Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Damage caused na Iran kwenye hizo Kambi na Miundo mbinu kijesh ya US ni ndogo kulinganisha na Iran.

Hii kudhoofisha Iran kijeshi ni kudhoofisha pia Makund yaliyokuwa yanafadhiliwa na Iran.

Sasa ukitafakar unaona nan ataimarika na kushinda hii vita.
Kambi za USA middle east ni dysfunctional. Damage ya $200 billions sio damage ndogo. Ingekua damage ni ndogo Trump asingeomba kambi ya UK Cyprus ama Diego Garcia azitumie dhidi ya Iran.
 
Kwa sababu ya ujinga wako huwezi kuamini!! Umebaki kusema Inasemekana ili kuharalisha uongo na ujinga wako!! Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kuwapangia watumie ndege ngapi kuokoa watu wao.

Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini raia wenye magobole wanaweza kuwashinda askari wenye madege,Bunduki za automatic na Mabomu!!!!

Hivi ninyi wafuga midevu na majini mna akili za namna gani?

Ushauri wa bure Acheni ujinga wa kufuga Midevu na majini Anzeni kufuga ng'ombe wa Maziwa na Kuku wa Mayai pimping nyie!!
Mbona unapanic kwenye vitu vidogo sana bro. Immotional intelligence yako unaianika wazi kwenye vitu vya kawaida.
Ndio maana huu uzi unakoswa mvuto.
Hayo ninayosema inawezekana ni kuacha room ya kujadili tu ila ndivyo wanavyojadili watu duniani kuhusu ile misheni.

Wapo wanaosema ilikuwa inaviziwa Enritched Uranium ya Ifshan UG base.
Wapo wanaosema yalikuwa ni maandalizi hilo eneo lililokuwa na runway ya siri lilitakiwa litekwe na liwe fortified kama mlango wa kuanzia ground invention.
Wapo wanaosema ni operation ya kawaida ya kumuokoa rubani iliyo feli kwa mujibu wa Iran na iliyofanikiwa kwa mujibu wa US.
Sasa matusi yanatoka wapi utadhani na wewe ulikuwepo kwenye misheni hahahaha
 
Mkuu yaani Israel na marekani wawe na taarifa ya alipo kiongozi mkuu wa nchi na viongozi wakuu wa jeshi, wafanikiwe kuingia ndani ya Iran wawashambulie na kuwaua alafu wasijue haya uliyoandika????
Walisema wamemaliza uwezo wa iran wa kurusha makombola lakini tunaona Iran kila siku anazidisha uwezo wa kurusha makombola na anakataa ceasefire. Muogope sana mtu anayekataa ceasefire maanaana jambo lake
 
Mbona unapanic kwenye vitu vidogo sana bro. Immotional intelligence yako unaianika wazi kwenye vitu vya kawaida.
Ndio maana huu uzi unakoswa mvuto.
Hayo ninayosema inawezekana ni kuacha room ya kujadili tu ila ndivyo wanavyojadili watu duniani kuhusu ile misheni.

Wapo wanaosema ilikuwa inaviziwa Enritched Uranium ya Ifshan UG base.
Wapo wanaosema yalikuwa ni maandalizi hilo eneo lililokuwa na runway ya siri lilitakiwa litekwe na liwe fortified kama mlango wa kuanzia ground invention.
Wapo wanaosema ni operation ya kawaida ya kumuokoa rubani iliyo feli kwa mujibu wa Iran na iliyofanikiwa kwa mujibu wa US.
Sasa matusi yanatoka wapi utadhani na wewe ulikuwepo kwenye misheni hahahaha
Kwa hiyo unataka tujadiri Inasemekana? bila ushahidi wowote!!
 
Damage caused na Iran kwenye hizo Kambi na Miundo mbinu kijesh ya US ni ndogo kulinganisha na Iran.

Hii kudhoofisha Iran kijeshi ni kudhoofisha pia Makund yaliyokuwa yanafadhiliwa na Iran.

