Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Jibu swali lililoulizwa Acha ujinga wa kukwepa MaswaliUlipo anzisha vita ulitaka wauwe viongozi wangapi Hadi sasa?
Jibu swali lililoulizwa Acha ujinga wa kukwepa MaswaliUlipo anzisha vita ulitaka wauwe viongozi wangapi Hadi sasa?
Punguza upumbavu jibu niilicho kuulizaJibu swali lililoulizwa Acha ujinga wa kukwepa Maswali
Wanataka kusikia mazuri tu kutoka iran tofauti na hivyo ni propaganda.Mbona City thunder OKC akileta update kwa style hii mnamtukana matusi ya nguoni,
Takataka🛌Kama wanazuiya kutangaza kipondo cha majengo tu yasipigwe picha 😜😜
na Vifo vya raia wao!!!
vipi watu hawa wataweza kutwambia kifo cha kiongozi wao yoyote!!!!¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿
Kwasasa mpaka Gulf States kumebanwa MEDIA
Kwanini usishangae na kujiuliza ayo maswali !!!!
mbona IRAN media zipo free!!!
Sasa we mlokole unataka vifo vya Viongozi!!!!
Katafute kujua kwanza Marekani na Israel + Gulf States. Kwanini wanauzuia MEDIA
IRANIAN kazi yake kupeleka MOTO 💥💥💥💥💥💥💥 kutangaza vifo sio jukum lao!!!!
Wanaoficha ndio wanajua faida ya kuwaficha misukule yao na Milokole yao kama ww !!!!
unakuja kuuliza Jamii forum badala kuchanganya na akili zako kuoji Israel kwanini wamepitisha Sheria ya kuficha Maafa yao Vifo vyao 💀💀💀💀💀💀
Kwasasa mjinga yoyote bado atagundua kupitishwa na ile Sheria ya kuficha ficha majanga yao!!!
na leo picha za miji ya Israel ilivo pasuliwa na Iranian !!!
na vifo wateule w Mchongo wanatangaza aibu kubwa kwa Wachungaj na Walokole wao✍️
Punguza jazba jibu swali lililoulizwa Iran imeua viongozi wangapi wa Israel au Marekani?Kama wanazuiya kutangaza kipondo cha majengo tu yasipigwe picha 😜😜
na Vifo vya raia wao!!!
vipi watu hawa wataweza kutwambia kifo cha kiongozi wao yoyote!!!!¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿
Kwasasa mpaka Gulf States kumebanwa MEDIA
Kwanini usishangae na kujiuliza ayo maswali !!!!
mbona IRAN media zipo free!!!
Sasa we mlokole unataka vifo vya Viongozi!!!!
Katafute kujua kwanza Marekani na Israel + Gulf States. Kwanini wanauzuia MEDIA
IRANIAN kazi yake kupeleka MOTO 💥💥💥💥💥💥💥 kutangaza vifo sio jukum lao!!!!
Wanaoficha ndio wanajua faida ya kuwaficha misukule yao na Milokole yao kama ww !!!!
unakuja kuuliza Jamii forum badala kuchanganya na akili zako kuoji Israel kwanini wamepitisha Sheria ya kuficha Maafa yao Vifo vyao 💀💀💀💀💀💀
Kwasasa mjinga yoyote bado atagundua kupitishwa na ile Sheria ya kuficha ficha majanga yao!!!
na leo picha za miji ya Israel ilivo pasuliwa na Iranian !!!
na vifo wateule w Mchongo wanatangaza aibu kubwa kwa Wachungaj na Walokole wao✍️
Vita sio ishu ya kuua viongozi,Jibu swali lililoulizwa Acha ujinga wa kukwepa Maswali
Kwa akili yao kuuwawa kwa viongozi siyo vita?Vita sio ishu ya kuua viongozi,
Viongozi wa Iran wanekuwa wakiuliwa na Israel kila siku hata kabla ya vita.
Vita ni mikakati na hadi sasa Iran yuko mbele kwenye mikakati, kabla ya vita na sasa Iran uchumi wake umeimarika zaidi mishahara imeongezwa kwa watumishi.
Upande wa pili wanaandamana maisha kupanda mara dufu, umeuona huo utofauti?
Echolima1
Wanakuwaga kama hawana Akili 😀New york times inadai eti ndege zao mbili zilizotumwa kumchukua rubani , Wamarekani waliamua kuziharibu wao wenyewe kwa kuwa ziligoma kupiga kazi, eti kisha wakaagiza nyingine tatu zije zikamilishe mission. Nani anaweza kukubali drama hii kirahisirahisi?.
Indeed 🎯Na wala sio kua tunaishabikia Iran, sisi tunapinga uonevu,mara zote tunakua upande wa anaeonewa.
Yale masaa 48 yameisha ,Iran wanamsubiria Trump.
Mda si mrefu Iran kaitwanga tena Abu Dhab Petrochemical Plant.
