Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Sio nchi zote zinajua thamani binadamu Kwa hiyo asijumuishe

Moja ya nchi isiyothamini uhai wa binadamu ni Iran ikifuatiwa na TANZANIA

Marekani ni nchi namba Moja inayothamini uhai wa binadamu
Nchi inayo thamini binadamu siku ya kwanza tu ya vita inashambulia shule na kuuwa mamia ya watoto wadogo?
Mpaka sasa imesha shambulia mamia ya hospital na viwanda vya madawa ili watu wafe kwa kukosa huduma.
Ndo ipo inatishia kushambulia vituo vya umeme na madaraja baada ya kushindwa vita.
Au tuseme hao sio raia wake aya kama kweli angekuwa anathamini raia wake angekuwa anatumia matrion ya $ kufadhili vita ila akawa anqshondwa kuwajengea makazi mamilioni ya raia wake ambao wanakufa kwa badiridi?
 
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
We jamaa kwa marekan na Israel askari anathaman kuliko hayo machuma waleo sio waarabu ambao wao kufa kunoga
 
Duh!

Kumbe jana kwenye operesheni ya kuokoa askari wao hiyo jana, Marekani ilipotezeza ndege mbili!

Naona idadi ya ndege ambazo Iran inazidondosha inazidi kuongezeka.
Maisha ya watu ni bora kuliko hizo ndege!!

Ndege wanaweza kutengeneza zingine tu au tayari wanazo!!

Labda tu unataka kupata faraja au kujipa moyo kusingizia kuwa Iran walizipiga wao ndege hizo kitu ambacho si kweli!!

Ndege hizo ziliteketezwa na wao wenyewe baada ya kushindwa kupaa kutokana na matairi ya ndege hizo kuzama kwenye michanga ndipo wakaagiza ndege zingine ambazo si C-130 kuja kuwachukua kisha kuziteketeza ndege hizo ili zisitumike na maadui na kulinda Teknolojia ilikuwemo kwenye ndege hizo .
 
Tulizuiya asitukanwe Sababu ili ni jukwaa huru!!!
Nawewe Ingia tu ku UPDATE. Kuna yule MADRAGONI naww utakuwa w4💀
Kwa hiyo ninyi Wafuga Midevu na Majini mna uwezo wa kutukana watu na kuzuia kutukana watu humu jukwaani?

Mna matatizo sana nyie shida yenu kubwa hamtaki kuambiwa ukweli
 
Inasemekana lile lilikuwa sio jaribio la kumuokoa Rubani bali ni jaribio la kwanza la ground invention lililofeli na jamaa wakawakimbia wanavijiji waliokuwa wanatumia magobole.
Ndio maana made get makubwa mawili yaliyolipuliwa ni vigumu kuamini yote hayo yaende kumuokoa mtu mmoja.
Kwa sababu ya ujinga wako huwezi kuamini!! Umebaki kusema Inasemekana ili kuharalisha uongo na ujinga wako!! Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kuwapangia watumie ndege ngapi kuokoa watu wao.

Ulivyo mjinga na mpumbavu unaamini raia wenye magobole wanaweza kuwashinda askari wenye madege,Bunduki za automatic na Mabomu!!!!

Hivi ninyi wafuga midevu na majini mna akili za namna gani?

Ushauri wa bure Acheni ujinga wa kufuga Midevu na majini Anzeni kufuga ng'ombe wa Maziwa na Kuku wa Mayai pimping nyie!!
 
Kama kawaida mzee wa kuokoteza habari😃😃kombora kuharibiwa unaita hasara,vyombo vyote vya habari vinaripoti kutunguliwa kwa ndege za USA zaidi ya 6,wewe ulikuwa hujui hili ulikuwa kwenye mazoezi ya kwaya kanisani kwenu Madaba unakurupuka kujifanya una hoja😃
Toka lini Iran alawa na uwezo kudungua ndege za marekani 6?

Mnadanganyana sana huko kwenye Madrasa yenu!! Eti vyombo vyote vya habari wewe unavijua? Hebu tutajie!!
 
Kuhusu ishu ya rescue operation, ni uongo wa kuficha kilichotokea.
Taarifa zinazotoka na analysis za picha kwenye eneo la tukio (wreckage), kulikuwa na intense fighting kati ya U.S special force na Iranian Basaj force.
Kilometer 150, kutoka ilipodondoshwa fighter jet, kuna Old isfahan airport, ambayo U.S walikuwa wanataka kuikamata na kuitumia kama logistic hub na maandalizi ya ground invasion.
Bad luck, operation ilifeli na upotevu wa askari, jets, refueling air tanker, chopa na nyingine.
Ndio maana huoni popote picha za pilot aliyeokolewa, kwa nature ya Trump na U.S lazima angeenda viral
 
Kafir ana propa za u-ganda nyingi sana.

Eti wamemuokoa rubani😀
Kafiri ni waonezi sana.

Lakini kobaz nao ni wakorofi na wagomvi sana.