Sasa ukitafakar unaona nan ataimarika na kushinda hii vita.
Unaposema uharibifu ni ndogo ulibahatika kuona picha zake? Kama hujui kwenye kambi zote za US na balozi zake ,waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia ,sasa wewe unazani utajuaje?Picha nyingi sana ni zile Satellite. Meli ya Ford ilipigwa na mabomu kutoka Iran,US wakatuambia ni mlipuko ulitokea Laundry ambao ulichoma vitanda zaidi ya mia sita ,ukajeruhi askari 200 na ulichukua masaa zaidi ya 30 kuzimwa. Baada ya mda Trump mwenyewe akaropoka kwamba meli yao ya Ford ilishambulia kwa mpigo kutoka angle tofauti kumi na saba, ila mwanzoni walikataa, ukiachana na tukio la juzi kuna ndege kama tano ,zilipigwa zote wakadai ni hitilafu ya kawaida ila zilifanikiwa kutua ila zilikuwa damaged. Ubalozi wa Saudi ulilipuliwa ,tukaambiwa kuna majeruhi ila gazeti lao la Wall Street Jornal,ikadai kuna maafisa wa CIA waliangamizwa, ila hawakutaja idadi. Ukienda kwa Myahudi napo hivyo hivyo. Nazani hata lile shambulio la juzi kwenye kambi ya US/UK kwenye kisiwa cha Diego Garcia, pamoja tuliambiwa hamna madhara,ila unaweza ukakuta kuna yaliyotua.

Unazijua habari za Iran sababu kuna waandishi wana access ya kila eneo wanalotaka kwenda. Mwandishi wa habari Dimitri Lascaris kutoka Canada na wenzake kutoka CNN anadai walipewa access ya kila eneo walilotaka kwenda kipindi hiki cha vita hawakuzuiwa. Ndio maana unayaona ya Iran sababu wapo waandishi mpaka wa US.Hata ukiangalia clip nyingi za mabomu yanayo rushwa kwa Myahudi na kwenye kambi za US ,unayaona mabomu ya kitua ila hupati zile picha kamili kama Reuters,TRT na Aljazeera wamerusha clip nyingi za mabomu ya kitua. Hapo tu kwa Myahudi mwaka juzi Aljazeera walimtimua sababu alikuwa anaripoti na kupata picha za maeneo yaliyo pigwa na Hamas pamoja na Hezbollah. Dimitri Lascaris anaclip nyingi kutoka Iran na vilevile hata YouTube yupo.
Screenshot_20260404_075901_TikTok.jpg

Baada ya hii vita uchumi wa Iran utaimarika huku US na dollar yake zikiteteleka, maana uimara wa dollars moja ya sababu ya kuimarika ni ushawishi aliokuwa nao US.

Kwanza Middle East watamtimua kwenye ardhi yake na kambi zake na leo wamepiga marufuku kutumia maanga yao kushambulia Iran maana washamwona Trump mwenyewe chizi,hapa US anaenda kupoteza ushawishi.
Screenshot_20260406_183320_Chrome.jpg

Pili Iran anaenda kuiumiza dollar, kwani plan yake ni kucharge kila meli ya mafuta kwa hela yake au Iran(equivalent USD 2m).Kumbuka asilimia 20 ya mafuta yatumikayo duniani yanapita Hormuz na ule mfereji hupitisha meli 3000 kwa mwezi. So dollars inaendelea kupungua nguvu.

Iran anaweza kupiga hela kwenye biashara ya silaha,kwani kwenye hii vita silaha zake zimeonesha ufanisi mkubwa.

Uhusiano wa NATO na EU hautokuwa kama zamani, juzi UK alifanya kikao na mawaziri wa mambo ya nje 40 wa nchi tofauti, kutafuta suluhu ya kutatua hili swala kidiplomasia wakati US alitaka watumie nguvu. Juzi kwenye UN Security Council, kulikuwa Russia na China pamoja France walikataa azimio la kutumia nguvu kuufungua mfereji wa Hormuz. Mpaka hapo tayari ushawishi kwa nchi za NATO na EU hautokuwa kama zamani.