View: https://m.youtube.com/watch?v=O4uyVFnO3Ec
Kuwait Power Plant nayo imelipuliwa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=-MuAnyS2q3E
🤣🤣Kwa hiyo malengo yameongezeka na kua kumuokoa rubani.
Aisee safi sana.
Ndio yale yale Osama kafa amezikwa bahariniKama hakuna kavideo hata ka dakika maja kuonyesha hiyo operation ya huokoaji au hata picha ya rubani akiokolewa. Basi hayo maneno ya marekani kusema wamemuokoa rubani ni PROPAGANDA
🤣🤣
Naona umeamua ku balance mambo….
Ndio yale yale Osama kafa amezikwa baharini
😁😁😁,Kwa akili yao kuuwawa kwa viongozi siyo vita?
Unavailable Iran yuko mbele kimkakati hiyo Mikakati unayoisema wewe ni mikakati gani ya kupigwa kama ngoma kila siku?
Mikakati gani ya askari kutoka nje kuingia nchini mwako na kuwaokoa wenzao na kuondoka salama salimini?
Alipue mara ngapi, siku ya kwanza kalipua shule kaangamiza wanafunzi zaidi ya mia sabini, kapiga kisiwa cha Kharg ambacho huzalisha mafuta,kavunja daraja?Na uzuri mabaki ya bomu lilotumika ya Tomahawk yamepatika na picha Satellite zilionyesha.kupiga mabomu miundo mbinu ya kiuchumi ya UAE sio sawa.
Na ww hujiulizi kwanini hao gulf nations na UAE hawajarusha hata bomu moja Iran?.
Mwanzon wameshambulia kambi za kijesh za marekan zilizoko jiran.
hii ni sawa. Sasa muda huu unapiga airport. Unapiga maghala ya kuhifadhia mafuta. Kwanini?.
sio kwamba USA hawawez kulipua miundo mbinu ya kiuchumi ya Iran. Hapana.
Kuna kitu kinasubiriwa. Na soon utashuhudia.
Unafuatilia taarifa lakini Boss?kupiga mabomu miundo mbinu ya kiuchumi ya UAE sio sawa.
Na ww hujiulizi kwanini hao gulf nations na UAE hawajarusha hata bomu moja Iran?.
Mwanzon wameshambulia kambi za kijesh za marekan zilizoko jiran.
hii ni sawa. Sasa muda huu unapiga airport. Unapiga maghala ya kuhifadhia mafuta. Kwanini?.
sio kwamba USA hawawez kulipua miundo mbinu ya kiuchumi ya Iran. Hapana.
Kuna kitu kinasubiriwa. Na soon utashuhudia.
Hii ni story kujigeuza victim. Hata Israel alivamiwa kwanza na Hamas wakateka raia wa Israel hivyo anaweza kujustify kwamba yeye ndio anaonewa na sasa anajitetea tu dhidi ya Hamas na mtu anaewafadhili ambae ni Iran.Kule Kuna thread niliandika kabisa kua hapa Nipo upande wa Urusi Kwa Sababu Urusi inaonewa na west.
Lengo la Urusi pale kwanza lilikua ni kiwalinda raia wa Donbass ambao wanaongea kirusi na Wana asili ya Urusi, ambao walikua wanapigwa sana na Ukraine.
Lkn Urusi alikua anapinga Ukraine isijiunge na NATO kwa sababu kwa Ukraine kua NATO usalama wa Urusi ilikua mashakani.
Sio Siri USA ilikua inania ovu kwa Urusi ilikua inashinikiza Ukraine awe NATO ili baadae waje kuivamia Urusi na kuigawa vipandevipande,
Urusi ilishitukia mchezo.
Hii nimada nyingine kabisa,ukitaka tuanzishe thread juu ya sababu ya vita baina ya Urusi na Ukraine.
Urusi ilitumia njia zote za diplomasia kuitaka Marekani isiikaribishe Ukraine ndani ya NATO,Urusi iliandika barua kwa nchi zote kubwa za NATO juu ya ombi lake hilo lkn waliipuuza,
Urusi ikatoa onyo la mwisho na hatimae ikaingiza jeshi.
Urusi ilipendekeza Ukraine iwe nyutro yaani isiwe NATO wala isiwe upande wa Urusi yaani iwe na mahusiano na nchi za magharibi Kwa mambo mengine lkn sio kijeshi,yaani isiegemee upande wowote kijeshi zaidi ya kiuchumi TU.
Urusi Haina tatizo hata Ukraine ikiwa EU lkn sio NATO.
NATO ni Umoja wa kijeshi ambao upo kwa ajili ya kuidhibiti Urusi.
Kwa kifupi NATO ni adui namba moja wa Urusi.
Kwanini hao viongozi mliowaua wa ISRAEL NA USA msiwataje kwa majina ?🤣🤣Kama wanazuiya kutangaza kipondo cha majengo tu yasipigwe picha 😜😜