Nikikumbuka namna kobaz walivuomkumbatia saa100 baada ya mauaji, wakaleta useng*e wao wakatoliki feki, then kauli zao za vitisho kwa waandamanaji eti watawakata vichwa..Qmanina zao Kobaz
 
Tulizuiya asitukanwe Sababu ili ni jukwaa huru!!!
Nawewe Ingia tu ku UPDATE. Kuna yule MADRAGONI naww utakuwa w4💀
Mm nategemea kupata update humu.
Tena update za pande zote.

Ili nijue hiyo mijangiri ya kiiRan na mijangiri ya kiAmerika yanavyotwangana.

Hata hivyo pesa wanazotumia kulipuana ni zile wanazotunyonya sisi Miafrika.
Halafu tunajazana hapa kuyashabikia hiyo mijangiri.
 
HIVI MPAKA SASA IRANI WAMEUA KIONGOZI GANI WA ISRAEL MKUBWA AU WA USA?

Kama wanazuiya kutangaza kipondo cha majengo tu yasipigwe picha 😜😜

na Vifo vya raia wao!!!

vipi watu hawa wataweza kutwambia kifo cha kiongozi wao yoyote!!!!¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Kwasasa mpaka Gulf States kumebanwa MEDIA
Kwanini usishangae na kujiuliza ayo maswali !!!!

mbona IRAN media zipo free!!!

Sasa we mlokole unataka vifo vya Viongozi!!!!

Katafute kujua kwanza Marekani na Israel + Gulf States. Kwanini wanauzuia MEDIA

IRANIAN kazi yake kupeleka MOTO 💥💥💥💥💥💥💥 kutangaza vifo sio jukum lao!!!!

Wanaoficha ndio wanajua faida ya kuwaficha misukule yao na Milokole yao kama ww !!!!

unakuja kuuliza Jamii forum badala kuchanganya na akili zako kuoji Israel kwanini wamepitisha Sheria ya kuficha Maafa yao Vifo vyao 💀💀💀💀💀💀

Kwasasa mjinga yoyote bado atagundua kupitishwa na ile Sheria ya kuficha ficha majanga yao!!!

na leo picha za miji ya Israel ilivo pasuliwa na Iranian !!!

na vifo wateule w Mchongo wanatangaza aibu kubwa kwa Wachungaj na Walokole wao✍️
 
Mm nategemea kupata update humu.
Tena update za pande zote.

Ili nijue hiyo mijangiri ya kiiRan na mijangiri ya kiAmerika yanavyotwangana.

Hata hivyo pesa wanazotumia kulipuana ni zile wanazotunyonya sisi Miafrika.
Halafu tunajazana hapa kuyashabikia hiyo mijangiri.

Kumbe pole nilikuwa sijadhingatia ID yako ule muda usingiz umechangia!!!
 
Muongo wewe unapenda haki wapi? Mbona kwenye uzi wa Russia-Ukraine War upo upande wa Russia? Kule Russia ndio mvamizi anaonea Ukraine unasemaje?
Kule Kuna thread niliandika kabisa kua hapa Nipo upande wa Urusi Kwa Sababu Urusi inaonewa na west.
Lengo la Urusi pale kwanza lilikua ni kiwalinda raia wa Donbass ambao wanaongea kirusi na Wana asili ya Urusi, ambao walikua wanapigwa sana na Ukraine.
Lkn Urusi alikua anapinga Ukraine isijiunge na NATO kwa sababu kwa Ukraine kua NATO usalama wa Urusi ilikua mashakani.
Sio Siri USA ilikua inania ovu kwa Urusi ilikua inashinikiza Ukraine awe NATO ili baadae waje kuivamia Urusi na kuigawa vipandevipande,
Urusi ilishitukia mchezo.

Hii nimada nyingine kabisa,ukitaka tuanzishe thread juu ya sababu ya vita baina ya Urusi na Ukraine.
Urusi ilitumia njia zote za diplomasia kuitaka Marekani isiikaribishe Ukraine ndani ya NATO,Urusi iliandika barua kwa nchi zote kubwa za NATO juu ya ombi lake hilo lkn waliipuuza,
Urusi ikatoa onyo la mwisho na hatimae ikaingiza jeshi.

Urusi ilipendekeza Ukraine iwe nyutro yaani isiwe NATO wala isiwe upande wa Urusi yaani iwe na mahusiano na nchi za magharibi Kwa mambo mengine lkn sio kijeshi,yaani isiegemee upande wowote kijeshi zaidi ya kiuchumi TU.
Urusi Haina tatizo hata Ukraine ikiwa EU lkn sio NATO.
NATO ni Umoja wa kijeshi ambao upo kwa ajili ya kuidhibiti Urusi.
Kwa kifupi NATO ni adui namba moja wa Urusi.
 
ukifuatilia story ya kwamba Putin alitoa maombi ya kujiungaga nato huko kitambo akakataliwa , na muda huo anaamini kwa jeshi lake atakua mdau muhimu, akapata kuelewa kwamba hii nato adui wake ni russia. kwa hiyo pale kitaalam sana anaonewa "rasha" + makubaliano waliowekeana kwamba hawatajitanua kumkaribia
Umeongea ukweli mkubwa mno.
Na hiyo ndio Hali halisi.
Usa kupitia NATO alikua na Nia mbaya juu ya Russia.
 
Back
Top Bottom