Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hiyo sio hoja yangu ni mipango ya Myahudi na clip nimekuwekea ya Msemaji na aliyekuwa waziri Mkuu.
Umeitizama hiyo interview yote? Aliuliza sababu ya kuzipiga hizo nchi saba ,hakupewa? Hiyo sababu ya paragraph ya chini labda ya kwako. Ila FOUR STAR GENERAL WA NATO haijui hiyo sababu yako uliyo itoa kwenye paragraph ya mwisho na ana high security clearance ya kuingia vikao vyote nyeti vya kiusalama vya US na NATO ila bado hakupewa sababu.
Huyo Mkuu wa Counterterrorism ambaye nae alikuwa afisa wa jeshi,ambaye nae ana high security clearance ktk maswala ya ulinzi mpaka sasa hajui sababu ya vita ya Iran.
Cut the Long story short.
Je Hoja ya wayahudi ni kuhodhi nusu ya maeneo uliyoyataja?.
Sababu ya Vita za Iran zinafahamika na kila mtu.
Hata sisi tulioko umurashaka tunajua.
unahis kuna sababu nyingne nje ya hizo?.
Hamas , na Hezbollah zinapigana na Israel miaka na miaka. Nadhan unajua.
silaha na nguvu nadhan unajua zinapotoka.