Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

New york times inadai eti ndege zao mbili zilizotumwa kumchukua rubani , Wamarekani waliamua kuziharibu wao wenyewe kwa kuwa ziligoma kupiga kazi, eti kisha wakaagiza nyingine tatu zije zikamilishe mission. Nani anaweza kukubali drama hii kirahisirahisi?.

New york times inadai eti ndege zao mbili zilizotumwa kumchukua rubani , Wamarekani waliamua kuziharibu wao wenyewe kwa kuwa ziligoma kupiga kazi, eti kisha wakaagiza nyingine tatu zije zikamilishe mission. Nani anaweza kukubali drama hii kirahisirahisi?.
Lazima waziharibu mzee kuogopa kuibwa technology wangeipata Iran saiv wangeipeleka maabara
 
Iran naye fala tu, yaani unashindwa kumkamata rubani yupo kwenye ardhi yako siku 2, huyu angekuwa ni rubani wa Iran kaangukia Israel nusu saa isingepta kashadakwa, hii ni kutokana na ubovu wa ujasusi wa Iran😀 natamani hii mission ya kibabe itengenezewe movie fulani kali
Iran hana uwezo, waarabu weusi na kobazi wa humu ndio peke yao wanaamini huo ushuzi
 
Msemaji wa jeshi la Iran.
Hakuna mateka aliyeokolewa, misheni ya US lifeline wakakimbia wakipoteza ndege kubwa mbili na Herikopter 2. Wanadanganya kwa sababu vita hivi ni vita vya kisaikolojia.

Nani mkweli. Us au huyu mwamba ambaye huwa anatangaza kwa ujasiri ambaye bado hajawa located alipo na kutumiwa kiazi.
Siwezi kumuamini huyo msemaji anaongea kama mlevi.
Kama mission failed waseme huyo rubani wamemkamata ili tuamini.
 

Aircraft destroyed during US ‘rescue’ of downed F-15 pilot cost more than $100 million each​

Sunday, 05 April 2026 11:02 AM [ Last Update: Sunday, 05 April 2026 11:02 AM ]


The debris of two Black Hawk helicopters and a C-130 transport plane destroyed by the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), during a rescue mission to retrieve a crew member of a downed F-15 Eagle, Isfahan Province, Iran, April 5, 2026. (Photo via social media)
 
Inasemekana Iran imepewa na Korea kaskazini makombora 500 aina ya Hwang song ni (ICBM)yanapiga km 15000.
Kwa mujibu wa AI ya Google
====
The straight-line (air) distance from Tehran, Iran, to the Pentagon in Arlington, Virginia, is approximately 6,350 to 6,360 miles (10,220 to 10,230 km), based on flights from Tehran Imam Khomeini International Airport (IKA) to Washington Dulles International Airport (IAD), which is near the Pentagon.
 
Kipi ni sahihi wale hawakuwa waandamanaji na yale hayakua maandamano bali mapinduzi hivyo Basij walikuwa sahihi kufanya walichofanya ?

View: https://x.com/i/status/2040801194294095988

Huyu bingwa wa kuropoka mdogo mdogo anazidi kuuonesha mipango yao ilivyokua na how weak they are


Hili ni somo kwa wale waliobeba propaganda za "Khamenei kaua waandamanaji 30000"
 
Hili ni somo kwa wale waliobeba propaganda za "Khamenei kaua waandamanaji 30000"
Kwa kauli ya Trump Basij walikua sahihi hakuna serikali yoyote duniani itachekea mpango wa armed civilian wanaopewa support na foreign power hasa adui kufanya revolution unaweza usiunge mkono awali walichofanya Basij ila kwa hizi kauli za Trump walikua sahihi kuiokoa serikali na nchi kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe tofauti na hali iliyopo sasa
 
Back
Top Bottom