Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Mbona ** Majitaka Khamenei** mbona yeye haonekani kajificha kwa nini?Tatizo lenu nyie maraizoni mko kwenye dhulma ndio maana mnaogopa kufa.
Mbona ** Majitaka Khamenei** mbona yeye haonekani kajificha kwa nini?Tatizo lenu nyie maraizoni mko kwenye dhulma ndio maana mnaogopa kufa.
Sawa kumbe unapenda hoja za kwenda for fact binafsi nimekubaliana na hoja Yako huo ni udhaifu na sisi pro Iran hatujapinga kuwa huo sio udhaifu,Acha kuwa muongo. Hakuna jeshi linapenda kupoteza majenerali wake.
Kamanda mkuu unamui wa afisa mdogo mdogo? Lengo ni ushabiki ili ujifurahishe?
Khamenei kauliwa, nchi inaenda sawa. Kwani unafikiri hata raisi wa Burundi akiuliwa nchi haitaenda? But kuuwawa kwa kiongozi tayari ni udhaifu wa jeshi na ulinzi wa nchi. Watu wanatoka na ndege more than 2000km wanaingia kwa Siri wanapiga kwa kiongozi mkuu wa nchi na pia kwa mkuu wa majeshi, wanafanikiwa kuwaua. Kesho wanarudi tena wanafata kuua viongozi wengine na wanafanikiwa. Bado hii kwako sio kitu? SMH
Ila mkuu me mfatiliaji mzuri sana kwako na update zakoUkimaanisha Iran si watu wa dhulma?
Hawaogopo kufa?
Iran haijawahi kuwa na malengo yoyote yale Kwa IsraelNgoja nikuulize hivi: malengo ya Iran kwa Israel siku zote huwa ni yapi?
Iran haijawahi kuwa na malengo yoyote yale Kwa IsraelNgoja nikuulize hivi: malengo ya Iran kwa Israel siku zote huwa ni yapi?
Kuuwawa kwa huyo mwamba kutaleta mabadiliko gani katika hii vita?Umesoma kwa harakaharaka, hiyo taarifa ya Netanyahu ilikua kuhusu kuuwawa kwa mkuu wa intelijensia ya jeshi
Nikukumbushe tu kuwa Hezbollah na Hamas ni makund yanayopigana na Israel kwa miaka na miaka na yanafadhiliwa na Iran.Iran haijawahi kuwa na malengo yoyote yale Kwa Israel
😁😁 Yani umeenda kusearch majina ya miji ya Iran unaanza kuitaja inashambuliwa 😁😁😁💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la behbehan
Yet ulifikiri kupatikana au kuuwawa kwa pilot kungeleta mabadiliko? SmhKuuwawa kwa huyo mwamba kutaleta mabadiliko gani katika hii vita?
Kuuwawa kwa huyo mwamba kutaleta mabadiliko gani katika hii vita?
Kwa mashambulizi haya ya ndugu yetu City Thunder OKC hii vita inaishia leo 😁😁😁😁💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khorramshahr
Halafu mbona mnapenda kudanganywa,huyo Four stars General NATO Gen Clark, alipewa list na Secretary of Defence ya nchi saba ambazo US atapigana nazo miaka zaidi ya ishirini iliyo pita nchi zenyewe ni Libya,Iraq,Sudan,Somalia,Syria, Iraq na Iran. Clark akamuuliza Secretary of Defence aliyempa ile list ampe sababu kwa nini wanapigana vita na hizo nchi saba,Secretary of Defence yeye mwenyewe akamjibu hajui sababu.Nikukumbushe tu kuwa Hezbollah na Hamas ni makund yanayopigana na Israel kwa miaka na miaka na yanafadhiliwa na Iran.
Iran toka mwaka 1979 walivyofanya mapinduzi na kusimika serikal ya Kiislam wanawaita Israel Shetan mdogo.
Kumbuka pia hii Vita tunayoiona leo, ni baada ya mazungumzo ya baadh ya matakwa kati ya pande zote 2 kwa miaka ming , yaliyokuwa yanafanyika chini kwa chini kati ya Iran na Israel kufeli.
Hii inaonyesha Iran hana nia njema na Israel kwa miaka ming nyuma.
Ndio maana kila nchi yoyote duniani , kukiwa na mwananchi msaliti au mhaini, adhabu yake ni kifo, hata US wamenyonga wananchi wao kwa usaliti enzi ya vita vya baridi na Soviet.Kuna vitu vigumu sana kutetea
Ndege zinaruka kutoka Israel umbali wa kilomita 2000, zinaingia Iran zinamsaka alipo kiongozi wa nchi zinafanikiwa kumuua, zinamsaka alipo mkuu wa majeshi na mawaziri zinafanikiwa kuwaua
Baada ya siku mbili zinasaka tena walipo majenerali zinafanikowa kuwaua
Baadae tena zinaingia zinasaka alipo mkuu wa usalama wa nchi, zinafanikiwa kumuua, kesho yake zinamsaka alipo waziri wa intelijensia, zinafanikiwa tena kumuua
Baada ya siku mbili tena zinasaka makamanda wakuu wa jeshi zinafanikiwa kuwaua. Bado mtu anakwambia hakuna shida
Halafu mbona mnapenda kudanganywa,huyo Four stars General NATO Gen Clark, alipewa list ya nchi saba ambazo US angepigana nazo Libya,Iraq,Sudan,Somalia,Syria, Iraq na Iran. Akamuuliza Secretary of Defence aliyempa ile list ampe sababu kwa nini wanapigana vita na hizo nchi saba,Secretary of Defence yeye mwenyewe akamjibu hajui sababu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=6Knt3rKTqCk&t=137s&pp=ygUmZ2VuZXJhbCBjbGFyayB3YXQgd2l0aCBzZXZlbiBjb3VudHJpZXM%3D
Kama hujui nia ya Myahudi ni kuichukua Jordan yote,Lebanon Yote, Syria na Saudi zile anataka kuzichukua nusu, kuna part ya Misri anadai yake na part ya Turkey anadai yake. Haya maneno yanaongewa na maafisa wengi wa jeshi akiwemo aliyekuwa Msemaji wa jeshi la IDF Lipkin na Waziri wao mkuu aliyepita Naftali Bennett alisema Qatar na Turkey wanahatarisha usalama wa nchi yao. So tegemea vita ya Myahudi na Misri, Myahudi na Qatar, Myahudi na Jordan, Myahudi na Lebanon, Myahudi na Saudi na Myahudi na Turkey, wewe Myahudi anadai mpaka Macca na Madina ni ardhi yake, huoni haya kama mtusi makubwa sana kwa Saudi?
View: https://m.youtube.com/shorts/WERJ_xXhaeQ
Waziri Mkuu Naftali.
View: https://m.youtube.com/shorts/BZoe4qD79Dc
Sababu ya vita hii ni Myahudi kuendelea kumega ardhi za wenzake, ndio maana Hezbollah na Hamas wamekataa unyonge huo na yoyote atakayekuwa kikwazo ndio anaundiwa zengwe apigwe.
Hiyo sio hoja yangu ni mipango ya Myahudi na clip nimekuwekea ya aliyekuwa Msemaji wa IDF na aliyekuwa waziri Mkuu.Hoja yako ni Kuwa Israel ni mchokozi na anataka kuhodhi maeneo ya nchi jiran. Si ndio?.
General wa NATO muweke pemben.
Hoja yangu ni kuwa Iran na Israel wana vita vya chini chini kwa miaka na miaka. Cold war.
Na hasa baada ya kujua Iran kwa kias kikubwa inawasaidia Hamas na Hezbollah.