Israel na Palestina ziko mbioni kusitisha mapigano

Israel na Palestina ziko mbioni kusitisha mapigano

✅ Wafungwa 30 wa Kipalestina wataachiliwa kwa kila mateka 1 wa Israel
✅ Wafungwa 50 wa Kipalestina wataachiliwa HURU kwa kila mwanajeshi 1 wa kike wa Israel
✅ Israel itajiondoa kabisa Gaza

Netanyahu mikwala yote kwisha😂
 

View: https://x.com/rd_fas1/status/1879599640859103315?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ilithibitishwa kuwa ramani za kuondolewa kwa vikosi vya uvamizi kutoka Gaza zitatokana na ramani kabla ya Oktoba 7.

Mhalifu Netanyahu alikuwa akisema kwamba hatutaondoka Gaza, na mashirika ya Kizayuni yalikuwa yakiendeleza ujenzi wa nyumba za walowezi kaskazini mwa Ukanda huo. Haya yote yaliondolewa na uthabiti na upinzani wa Gaza.
 
⚡️🇮🇱NDANI TU: Waziri wa Fedha wa Israel Bezalel Smotrich:

“Mkataba unaowasilishwa kwa serikali ni mbaya na hatari kwa usalama wa taifa wa Taifa la Israel. Ingawa kuna furaha kubwa na msisimko juu ya kurudi kwa kila mateka, mpango huo unabadilisha mafanikio mengi ya vita, ambapo mashujaa wa taifa hili walihatarisha maisha yao, na huenda, mbinguni ikakataza, kutugharimu sana kwa damu. Tunapinga vikali.

Hatutakaa kimya. Vilio vya damu ya ndugu zetu vinatuita. Sharti la wazi la kuendelea kuwepo kwetu serikalini ni uhakika kamili wa kurejea vitani kwa nguvu kubwa, kwa kiwango kamili, na kwa muundo mpya hadi ushindi kamili upatikane, ikiwa ni pamoja na kuharibiwa kwa shirika la kigaidi la Hamas na kurejea. ya mateka wote kwenye nyumba zao.

Katika siku mbili zilizopita, mimi na Waziri Mkuu tumekuwa tukifanya majadiliano ya kina kuhusu suala hilo. Anajua madai ya kina ya Uzayuni wa Kidini, na mpira sasa uko kwenye uwanja wake."
 

Wametema BUNGO iyo Gaza atamiaka ile ya nyuma walipakimbia apo GAZA sio poa wangeendelea Kubakia apo vifo kila siku vya IDF ukweli waisrael wameshindwa Sababu kimkakati Israel ilitakiwa kuondosha Hamas ili waisrael wapate tumaini kuwa lile tukio alitokei tena lkn sasa nikama kuwaambia waisrael IDF Imeshindwa kulinda usalama wenu akili mnazo mtaamua wenyewe m'baki maeneo ya karibu na GAZA au muame maeneo ayo.
Wale waisrael wanye misimamo mikali siku mbaya kwao wataanza kujiuzuru viongozi wengi ktk serikali ya Netanyahu na watumishi wengine!! Hamas wataogopa zaid kutokea sasa.
 
Back
Top Bottom