yani sio kidogoKobazi leo una furaha eeh?
yani sio kidogoKobazi leo una furaha eeh?
Rudi kalale tenaKwa hiyo hiyo comment ya mtu mmoja ndo inakufurahisha kuona Us imeshindwa
Ila akili zenu mnazijua wenyewe
Hata Mimi nimesema Iran akichomoka kwenye hii vita atakuwa hatari zaidi ya sasaHayo mabase base Hayana umehimu wowote ule katika technology iliyopo Sasa wewe unajaza mi-base kibao kwanza kuiendesha ni gharama kubwa wenzako wana invest kwenye missile wana kufuata huko huko ulipo 😄😄😄🙌
Na baada ya hiyo vita kuisha Iran wata adjust missile zao zitakuwa ni ICBM wakimchokoza Tena anakufuata huko huko new York 😄
Toka umeanza kuandika Tehran inashambuliwa kila siku mkuu kwa akili ya kawaida tu si pangekuwa pameisha!💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kaskazini mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
Naona US kamuomba Iran Ceasefire ya masaa 48,Iran kamkatalia na jana karusha mabomu ya kutosha Tel Aviv na baadhi ya nchi za Middle.
View: https://m.youtube.com/watch?v=HA4j5hBQaXY
Wee unaambiwa na watu wasiopigana hata vita vya mikuki tu na wamasai aje ajulie vita ya ndege wapi zaidi ya propaganda tu.Wakuu si tuliambiwa ndege za Marekani hazionekani kwenye Rada ingekuwaje zinatunguliwa kizembe ?
Kumbe Iran kasoma mchezo kajua weakness ya fighter Jet ya USA engine yake inazalisha heat , akaja na kombora linaloScan na kuSense heat fighter jet ikawa kwisha habari yao , ndege ambayo Mrusi alishindwa huko Ukraine Iran kaweza kutegua kitendawili cha kutoenekana kwenye Rada za kufungua makombora
🚨🇮🇷🇺🇸 BREAKING: Iran SHOT DOWN/HIT 6 U.S. aircraft yesterday
🚀 Shot down an F-15 jet
🚀 Shot down A-10 aircraft
🚀 Struck an F-16 fighter jet
🚀 Struck 2 Black Hawk helicopters
🚀 Forced KC-135 emergency landing
🤣 But Trump still claims Iran ‘ran out’ of air defenses
View: https://x.com/i/status/2040293162913034666
Waswahili wanasema ugumu wa maisha ni kipimp sahihi Cha Akili ndio hiyo SasaHata Mimi nimesema Iran akichomoka kwenye hii vita atakuwa hatari zaidi ya sasa
😁😁😁 Muache pro Israel/USA mwenzako anadhani kwamba hiyo no movie ya chuck Norris the Delta forceToka umeanza kuandika Tehran inashambuliwa kila siku mkuu kwa akili ya kawaida tu si pangekuwa pameisha!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka SanaWee unaambiwa na watu wasiopigana hata vita vya mikuki tu na wamasai aje ajulie vita ya ndege wapi zaidi ya propaganda tu.
We mtu kila siku anapost Tehran inapigwa utamuelewa kweli!
Kila siku moto mkubwa si pangelishapotea eneo lote!