Na hili tatizo linanaenda kuwa kubwa zaidi kwa US,sababu Trump mwenyewe kwenye maswala ya Diplomasia ni mweupe, ndio maana anatumia Lugha kali na sometimes mpaka matusi, kamtusi Mwana Mfalme wa Saudi, kamponda Micron baada ya kupigwa na mkewe, kaiponda UK ,France na NATO yote. Hapa ndipo anapo jiharibia na kuiharibia US upande wa diplomasia kwani damage aliyo sababisha ni kubwa sana.

Wakati wewe unaona Iran anadhohofika,leo US ombi lake kwa Pakistan kumsaidia ktk kutatua huu mgogoro kwa njia ya Kidiplomasia limegonga mwamba baada ya Iran kukataa,mpaka hapo ndio ujue jeshi la Iran bado lipo imara.
 
Damage caused na Iran kwenye hizo Kambi na Miundo mbinu kijesh ya US ni ndogo kulinganisha na Iran.

Hii kudhoofisha Iran kijeshi ni kudhoofisha pia Makund yaliyokuwa yanafadhiliwa na Iran.

Sasa ukitafakar unaona nan ataimarika na kushinda hii vita.
Mahaba niue,

Wenzako wapo busy sasa hivi wanapiga madaraja, Shule, Hospitali, mpaka sheli za mafuta hizo ndio target zao. Uwezo wa kuharibu missile program na drones hawana, uwezo wa kufungua Hormuz hawana, uwezo wa kubadili regime hawana etc ndio maana unaskia kila siku Tehran na Isfahan ndio kunapigwa huko ndio Raia wa kawaida wanaishi.

Iran yeye Target almost zote za kijeshi nakukumbusha Tu.

1. Kabla ya Vita ilikua missile ikitoka Iran Tu kule Israel unaskia Ving'ora wanaenda kwenye bunker zao kujificha, sasa hivi hakuna Hilo, Iran kaharibu kambi zote zenye Radar, hizo Radar zinacost zaidi ya 1B USD kapiga kuanzia Qatar, Kuwait, UAE, Saudi Hadi Jordan, sasa hivi Mpaka waone vitu kwa macho Vinaingia Anga la Israel ndio wanajua, sometime kitu kunapigwa hakujalia Ving'ora.

2. Iran kuwafukuza NATO wote Ukanda huo kwa kuwapa safe passage ili kumbakisha USA na Israel Tu.

3. Ukisikia operation za Hezbollah ground zipo successfully sio coincidence, kabla ya jamaa kuingia mzigoni Iran walipiga na almost kuharibu Satelite centres, raddar na communication nyingi za idf, sasa hivi wanakuwa Tu ambushed.

4. Iran inaharibu defence industry nyingi za Israel ambazo unlike Iran zao zipo Milimani za Israel zipo wazi, mfano mzuri ni Aerosol defence industry iliopigwa juzi, CEO wake anasema ineharibiwa to the point hawawezi kurepair inabidi waanze upya from scratch.
d60480c4ef6a636b8373d0bd27acda73.webp

5. Wamechosha mifumo yote ya ulinzi sasa hivi Iran kufanya damage kubwa anarusha Tu missile chache Tofauti na mwanzo wa vita alikua Akirusha nyingi, husikii tena kelele sijui za Arrow, Iron dome na wengineo.

6. Wamepiga Aircraft carrier zote, kuanzia Lincolin Hadi ford zimekimbia hakuna support ya maji, hizo Nimtiaz class carrier zinabeba makumi elfu ya watu. Leo kuna tetesi Carrier moja ilikua inasogea tena karibu imepigwa imekimbia, inaitwa "Tripoli".

Long story Short Iran wanapigana "war of attrition" wao wanataka vita vichukue siku nyingi kadri iwezekanavyo sababu Wana uzoefu huo na wanahold strategic point zinazowafanya washinde hata wasipopigana.

