TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,353
- 11,038
Kama kawaida mzee wa kuokoteza habari😃😃kombora kuharibiwa unaita hasara,vyombo vyote vya habari vinaripoti kutunguliwa kwa ndege za USA zaidi ya 6,wewe ulikuwa hujui hili ulikuwa kwenye mazoezi ya kwaya kanisani kwenu Madaba unakurupuka kujifanya una hoja😃Kombora la Iran huko Kermanshah limeharibiwa kabla halijarushwa kuelekea Israel!!!
Iran anaendelea kupata hasara kubwa ya vifaa na watu hasa makamanda wake!!!
Msemaji wa Iran ni muongo unapigaje ndege 2 na marubani na wale waliokuwa ndani ya hizo ndege wakaenda wapi? Wamekimbilia porini?
Iran mwenyewe anapata kipondo cha mbwa-koko kwa makombola yake kuangamizwa!!