Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kauli za matusi kutolewa na Rais si ishara nzuri hata kidogo.
Kuna kitu hakiko sawa, Rais hutumia lugha za kidiplomasia hii ndio kanuni, Sasa ukiona Zinaanza kutumika lugha za kihuni jua diplomasia isha fail na Trump anachoshwa na namna Iran anavyojibu Kila shambulio na jinsi anavyofanya vita kuwa ndefu na ya gharama kubwa.

Iran inatakiwa kuwa na tahadhari kubwa sana kwa sasa maana Trump anaweza kufanya mashambulizi makubwa sana ya liwalo na liwe Ili kuficha aibu.
Wale waajemi naona ni vichaa zaidi mkuu, akifanya hivyo wakitoa makombora yao makubwa mapya wataanza na general uchwara wetu hapo kampala.
 
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
Mkuu kitu kinachoitwa uongo kimo ndani ya DNA yenu? Wanakijiji wanaotumia magobole wanawezaje kushindana na ground forces zinazokuwa supported na fighter jets?
Wanakijiji wenye magobole wataweza vipi kupambana ikiwa juu Kuna fighter jets ambazo ni dakika moja tu zinawasafisha wote? Kweli hatutaki kabisa hata kutumia akili kwenye kuwaza?
 
Trump analaaniwa kila kona leo kwa yale aliyoyasema kwenye mtandao wake wa kijamii!

Ni aibu sana kwa Rais kutumia lugha kama aliyotumia Trump.

Hayuko sawa kichwani.

IMG_9596.jpeg
IMG_9597.jpeg
IMG_9598.jpeg
IMG_9599.jpeg
 
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi imam hussein kazerun
 
Back
Top Bottom