Upande wa pili kule Israel kuna position hata Mawaziri hazina, watu hawaendi Shule, metro zimefungwa, watu wanaishi kama panya kwenye mabunker etc, kifupi Nchi imesimama.

Iran maisha yanaendelea, supermarket zimejaa vyakula, watu wanapiga KAZI, vita vinaendelea wameongeza mishahara, wanapata hela nyingi sasa hivi kuliko vita vilipoanza na wakiendelea kushikilia Hormuz itawaingizia hela nyingi kuliko chochote kile including mafuta.
 
Unaposema uharibifu ni ndogo ulibahatika kuona picha zake? Kama hujui kwenye kambi zote za US na balozi zake ,waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia ,sasa wewe unazani utajuaje?Picha nyingi sana ni zile Satellite. Meli ya Ford ilipigwa na mabomu kutoka Iran,US wakatuambia ni mlipuko ulitokea Laundry ambao ulichoma vitanda zaidi ya mia sita ,ukajeruhi askari 200 na ulichukua masaa zaidi ya 30 kuzimwa. Baada ya mda Trump mwenyewe akaropoka kwamba meli yao ya Ford ilishambulia kwa mpigo kutoka angle tofauti kumi na saba, ila mwanzoni walikataa, ukiachana na tukio la juzi kuna ndege kama tano ,zilipigwa zote wakadai ni hitilafu ya kawaida ila zilifanikiwa kutua ila zilikuwa damaged. Ubalozi wa Saudi ulilipuliwa ,tukaambiwa kuna majeruhi ila gazeti lao la Wall Street Jornal,ikadai kuna maafisa wa CIA waliangamizwa, ila hawakutaja idadi. Ukienda kwa Myahudi napo hivyo hivyo. Nazani hata lile shambulio la juzi kwenye kambi ya US/UK kwenye kisiwa cha Diego Garcia, pamoja tuliambiwa hamna madhara,ila unaweza ukakuta kuna yaliyotua.

Unazijua habari za Iran sababu kuna waandishi wana access ya kila eneo wanalotaka kwenda. Mwandishi wa habari Dimitri Lascaris kutoka Canada na wenzake kutoka CNN anadai walipewa access ya kila eneo walilotaka kwenda kipindi hiki cha vita hawakuzuiwa. Ndio maana unayaona ya Iran sababu wapo waandishi mpaka wa US.Hata ukiangalia clip nyingi za mabomu yanayo rushwa kwa Myahudi na kwenye kambi za US ,unayaona mabomu ya kitua ila hupati zile picha kamili kama Reuters,TRT na Aljazeera wamerusha clip nyingi za mabomu ya kitua. Hapo tu kwa Myahudi mwaka juzi Aljazeera walimtimua sababu alikuwa anaripoti na kupata picha za maeneo yaliyo pigwa na Hamas pamoja na Hezbollah. Dimitri Lascaris anaclip nyingi kutoka Iran na vilevile hata YouTube yupo.
View attachment 3568453

Baada ya hii vita uchumi wa Iran utaimarika huku US na dollar yake zikiteteleka, maana uimara wa dollars moja ya sababu ya kuimarika ni ushawishi aliokuwa nao US.

Kwanza Middle East watamtimua kwenye ardhi yake na kambi zake na leo wamepiga marufuku kutumia maanga yao kushambulia Iran maana washamwona Trump mwenyewe chizi,hapa US anaenda kupoteza ushawishi.
View attachment 3568459
Pili Iran anaenda kuiumiza dollar, kwani plan yake ni kucharge kila meli ya mafuta kwa hela yake au Iran(equivalent USD 2m).Kumbuka asilimia 20 ya mafuta yatumikayo duniani yanapita Hormuz na ule mfereji hupitisha meli 3000 kwa mwezi. So dollars inaendelea kupungua nguvu.

