Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ukisha zingua haina haja ya kutuchagulia silaha, iran imefanya mashambulizi makali eneo la haifa

Ila media za marekani na vikaragosi wake israeli wana chuja picha na kuruhusu zenye kuharibu taswira ya iran.

Iran imesema vita haina macho, ila inalipa pigo 1 Kwa mapigo10 πŸ”₯πŸ”₯
 
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGONI πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

Makamanda watatu wa Islamic Revolutionary Guard Corps ya Iran pamoja na wanachama watatu wa Basij β€” kikosi cha kijeshi cha kujitolea kilicho chini ya IRGC β€” wameuawa katika Kaunti ya Sepidan, kusini mwa mkoa wa Fars nchini Iran, huku mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiendelea.
 
Hizi taarifa za Israel umetoa wapi
Si wamezuiliwa kupiga picha Israel
Zinatoka kwa asilimia mbili tu ya wakristo nchini Israel, ndio wanawasaliti wayahuhudi, ndio maana hata wamedhibitiwa kutozaana





Na tukisema ni kweli wanazuia taarifa zisitoke, angalia hili zee pumbavu linataka kufanya nini
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la shahin e Shahr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…