Hoja yako ni Kuwa Israel ni mchokozi na anataka kuhodhi maeneo ya nchi jiran. Si ndio?.
General wa NATO muweke pemben.
Hoja yangu ni kuwa Iran na Israel wana vita vya chini chini kwa miaka na miaka. Cold war.
Na hasa baada ya kujua Iran kwa kias kikubwa inawasaidia Hamas na Hezbollah.
Hezbollah wanapambania Ardhi yao imetekwa na Israel !!!
na HAMAS Ivyo ivyo wanakufa wakijitaidi kupigania Ardhi yao ni Ardhi yao inafanya MEDIA propaganda wawaite magaidi ili wakiwauwa kinyama watu
waone wameuwawa Magaidi tu..
sio Binadamu wakawaida!!
mwenye haki zote ya Ardhi yao. Israel ni tatizo kubwa Duniani✍️