Iran anaweza kupiga hela kwenye biashara ya silaha,kwani kwenye hii vita silaha zake zimeonesha ufanisi mkubwa.

Uhusiano wa NATO na EU hautokuwa kama zamani, juzi UK alifanya kikao na mawaziri wa mambo ya nje 40 wa nchi tofauti, kutafuta suluhu ya kutatua hili swala kidiplomasia wakati US alitaka watumie nguvu. Juzi kwenye UN Security Council, kulikuwa Russia na China pamoja France walikataa azimio la kutumia nguvu kuufungua mfereji wa Hormuz. Mpaka hapo tayari ushawishi kwa nchi za NATO na EU hautokuwa kama zamani.

Na hili tatizo linanaenda kuwa kubwa zaidi kwa US,sababu Trump mwenyewe kwenye maswala ya Diplomasia ni mweupe, ndio maana anatumia Lugha kali na sometimes mpaka matusi, kamtusi Mwana Mfalme wa Saudi, kamponda Micron baada ya kupigwa na mkewe, kaiponda UK ,France na NATO yote. Hapa ndipo anapo jiharibia na kuiharibia US upande wa diplomasia kwani damage aliyo sababisha ni kubwa sana.

Wakati wewe unaona Iran anadhohofika,leo US ombi lake kwa Pakistan kumsaidia ktk kutatua huu mgogoro kwa njia ya Kidiplomasia limegonga mwamba baada ya Iran kukataa,mpaka hapo ndio ujue jeshi la Iran bado lipo imara.
Maneno Marefuuuu!! Kumbe una copy kutoka Aljazeera mtetezi wa Magaidi!!!

Uliouandika hapo ni UHARO hauna maana yoyote
 
Walisema wamemaliza uwezo wa iran wa kurusha makombola lakini tunaona Iran kila siku anazidisha uwezo wa kurusha makombola na anakataa ceasefire. Muogope sana mtu anayekataa ceasefire maanaana jambo lake
Mkuu mm nafatilia hizi habari za Vita kila saa kila muda, sijaona siku wakisema wamemaliza uwezo wa Iran kurusha makombora, bali wanachosema wameharibu kwa kiasi kikubwa uwezo wa Iran kurusha makombora.
 
Netanyahu na serikali yake takriban 90% wako shimoni tena wengine nje ya nchi. Kukaa kwa Mojtaba shimoni kwani ajabu??
Hata akifa vita iko pale pale kama mna ubavu kafungueni hormuz.
Kuhusu Hormuz nahis Marekan anafanya kusudi sababu yeye mafuta anapat Venuzuela. Ingekuwa yeye ndii anategemea hapo mbona ungeshafunguliwa.
 
1. Kabla ya Vita ilikua missile ikitoka Iran Tu kule Israel unaskia Ving'ora wanaenda kwenye bunker zao kujificha, sasa hivi hakuna Hilo, Iran kaharibu kambi zote zenye Radar, hizo Radar zinacost zaidi ya 1B USD kapiga kuanzia Qatar, Kuwait, UAE, Saudi Hadi Jordan, sasa hivi Mpaka waone vitu kwa macho Vinaingia Anga la Israel ndio wanajua, sometime kitu kunapigwa hakujalia Ving'ora.
Bila shaka huu uongo wako kawadanganye wafuga midevu na majini wenzako hakuna ukweli hapo k8la siku ving'ora vinasikika.

2. Iran kuwafukuza NATO wote Ukanda huo kwa kuwapa safe passage ili kumbakisha USA na Israel Tu.
Hii Iran haitamsaidia chochote ataendelea tu kupigwa kama ngoma!!

