Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥

Sasa ni rasmi IRAN wame thibitidha kifo Cha aliye kuwa mmoja wa majeneral katika jeshi Lao.

Majid Khademi mbali ya kuwa Jenerali pia alikuwa mkuu wa idara ya Ujasusi kwenye jeshi la IRGC, Kwa kifupi alikuwa ndo boss wa Ujasusi ndani ya jeshi hilo kubwa la IRAN.

CHANZO : Al Jazeera

#fblifestyle
FB_IMG_1775467726406.jpg
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

'Israel's' Defence Minister Israel Katz announces the killing of Majid Khademi, head of the Revolutionary Guards Intelligence, overnight. "Iranian leaders live in a sense of persecution. We will continue to hunt them one by one," he says.
Iran's Revolutionary Guards had announced his death earlier on their Telegram Channel.
 
1. Kuuliwa kwa viongozi ni vita nakubaliana na wewe lakini ukubwa wa tatizo unategemea aliyepata tatizo husika, so kwa Iran hili kwao sitatizo kubwa kwenye medal za kivita na hili limethinitishwa hadi na wachambuzi wa magharibi wenyewe wamekubali.
Ili uwe kiongozi ni lazima umepitia michakato mingi na ngazi nyingi kama taifa litakuwa limewekeza vitu vingi kwako. Linapokuja suala la viongozi kuuwawa hilo ni tangazo la moja kwa moja la vita. Maana unapoua viongozi ni sawa kuua Taifa.

Kusema kuwa kwa Iran si tatizo huo ni uongo tu wa kutaka kujifariji au kujipa moyo.

Kama Taifa linapaswa kuwalinda viongozi wake kwa wivu mkubwa na si kujidanganya kwa maneno ya kipumbavu kuwa eti Wamekufa Shahidi hayo ni maneno ya kujifariji tu kuogopa aibu ya uwajibikaji wa kulinda vipngozi wao!!!

2. Kuhusu kupigwa kama ngoma nakubaliana na wewe lakini vipi kipigo cha Iran kwa Israel na maslahi ya kiuchumi ya USA ndani ya middle east mkuu?
Ni ukweli usiopingika Iran inapigwa kama Ngoma ndege-vita za Israel zinaingia na kutoka sasa ni mwezi na zaidi kila zinapoingia hacienda kuimba Mapambio zinachakqza kabisa miundombinu ya kitaifa Jeshi la anga la Iran liko wapi? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iko wPi? Na wanamaji wa Iran wako wapi mwaka jana tu walifanya mazoezi ya wanamaji tukawaona na vifaa vyao leo hii wako wapi?

Makombola ya Iran huko Israel hayana Impact kubwa kama mashambulizi yanayofanyika huko nchini Iran.
Mengi ya makombola ya Iran yanapopolewa angani mabaki yake sasa ndiyo yanayoharibu nyumba za watu.

Kiuchumi Iran imadorola sana.
3. Kuhusu rescue mission inamaswali mengi sana so hadi sasa sipingi lakini sijakubali ninaamini anything is possible, mission inaanza USA wanaharibu ndege zao wenyewe zote mbili zilizoenda kutekeleza majukumu , hupati maswali yeyote?🙏
Praise to ALLAH, DONALD J. TRUMP 😁
Kuhusu rescue mission ni kweli ilifanyika C-130 mbili zilikuwa zimewabeba makamandoo wa uokozi zilifanikiwa kutua sala, wakati wa kutoka kila juhudi ilifanywa lakini haikuwezekana bdege kuruka maana mataili yalikuwa yamezama mchangani hivyo kushindwa kuruka.

Walichokifanya waliagiza ndege zingine ambazo si chapa C-130 zikaja kuwachukua na kwa kuogopa zitakuja kutumiwa na adui wakati mwingine Reverse‐Engineering waliamua waziteketeze kabisa.

Kwa mmatumbi mwenzangu hawezi kulielewa hili!!
 
Kwa kuwa kipngozi ni lazima umepitia michakato mingi na ngazi nyingi kama taifa litakuwa limewekeza vitu vingi kwako. Linapokuja suala la viongozi kuuwawa hilo ni tangazo la moja kwa moja la vita. Maana unpoua viongozi ni sawa kuua Taifa.

Kusema kuwa kwa Iran si tatizo huo ni uongo tu wa kutaka kujifariji au kujipa moyo.

Kama Taifa linapaswa kuwalinda viongozi wake kwa wivu mkubwa na si kujidanganya kwa maneno ya kipumbavu kuwa eti ** Wamekufa Shahidi** hayo ni maneno ya kujifariji tu kuogopa aibu ya uwajibikaji wa kulinda vipngozi wao!!!


