Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Huwezi kuwapangia maana wana mipango yao au wewe ni nani mpaka uwapangie cha kufanya? Au walipoanzisha mashambulizi huko uliwapangia?Okay sawa,
Pitisheni meli za mafuta sasa Hormuz Iran intelligence yao imeshaangamizwa tayari 😁😁