City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Iran ana shambulia eneo la miundombinu ya gesi huko Kuwait π₯π₯
Iran ana shambulia kusini mwa tel aviv
Iran kapiga eneo la rishon lezion
Iran ana endelea kushambulia pekah tikva, vifo ni vingi
Hezbollah wame shambulia meli ya kivita ya Israel, na kufanya uharibifu mkubwa.
Iran wame shambulia Israel eneo la Ramat gan, hii ni zaidi ya demolition
Iran wame puuza muda huu vitisho vya trump, kuhusu njia ya hormuz
Wanasema wako tayari kwa vita, na hii ni introduction tu.
Iran ameshambulia eneo la Bahrain kwa mara nyingine, hii ni π₯ π₯
Iran wanasema vitisho vya marekani ni kama pambio za vibogoyo, so hawaoni impact yake.
Iran wamesema wana wasubiri kwa hamu makomandoo wa marekani, ili watoe mafunzo ya namna ya kummaliza beberu mkaidi.
Kuwait wamekiri milipuko zaidi ya 6 kutoka iran, imefanya uharibifu mkubwa katika viwanda vya kuchakata gesi na maji.
Hali ni tete.
Finally na sisi wa Iran wa Oysterbay tumepata mtoa taarifa πHouthis Wana shambulia zaidi eneo la kambi za jeshi la ziada huko Israeli
π€£π€£Iran ana shambulia eneo la miundombinu ya gesi huko Kuwait π₯π₯
Kwani umelazimishwa kusoma mkuu? Tuachie sisi tusome hili ni jukwaa huru.We nawe tumekuchoka,sisi tunaangalia Aljazerra na Bbc ndo kuna source zinazoelewaka,izi habari zako kaa nazo mwenyewe..!