Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
 
Mi mwenyewe nasoma huku naona aibu, huyu ni trump kweli mkuu?.
Kauli za matusi kutolewa na Rais si ishara nzuri hata kidogo.
Kuna kitu hakiko sawa, Rais hutumia lugha za kidiplomasia hii ndio kanuni, Sasa ukiona Zinaanza kutumika lugha za kihuni jua diplomasia isha fail na Trump anachoshwa na namna Iran anavyojibu Kila shambulio na jinsi anavyofanya vita kuwa ndefu na ya gharama kubwa.

Iran inatakiwa kuwa na tahadhari kubwa sana kwa sasa maana Trump anaweza kufanya mashambulizi makubwa sana ya liwalo na liwe Ili kuficha aibu.
 
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
Taifa teule linaendeleaje hahahahaaaaaa

😁😁😁
 
💥💥💥💥
Swali la mwandishi kwa Netanyahu: je Israel inafanyia kazi kuwapa silaha wapinzani wa serikali ya Iran?

Jibu la Netanyahu: ninasema nikiwa na uhakika kuwa kuondoa uongozi lazima kuwe na juhudi kutoka kwa wananchi wa Iran wenyewe, na tumewajulisha hilo. Tuliwaambia msaada upo njiani
Sitakuambia nini kitatokea mwisho wa siku, sitakuambia. Tunajua na tunaelewa hata nyie mnataka uongozi uanguke
Uongozi usipoanguka, utakua dhaifu sana. Lakini ukianguka suluhisho litakua limepatikana
leta update Mkuu😁😁😁
 
Kombora la Iran huko Kermanshah limeharibiwa kabla halijarushwa kuelekea Israel!!!

Iran anaendelea kupata hasara kubwa ya vifaa na watu hasa makamanda wake!!!
Msemaji wa jeshi la Iran.
Hakuna mateka aliyeokolewa, misheni ya US lifeline wakakimbia wakipoteza ndege kubwa mbili na Herikopter 2. Wanadanganya kwa sababu vita hivi ni vita vya kisaikolojia.

Nani mkweli. Us au huyu mwamba ambaye huwa anatangaza kwa ujasiri ambaye bado hajawa located alipo na kutumiwa kiazi.
Msemaji wa Iran ni muongo unapigaje ndege 2 na marubani na wale waliokuwa ndani ya hizo ndege wakaenda wapi? Wamekimbilia porini?

Iran mwenyewe anapata kipondo cha mbwa-koko kwa makombola yake kuangamizwa!!
 

Attachments

  • An_Iranian_ballistic_missile_launcher_in_Kermanshah_knocked_out_.mp4
    2 MB
Duh!

Kumbe jana kwenye operesheni ya kuokoa askari wao hiyo jana, Marekani ilipotezeza ndege mbili!

Naona idadi ya ndege ambazo Iran inazidondosha inazidi kuongezeka.
Ndo ujue thamani ya mwanajeshi mmoja wa American ilivyo kubwa
 
Uvamizi wa ardhini unaambatana na silaha nyingi kama vifaru magari vita nk.
Hiki ulichokiandika hakina uhalisia wowote ule
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
 
Uvamizi wa ardhini unaambatana na silaha nyingi kama vifaru magari vita nk.
Hiki ulichokiandika hakina uhalisia wowote ule
Inategemea na lengo la wakati huo. Iran huwezi kuvamia kama Iraq jiografia inakataa. Huko angalau waliona kuna shamba linakama runway angalau wanapata pa kuanzia. Covert operation kama ya kuchukua hiyo 440 Enriched Uranium iliyokomafichoni haihitaji Humvies wala maroli ya kijeshi.
Upate sehemu ya kushusha makomando na logistics za kifika eneo kupiga show ya haraka na kutoweka na lengo.
Ila ile kubwa ya magari yanakuja kichwakichwa kama Russia kule Bucha kwa sasa Iran bado hajachoka kiivyo, watakufa wengi sana labda wakishalipua maeneo mengi na kupata support ya ndani
 
Back
Top Bottom