3. Ukisikia operation za Hezbollah ground zipo successfully sio coincidence, kabla ya jamaa kuingia mzigoni Iran walipiga na almost kuharibu Satelite centres, raddar na communication nyingi za idf, sasa hivi wanakuwa Tu ambushed.
Magaidi wa Hezboullah kila siku wanapigwa kama ngoma na silaha zao kutekwa tena hukohuko Lebanon. Nashangaa sana kusema uongo

4. Iran inaharibu defence industry nyingi za Israel ambazo unlike Iran zao zipo Milimani za Israel zipo wazi, mfano mzuri ni Aerosol defence industry iliopigwa juzi, CEO wake anasema ineharibiwa to the point hawawezi kurepair inabidi waanze upya from scratch
Hivi ukiwa Mfuga midevu na majini ni lazima uwe muongo muongo? Israel leo hii imesaini mikataba ya kuuza vifaa vya jeshi vya mamilion ya dola. Hakuna kiwanda ambacho hakifanyi kazi vyote vinapiga mzigo kama kawaida!!
 
Attachments

  • IMG_20260406_185407_680.jpg
    IMG_20260406_185407_680.jpg
    109.9 KB · Views: 18
Kuhusu Hormuz nahis Marekan anafanya kusudi sababu yeye mafuta anapat Venuzuela. Ingekuwa yeye ndii anategemea hapo mbona ungeshafunguliwa.
Marekani sio Mungu kwamba kila anachotaka anafanikiwa.
Twende kwa relevance mfanano na kufungwa kwa Hormuz.
-2018 US-China trade war Trump alipojishaua kuizuia Huawei isitumie google China ilimlipiza kwa kuzuia rare earth metals,vipuli vya uundwaji meli,malighafi za chuma. Mwishowe ilii hit back USA ikai slow down kwenye GDP growth.
-2025-2026 Tarrif war vivyo hivyo akipandisha ushuru China inapandisha zaidi ikam back fire hadi akaomba mazungumzo na Xin Jinping.

Kwa relevance hiyo kufungwa kwa Hormuz kunamuumiza hata USA ila HANA UWEZO WA KUPAFUNGUA ndio maana.
-Umefuatilia kama mafuta ya Venezuela ni mazito na huchukua muda kuyasafisha?? Mafuta ya Venezuela peke yake hayawezi ku meet demand.
Kuna muda mwingine tukubali tu kuwa USA inafeli na inashindwa.
 
Kuhusu Hormuz nahis Marekan anafanya kusudi sababu yeye mafuta anapat Venuzuela. Ingekuwa yeye ndii anategemea hapo mbona ungeshafunguliwa.
Unahisi mafuta ni kama kisima cha maji unachota Tu na ndoo? It will take years mpaka kuweka mitambo, logistics na mambo mengine.

Pia hapo middle East ni kampuni zao, toka vita vianze hela waliyopoteza hapo ni matrilioni ya Dola, mpaka kuja kurecover hapo itachukua Muda mrefu to the point waki recover Mimi na wewe tushafariki. So ukiskia propaganda za Trump hapamuhusu usidhani ni kweli.

We subiria kampuni zikianza Kutoa Q1 data soon utaona hisa zitakapoanza kudondoka
 
Unaposema uharibifu ni ndogo ulibahatika kuona picha zake? Kama hujui kwenye kambi zote za US na balozi zake ,waandishi wa habari hawaruhusiwi kuingia ,sasa wewe unazani utajuaje?Picha nyingi sana ni zile Satellite. Meli ya Ford ilipigwa na mabomu kutoka Iran,US wakatuambia ni mlipuko ulitokea Laundry ambao ulichoma vitanda zaidi ya mia sita ,ukajeruhi askari 200 na ulichukua masaa zaidi ya 30 kuzimwa. Baada ya mda Trump mwenyewe akaropoka kwamba meli yao ya Ford ilishambulia kwa mpigo kutoka angle tofauti kumi na saba, ila mwanzoni walikataa, ukiachana na tukio la juzi kuna ndege kama tano ,zilipigwa zote wakadai ni hitilafu ya kawaida ila zilifanikiwa kutua ila zilikuwa damaged. Ubalozi wa Saudi ulilipuliwa ,tukaambiwa kuna majeruhi ila gazeti lao la Wall Street Jornal,ikadai kuna maafisa wa CIA waliangamizwa, ila hawakutaja idadi. Ukienda kwa Myahudi napo hivyo hivyo. Nazani hata lile shambulio la juzi kwenye kambi ya US/UK kwenye kisiwa cha Diego Garcia, pamoja tuliambiwa hamna madhara,ila unaweza ukakuta kuna yaliyotua.

