Mara Tumesha mdhoofisha adui mara tumeshinda vita lakini Cha ajabu wanaendelea kupewa mkong'oto
 
Yeah, US na Israel bado karata zipo upande wao, bado mashambulizi yao yana impact nzuri zaidi upande wao.

Ile kasi waliyoanza nayo Iran kushambulia kila sehemu naona imepungua.

Huu utawala wa Kiislamu utaenda kuanguka pale Iran.
Utawala wa Iran hauwezi kuanguka wewe Muisrael feki mweusi. Kwa taarifa yako hawarushi makombora mengi kwa sababu wameshadhoofisha makombora ya ulinzi ya Marekani na ghuba, Kwa hiyo wakirusha kombora moja kwa siku au kwa siku tatu inatosha kabisa kuleta mtafaruku. Soma tahariri mbali mbali (Oped) kwenye vyanzo vinavyoeleweka ambavyo vina references. THAAD, David Slings na Iron dome makombora yake ya ulinzi yamekaribia kwisha na kutengeneza moja inachukua muda. Iran's strategies ilikuwa kuichosha hizo system za ulinzi wa anga, kitu ambacho kimefanikiwa sana, waisrael na wamarekani wamebakiza machache, hivyo akipiga kombora moja hasa zile zenye "cluster" wanayaacha yaanguke.....HAKUNA JINSI.
 
Ndivyo mnavyodanganyana huko kwenye misikiti yenu???
 
Malengo ya USA sio kuidhoofisha Iran hayo ni malengo Yako wewe

Wote tunaofuatilia hii vita tangu inaanza USA na Israel walisema kwamba malengo yao ni kubadilisha utawala wa Iran( regime of change, )Naona unaleta mahaba kwenye mambo yanayo hitaji fact , .

Sisi mashabiki wa Iran hatupingi kuwa Iran haipigwi hakuna Mahala tumeshawahi kusema hivyo Tunacho furahia sisi ni ushindani Anao utoa Iran wakati tuliaminishwa kwamba Iran ni dhaifu,

Umesema kwamba USA wanapo iomba NATO hawaombi vifaa vya jeshi !? You must be kidding fuatilia Tena mkuu inaonekana huna data Vizuri au mahaba Yana kusumbua 🤣

Regime change imeanzia US

Hao chini wote ni Generals wameondoshwa au kufukuzwa kazi
Hii haiwezi kutokea kama kila kitu kiko sawa

Sababu pekee kwa kuwatimua kazi wanajeshi wakuu katikati ya vita ni kwamba walikataa kufuata maagizo.

Sababu pekee respected generals wangekataa kufuata maagizo ya Waziri ni kwamba maagizo hayo yalikuwa ya wazimu au hayatekelezeki au rule of engagement haziruhusu, kama hiyo kuharibu infrastructure za kiraia na kuua bila sababu wakijua ni war crimes

Generals wa Iran wanaendeleza mapambano licha ya kuuawawa kila siku

Kwa hali inavyoendelea hata waziri wa vita atatimuliwa tu
 
Attachments

  • IMG_7207.jpeg
    IMG_7207.jpeg
    197.9 KB · Views: 19
Regime change imeanzia US

Hao chini wote ni Generals wameondoshwa au kufukuzwa kazi
Hii haiwezi kutokea kama kila kiko sawa

Sababu pekee kwa kuwatimua kazi wanajeshi wakuu katikati ya vita ni kwamba walikataa kufuata maagizo.

Sababu pekee respected generals wangekataa kufuata maagizo ya Waziri ni kwamba maagizo hayo yalikuwa ya wazimu au hayatekelezeki au rule of engagement haziruhusu, kama hiyo kuharibu infrastructure za kiraia na kuua bila sababu wakijua ni war crimes

Generals wa Iran wanaendeleza mapambano licha ya kuuawawa kila siku

Kwa hali inavyoendelea hata waziri wa vita atatimuliwa tu
Nam Naam wameshikwa pabaya sana
 
Taifa teule a.k.a wazee wa kudanganya!!!!!!!!!!

Cluster warhead hits central Israel - as figures reveal more than 6,500 Israelis injured since start of war​

In the last 24 hours, 148 people have been taken to hospital as a result of the war with Iran, the Israeli health ministry says.

This takes the total number of people hospitalised since the start of the conflict to 6,594, with 124 people currently receiving care.

10:22

😁😁😁 Wao hawafi ni Ma- terminator 🙌
 
Vipi, jamaa hawajui target za kupiga??

Around half of Iran's missile launchers still intact - report​

Approximately half of Iran's ballistic missile launchers remain intact, despite six weeks of strikes by US and Israeli forces, according to US intelligence assessments, sources have told CNN.

09:40

Back
Top Bottom