Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikira Maria hayupo kuzimu, labda kama unamaanisha mtume saw sawa utamkuta kuzimu anakusubiriKwenye hao 72 umemshahu wa muhimu sana Bikira Maria.
Vijana kabisa NETANYAHU kaenda kuwapoteza kijingaaa kabisa.!!!
Umelewa nini maana hata sijaelewa mantiki yako... viroba kwani vimerudi tena TZ?Ukiona katafuta meza ya mazungumzo ujue ali tete dill lao ka kuichukua GAZA limekwama wananchi wamechagua kufia ktk ardhi yao uku nako Hamas awapoi wala kuishiwa si
IDF Wangapi wamekufa na bado akufikia lengo ata 1 jeuri imeondoka na Wajeda kibao!!! Afu kesho mizwazwa kashiba kande utasikia kwann waisrael waanaakili zaid. Wanunua udongo sijui lini watazinduka!!!!
Hamas spokesperson Abu Obaida claims Israeli army losses are much higher than reported.Umelewa nini maana hata sijaelewa mantiki yako... viroba kwani vimerudi tena TZ?
Mudi SAW anakusubiri kwa hamu kubwa sana jiandae ili utakapofika kuzimu na kuanza kupigwa tukio usishangae.Hahaha unataka kumtoa Bikira Maria wakati ndiyo muhimu😂
Mudi SAW anakusubiri kwa hamu kubwa sana jiandae ili utakapofika kuzimu na kuanza kupigwa tukio usishangae.
Trump hataki ucenge wa vita,yaani hela ya marekani ikateketee Gaza!!..biden mwisho jumapili kukaa ikulu🇮🇱🇵🇸⚡Israeli media: Netanyahu is preparing to present the agreement in Gaza for government approval tomorrow, Tuesday.
🚩 @ResistanceTrench
Na wanaotoa hela za kupigana wamegomaSiku za karibuni Israel imekuwa ikipoteza askari kwa kasi huko Gaza
Na wanaotoa hela za kupigana wamegoma
Mimi niliona habari kuwa baada ya cease fire ya lebanon utafuata hii,na linatokea now,wanaompa jeuri hawataki vita iendelee1. Biden anaona legacy yake imeingia tope kwa kugoma kuizuia Israel kuacha kuua watu. Sasa hivi anafanya tiamaji tiamaji ili kujikosha.
2. Chama cha Democrats kinaona kama Trump akiingia madarakani akawezesha kuzuia mapigano chama cha Republicans kitakomba ujiko mkubwa zaidi wa kisiasa.
3. Baada ya Janga la Moto California na Jinsi ulimwengu unavyowapiga kejeli kuwa "Mmekataa ceasefire gaza sasa fire imewafuata kwenu tena kwa ile mitajiri nguli" nahisi imewafanya wajitafakari kidogo!
Hakuna vita vya Israel na Palestina wewe mburula, vile ni vita dhidi ya Magaidi ya kiislam ya Hamasi.Netanyahu katema bungo bila kupenda mara siwezi kukaa meza moja na Hamas😂