City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda vya meli khorramshahr
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la viwanda vya meli khorramshahr
Wanasema wenyewe wanaopigana. Sasa mimi nitawabishia mkuu. Na wanadai sio ndege mbili bali 12 ziliangushwa pale kwenye uwanja wa pambano.Kwa hiyo unataka tujadiri Inasemekana? bila ushahidi wowote!!![]()
Huo uongo wenu unaisadiaje Iran kukwepa kibanoKaonekana lini??
Au huyo clone anayeoneshwa ambaye uso na mikono vinatofautiana rangi na gesture!??
Na hapa Allah amekujaje!??
Akili yako haifanyi kazi wewe.
Aya vipi kuhusu viongozi wengine kwanini wengi wamekimbilia Cyprus na Ujerumani??
Iran tunamuona Rais wao Masoud Pezeshkian kila kukicha na waziri wao wa mambo ya nje Araghchi,mbona wa Israel hatuwaoni??
Such pathetic imbecile!
Ndege zimepigwa na Iran at this point kama unabisha ushahidi wote uliotolewa umeamua Tu kubisha.Kuzipoteza was part of the mission, zilikuwa one way aircraft, not to return and were destroyed by their own bombs before they took off
Mkuu yaani Israel na marekani wawe na taarifa ya alipo kiongozi mkuu wa nchi na viongozi wakuu wa jeshi, wafanikiwe kuingia ndani ya Iran wawashambulie na kuwaua alafu wasijue haya uliyoandika????
Hebu tuwekee hiyo video na sisi ambao si Wafuga Midevu na Majini tuzione!!! Au hiyo live video mna Ina ninyi tu Wafuga Majini?Ndege zimepigwa na Iran at this point kama unabisha ushahidi wote uliotolewa umeamua Tu kubisha.
1. Ndege zimejaa matobo ya Risasi, ukitelekeza Ndege na kuilipua matundu ya Risasi yametokea wapi?
2. Ndege zina ammunition na vifaa kibao ndani vya thamani, kama ni one way why uwaachie Iran vitu vyote hivyo?
3. Iran wametoa video live ya moja ya mshambulizi wa Ndege
So far USA hawajataja jina, picha ama ushahidi wowote kwamba wameokoa MTU zaidi ya Trust me bro.
Mmeteketeza ndege na hakuna askari yeyote mliyekamata au mabaki,you guys are very funny 😁Ndege zimepigwa na Iran at this point kama unabisha ushahidi wote uliotolewa umeamua Tu kubisha.
1. Ndege zimejaa matobo ya Risasi, ukitelekeza Ndege na kuilipua matundu ya Risasi yametokea wapi?
2. Ndege zina ammunition na vifaa kibao ndani vya thamani, kama ni one way why uwaachie Iran vitu vyote hivyo?
3. Iran wametoa video live ya moja ya mshambulizi wa Ndege
So far USA hawajataja jina, picha ama ushahidi wowote kwamba wameokoa MTU zaidi ya Trust me bro.
Unamaanisha kuwa mtu yoyote anaweza kuingia Iran muda wowote na kuua kiongozi yoyote anayemtaka?Kwani kiongozi mkuu alikuwa wapi kiasi cha kuitaji Mossad au CIA Ayatollah alikuwa kwenye makazi yake Rasmi hakutaka kujificha popote!!!
Hawa watu uongo ndio kitu pekee wanachoweza.Mmeteketeza ndege na hakuna askari yeyote mliyekamata au mabaki,you guys are very funny 😁
Mkuu unabishana na huyo FALA!?Wanasema wenyewe wanaopigana. Sasa mimi nitawabishia mkuu. Na wanadai sio ndege mbili bali 12 ziliangushwa pale kwenye uwanja wa pambano.
Ukweli wanaujua wenyewe Marekani na Iran. Sisi tunasema wanayotasema.
Wewe kidogo kuna swali unauliza unajaribu kumuingiza jamaa kwenye mtego wako sema nadhani kakusoma,ukiwa na akili nzuri kuliko Echolima utakubali nikikwambia kwamba hao Hamas na Hiezbollah ni matokeo ya hichohicho anachokwambia jamaa ya uvamizi wa ardhi za watu.Cut the Long story short.
Je Hoja ya wayahudi ni kuhodhi nusu ya maeneo uliyoyataja?.
Sababu ya Vita za Iran zinafahamika na kila mtu.
Hata sisi tulioko umurashaka tunajua.
unahis kuna sababu nyingne nje ya hizo?.
Hamas , na Hezbollah zinapigana na Israel miaka na miaka. Nadhan unajua.
silaha na nguvu nadhan unajua zinapotoka.
Mkuu hii paragraph yako ya mwisho nina swali ambalo mara nyingi huwa sipati jibu, ngoja nikuulize na weweSema wenzetu nyie mnaweka hisia mbele sana na sijui hiyo dini yenu mna watu wa aina gani mmejawa na chuki sana,Hao Hezbollah au Hamas hawapiganii dini wanapigania ardhi zao ndani ya hayo makundi kuna wakristo wengi sana hasa Hezbollah..
Akijibu nijulishe Niko pale kwa Mwarabu nasubiri kula daku kufidisha siku ambazo sikufungaMkuu hii paragraph yako ya mwisho nina swali ambalo mara nyingi huwa sipati jibu, ngoja nikuulize na wewe
Ni kwa nini wayahudi wanachukuliwa na waislamu kama maadui wa waislamu bila kujali kuwa Kuna population pia kubwa ya waislamu? Hata Quran imetaja kuwa wayahudi hawapaswi kufanywa marafiki. Unahisi kwa nini jamii yote imechukuliwa hivyo?