Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran italipizaji kisasi wakati USA imejipanga kuingia vitani kuibonda Iran? Iran ikae kimya tu mambo yasiwe makubwa, maana haitaweza kupigana na Israel na USA kwa wakati mmoja, mkumbuke kuna washirika wa NATO nao wataingia vitani kumsaidia mwanachama mwenzao USA
 
Kapigwa ndani kwake.

Iran alipozidiwa ni kwenye ujasusi
 
Hivi NATO huingilia hata mwanachama anapovamia wengine au mwanachama anapovamiwa tu
 
Itakieni amani Israel

Mungu tulindie Israel yetu kwa wivu mkubwa

ikatawale kuanzia Sinai had damsucus ya kale Hadi vilima vya Herman

kuanzia ng'ambo ya Jordan Hadi judea na samaria ...

mashujaa wrtu warudi na ushindi kamili

adui aangamie asurud tena
 

What areas have Israeli attacks targeted in Tehran?​

So far, Israeli attacks on the Iranian capital have targeted:

  • Ministry of Intelligence
  • Ministry of Defence
  • Atomic Energy Organisation of Iran
  • Parchin military complex
 
Mkuu, Imani ni MATENDO. Kama mtu ana matendo ya hovyo, huyo hana imani ila tu ana lebo ya kujitambulisha mbele za watu kwamba yeye ni wa Imani fulani. Ila imani inakuwa imekufa ndani yake
Kwanini mnahangaika hivo sasa, si muish huru tu
 
Masaa machache yajayo yatakuwa mabaya sana israel na marekani
What areas have Israeli attacks targeted in Tehran?
So far, Israeli attacks on the Iranian capital have targeted:

Ministry of Intelligence
Ministry of Defence
Atomic Energy Organisation of Iran
Parchin military complex

Wazee wa kobazi jifunzeni na makosa, Utawala wa Iran ni sawa na CCM
 
Hawa jamaa ndiyo maana Hitler alitaka waishe kabisa katika uso wa dunia, yaani wana mipango na maarifa inayowapelekea kuwa na generational wealth na nguvu kubwa mno. Kuna matajiri wengi duniani na makampuni and most of CBD big structures kwenye major cities duniani wao ndiyo wamiliki behind the scenes, mabenki mkubwa na media kubwa karibu zote ni zao. Yaani matajiri wengi na makampuni mengi nyuma ya pazia wamiliki halisi ni Jews. Kwa Afrika ukienda South Africa wale Boers inaosemekana wanamiliki uchumi wa SA I was shocked baada ya kufahamishwa kuwa si wamiliki halisi they're just front faces(it's just a front).
Wazungu wengi hasa wa Europe(Caucasians working class) kwa sasa wanalalamikia sana hili lakini tatizo hao wa juu ndiyo wanaendeshwa na bila connections za Jews ku-maintain kuwa juu wanahisi itakuwa mtihani.
 
Mkuu,hata mimi ni mkristo tena Mkatoliki. Ila tafadhali,tusitumie maneno MATAKATIFU ya Biblia kushangilia vifo na mauaji ya wengine. Hawa wakuu wa dunia wanafanya mambo kwa tamaa zao na sio kwa manufaa ya kiimani au kwa sababu wao wanampenda Mungu. Mwisho wa siku wanaolipa gharama za vita ni watu wa kawaida wasio na hatia huku wanaofaidika wakiwa wanasiasa. Hivi vita vikikolea,tutakaoteseka zaidi ni sisi nchi maskini maana bei ya mafuta itapanda maradufu na hatuna akiba za kujitosheleza muda mrefu wakati wa majanga
 
Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?

Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Ngoja na serikali yetu ipate visingizio mafuta yapande kila kitu kiwe ghali😢😢😢
 
Aisee fatilieni mambo, hii vita ni ya USA na Iran. USA yupo front kwenye hii vita mbona unakuwa mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…