Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Jeshi la Israel: tumefanikiwa kumuua kamanda kamal malham pamoja msaidizi wake yahya Hussein pamoja na makamanda wengine wanne. Kamanda Kamal malham alikua kamanda mkuu wa divishen ya imam Hussein, alikua mhusika kwenye kupanga na kuratibu mashambulizi ya kurusha makombora, pia alikua na jukumu la ugavi kwenye vifaa vya jeshi
20260406_143047.jpg
 
Sasa ulidhani kama huyo angekufa kwa kugongwa na gari basi ndo ingefanya nchi ishindwe kwenda?.

Wairan wamejenga taasisi. Anakufa mtu anaingia mtu, simple like that.

Kafa Khamenei na nchi inaenda itakuwa huyo ofsa mdogomdogo?
Acha kuwa muongo. Hakuna jeshi linapenda kupoteza majenerali wake.
Kamanda mkuu unamui wa afisa mdogo mdogo? Lengo ni ushabiki ili ujifurahishe?

Khamenei kauliwa, nchi inaenda sawa. Kwani unafikiri hata raisi wa Burundi akiuliwa nchi haitaenda? But kuuwawa kwa kiongozi tayari ni udhaifu wa jeshi na ulinzi wa nchi. Watu wanatoka na ndege more than 2000km wanaingia kwa Siri wanapiga kwa kiongozi mkuu wa nchi na pia kwa mkuu wa majeshi, wanafanikiwa kuwaua. Kesho wanarudi tena wanafata kuua viongozi wengine na wanafanikiwa. Bado hii kwako sio kitu? SMH
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: tumefanikiwa kumuua kamanda kamal malham pamoja msaidizi wake yahya Hussein pamoja na makamanda wengine wanne. Kamanda Kamal malham alikua kamanda mkuu wa divishen ya imam Hussein, alikua mhusika kwenye kupanga na kuratibu mashambulizi ya kurusha makombora, pia alikua na jukumu la ugavi kwenye vifaa vya jeshi
View attachment 3568345

Kwaiyo kwasasa tutegemee miji ya Israel kama Tela aviv Haifa watalala usingizi wa pono
 
Back
Top Bottom