Unazijua habari za Iran sababu kuna waandishi wana access ya kila eneo wanalotaka kwenda. Mwandishi wa habari Dimitri Lascaris kutoka Canada na wenzake kutoka CNN anadai walipewa access ya kila eneo walilotaka kwenda kipindi hiki cha vita hawakuzuiwa. Ndio maana unayaona ya Iran sababu wapo waandishi mpaka wa US.Hata ukiangalia clip nyingi za mabomu yanayo rushwa kwa Myahudi na kwenye kambi za US ,unayaona mabomu ya kitua ila hupati zile picha kamili kama Reuters,TRT na Aljazeera wamerusha clip nyingi za mabomu ya kitua. Hapo tu kwa Myahudi mwaka juzi Aljazeera walimtimua sababu alikuwa anaripoti na kupata picha za maeneo yaliyo pigwa na Hamas pamoja na Hezbollah. Dimitri Lascaris anaclip nyingi kutoka Iran na vilevile hata YouTube yupo.
View attachment 3568453

Baada ya hii vita uchumi wa Iran utaimarika huku US na dollar yake zikiteteleka, maana uimara wa dollars moja ya sababu ya kuimarika ni ushawishi aliokuwa nao US.

Kwanza Middle East watamtimua kwenye ardhi yake na kambi zake na leo wamepiga marufuku kutumia maanga yao kushambulia Iran maana washamwona Trump mwenyewe chizi,hapa US anaenda kupoteza ushawishi.
View attachment 3568459
Pili Iran anaenda kuiumiza dollar, kwani plan yake ni kucharge kila meli ya mafuta kwa hela yake au Iran(equivalent USD 2m).Kumbuka asilimia 20 ya mafuta yatumikayo duniani yanapita Hormuz na ule mfereji hupitisha meli 3000 kwa mwezi. So dollars inaendelea kupungua nguvu.

Iran anaweza kupiga hela kwenye biashara ya silaha,kwani kwenye hii vita silaha zake zimeonesha ufanisi mkubwa.

Uhusiano wa NATO na EU hautokuwa kama zamani, juzi UK alifanya kikao na mawaziri wa mambo ya nje 40 wa nchi tofauti, kutafuta suluhu ya kutatua hili swala kidiplomasia wakati US alitaka watumie nguvu. Juzi kwenye UN Security Council, kulikuwa Russia na China pamoja France walikataa azimio la kutumia nguvu kuufungua mfereji wa Hormuz. Mpaka hapo tayari ushawishi kwa nchi za NATO na EU hautokuwa kama zamani.

Na hili tatizo linanaenda kuwa kubwa zaidi kwa US,sababu Trump mwenyewe kwenye maswala ya Diplomasia ni mweupe, ndio maana anatumia Lugha kali na sometimes mpaka matusi, kamtusi Mwana Mfalme wa Saudi, kamponda Micron baada ya kupigwa na mkewe, kaiponda UK ,France na NATO yote. Hapa ndipo anapo jiharibia na kuiharibia US upande wa diplomasia kwani damage aliyo sababisha ni kubwa sana.

Wakati wewe unaona Iran anadhohofika,leo US ombi lake kwa Pakistan kumsaidia ktk kutatua huu mgogoro kwa njia ya Kidiplomasia limegonga mwamba baada ya Iran kukataa,mpaka hapo ndio ujue jeshi la Iran bado lipo imara.
Mkuu nakushangaa unavyo endelea kuelewesha mtu ambaye yupo kwa ajili ya kubishi na sio kuelewa.
 
Back
Top Bottom