Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Marekani analeta propaganda za Rambo na Chuck Norris kwenye misitu ya Vietnam.

Hii ishu ina harufu ya ufekifeki, na Propaganda ili kuficha aibu ya Marekani ya wiki hii.
Mimi bado naendelea kufuatilia.

Ila picha na video za helicopter za Marekani pamoja na ndege yao zilivyochakazwa inatia huruma sana.

Yote ni kwa sababu ya Trump.
 
Wanasema zilikwama kwenye mchanga. Halikadhalika wanasema waliamua kuziteketeza ili zisikamatwe zikiwa nzima mikononi mwa adui. Hivyo, wakaziharibu wenyewe.
 
Na wala sio kua tunaishabikia Iran, sisi tunapinga uonevu,mara zote tunakua upande wa anaeonewa.

Uko sahihi, kuna watu saikolojia yao huwatuma kumuunga mkono mwenye nguvu, wao wanataka wawe on the winning side siku zote. Hao ndo huwa wanaunga nkono au kushabikia nchi zenye nguvu sana kijeshi LAKINI kuna watu saikolojia yao huwatuma kuunga mkono underdogs, wanyonge, watu wa aina hiyo ndo hutetea nchi zinzaoonewa au pande zinazoonewa.
 
Wangekua ni Iran wangemtelekeza mwanajeshi wao 😄

Jamaa wajinga sana,wanadai wao kufa ni thawabu,yaani wangemuacha huko huko ajifie milimani

Wa Iran ni mahodari kwa kuongea tu hawana lolote
Na yule rubani alikuwa anatafutwa na nchi nzima, itoshe tu kusema hii mission imempunguzia credit Iran.
Kwanza ingekuwa rubani wao ndio kaanguka Israel au nchi za gulf angefia huko kwanza wasingejisumbua kumtafuta
 
Binafsi bado naamini huyu rubani alisaidiwa kujificha na wananchi wa Iran, ambao ninauhakika walilipwa vizuri.
Kingine wanajeshi wengi wa Iran wameuliwa kwenye hii OP
Bado kuna propaganda kuhusu hili kwanza hii ndege ya hao marubani Iran ilipo tangaza kuidungua marekani walikanusha mpaka Iran alipo onesha mabaki yake ndo wakakili.
Leo asubuhi maafisa wa marekani walisema kuwa rubani wa pili ameokolewa na hakuna madhara yeyote ,badae gazeti la woshngiton post likaripoti kuwa kuna ndege mbili zineharibiwa baada ya kukwama ndani ya Iran.
Tena sasa hivi fox news wanasema eti wanajeshi 7 wamejeruhiwa kwenye oparation ya kumokoa rubani.
Ndani ya nusu saa iliyo pita Iran wametangaza kuidungua ndege ta marekani iliyo kuwa ina fanya uokoaji wa rubani ambaye mqrekani amesema amesha patikana kiufupi hawaeleweki.
 
Taarifa zikiwa mgongano bila shaka kuna taarifa za kupikwa.
 
Aisee
 
Binafsi bado naamini huyu rubani alisaidiwa kujificha na wananchi wa Iran, ambao ninauhakika walilipwa vizuri.
Kingine wanajeshi wengi wa Iran wameuliwa kwenye hii OP
Yes waliokuwa wanajimobilize kwenda kumkamata
 
Ila tuwe wakweli na tuache chuki ,jamaa wanawapenda raia wao! Huwezi kutumia nguvu hii kubwa kwa askari mmoja kisa kuogopa kudhalilika!!!


View: https://x.com/Zlatti_71/status/2040658387831021590
Ishu ni kwamba ukimtelekeza mmoja usitegemee wenzake wakubali amri zako za kurusha ndege kwenda vitani. Utakuwa ume create chaos kwenye jeshi lako mwenyewe. Yani waone mwenzako katelekezwa halafu wakubali kuendelea kupokea order kutoka kwako?
 
Sasa kama wewe haukubali tukusaidieje? Suala la kukataa unaweza kuwa unakataa hata ukweli hiyo ni juu yako.
 
Jana usiku/Leo asubuhi kulionekana kitu kinapigwa Anga ya Iran na kudondoka Chini
Your browser is not able to display this video.


Leo asubuhi Iran wamerelease footage ya crash na Aerial view video.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…