Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Namuona kabisa huko ndipo anapo elekea kwa jinsi mambo yanavyo badilika toka mwanzo mpaka sasaLengo la Trump kwa sasa ni kuwavuta kilazima waarabu nao waingie vitani kisha ajitoe kiaina.
Namuona kabisa huko ndipo anapo elekea kwa jinsi mambo yanavyo badilika toka mwanzo mpaka sasaLengo la Trump kwa sasa ni kuwavuta kilazima waarabu nao waingie vitani kisha ajitoe kiaina.
Kadata huyu mzee sio bure kabisa ni mwendo wa mitusi tu saa hiiHaa ila au Trump amechanganyikiwa.
Sasa ndo ameandika mambo gani?
Kivipi au ndo umeshiba zako magimbi TUIran kaivua sana nguo marekan
Adui mchanganye asikuelewe uko seriously au lahHaa ila au Trump amechanganyikiwa.
Sasa ndo ameandika mambo gani?
Nimeona same thing, hao Mafia wa Silaha USA sijui kama watamuacha salama huyu Mzee, maana kinachoendelea sasa hivi negative PR ya Silaha zao.kuna channels zinadai Trump hali yake ya kiafya si nzuri
Yaani! Wao wanajua kila aliye upande wa Iran basi huyo atakuwa ni Muislamu. Duh! 😲😲 Udini umewajaa.Aliye kuambia kuwa Kila anayeishabikia Iran ni muislam ni ninani !? Ficha ujinga wako
Afya ya kiakili?kuna channels zinadai Trump hali yake ya kiafya si nzuri
Ahaa! Yamekuwa hayo tena.
Rais mzima unaandika matusi kwenye mitandao ya kijamii hii haiwezi kuwa saw.Adui mchanganye asikuelewe uko seriously au lah
Yeah pamoja na babaako! Nimesema wamepongeza hayo mambo ya kuwamaliza yametoka wapi? Una funza kichwani?Kwa hiyo Warusi na Wachina ndio walio wamaliza hiyo 29.oct ?
vipi magharibi?Sio kweli mimi binafsi hii migogoro ya geopolitics pale Ukraine nilikuwa upande wa urusi na kule south china sea nilikuwa upande wa china ila hawa wangese ndio waliompongeza samia baada ya mauaji yalitokea 0ct 29 ukiacha nchi za kiarabu hakuna sehemu nyingine walifuata huu mkumbo wa kishenzi toka hapo stance yangu ilibadili mchina na mwenzie mrusi lolote kwenye migogoro ya geopolitics lolote baya liwapate
Majamaa mnamoyo kwel yan daahWacha wajisifie Iranian upendaga sana mtu mwenye Sifa !!!
sio muda tutasikia story tofaut zitapigwa tena izo ndege!!!
Na Marubani watakamatwa tujipe muda tu!!!
Iranian ndio mwisho wa jeuri mwisho wa nyodo✍️