Ni ukweli usiopingika Iran inapigwa kama Ngoma ndege-vita za Israel zinaingia na kutoka sasa ni mwezi na zaidi kila zinapoingia hacienda kuimba Mapambio zinachakqza kabisa miundombinu ya kitaifa Jeshi la anga la Iran liko wapi? Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran iko wPi? Na wanamaji wa Iran wako wapi mwaka jana tu walifanya mazoezi ya wanamaji tukawaona na vifaa vyao leo hii wako wapi?

Makombola ya Iran huko Israel hayana Impact kubwa kama mashambulizi yanayofanyika huko nchini Iran.
Mengi ya makombola ya Iran yanapopolewa angani mabaki yake sasa ndiyo yanayoharibu nyumba za watu.

Kiuchumi Iran imadorola sana.

Kuhusu rescue mission ni kweli ilifanyika C-130 mbili zilikuwa zimewabeba makamandoo wa uokozi zilifanikiwa kutua sala, wakati wa kutoka kila juhudi ilifanywa lakini haikuwezekana bdege kuruka maana mataili yalikuwa yamezama mchangani hivyo kushindwa kuruka.

Walichokifanya waliagiza ndege zingine ambazo si chapa C-130 zikaja kuwachukua na kwa kuogopa zitakuja kutumiwa na adui wakati mwingine Reverse‐Engineering waliamua waziteketeze kabisa.

Kwa mmatumbi mwenzangu hawezi kulielewa hili!!
😁😁😁,
Good umejibu hoja vizuri sana ndugu yangu Echolima1 ,
Ninaswali moja tu kama Iran kwa sasa hawana kabisa jeshi la aina yeyote na si propaganda ambazo zinazushwa na Westerns,
Kwanini mfereji wa Hormuz hadi leo haupitiki jambo linalofanya hali ya uchumi wa Dunia kuyumba?
Thank you in advance 😁
 
kupiga mabomu miundo mbinu ya kiuchumi ya UAE sio sawa.

Na ww hujiulizi kwanini hao gulf nations na UAE hawajarusha hata bomu moja Iran?.

Mwanzon wameshambulia kambi za kijesh za marekan zilizoko jiran.
hii ni sawa. Sasa muda huu unapiga airport. Unapiga maghala ya kuhifadhia mafuta. Kwanini?.

sio kwamba USA hawawez kulipua miundo mbinu ya kiuchumi ya Iran. Hapana.
Kuna kitu kinasubiriwa. Na soon utashuhudia.
Ila nyie jamaa mishipa ya aibu imekatika, hivi hufeel hata Guilty ukiandika comment kama hii?

1. Hakuna kitu chochote kile ambacho Iran anapiga ambacho hajaanzwa yeye, each and everything

2. Wakati Iran wanamshtukiza yeye hashtukizi anasema kabisa nakuja kupiga sehemu Fulani, watu km 1 kuzunguka waondoke, hataki kuua wasio na hatia.

3. Si kweli kwamba UAE na hizo Nchi haipigi Iran, mpaka bomu lililopiga Shule limetoka hizo Nchi.
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI KWA NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI 🔥 🔥

Sasa ni rasmi IRAN wame thibitidha kifo Cha aliye kuwa mmoja wa majeneral katika jeshi Lao.

Majid Khademi mbali ya kuwa Jenerali pia alikuwa mkuu wa idara ya Ujasusi kwenye jeshi la IRGC, Kwa kifupi alikuwa ndo boss wa Ujasusi ndani ya jeshi hilo kubwa la IRAN.

CHANZO : Al Jazeera

#fblifestyleView attachment 3568271
Okay sawa,
Pitisheni meli za mafuta sasa Hormuz Iran intelligence yao imeshaangamizwa tayari 😁😁
 
😁😁😁,
Good umejibu hoja vizuri sana ndugu yangu Echolima1 ,
Ninaswali moja tu kama Iran kwa sasa hawana kabisa jeshi la aina yeyote na si propaganda ambazo zinazushwa na Westerns,
Kwanini mfereji wa Hormuz hadi leo haupitiki jambo linalofanya hali ya uchumi wa Dunia kuyumba?
Thank you in advance 😁
Adui mkubwa wa Israel na Marekani si Mlango bahari wa Hormuz bali ni utawala w kiislamu wa Iran unaobwabwaja kila siku Kifo kwa Marekano, Kifo kwa Israel utawala huo ndiyo uliowafanya waingie vitani nao.

Suala la Mlango Bahari wa Hormuz si suala la Marekani na Israel tu bali ni la dunia nzima hivyo kufungua au kutofungua hilo ni suala jingine kabisa!!
 
Back
Top Bottom