Wametema BUNGO iyo Gaza atamiaka ile ya nyuma walipakimbia apo GAZA sio poa wangeendelea Kubakia apo vifo kila siku vya IDF ukweli waisrael wameshindwa Sababu kimkakati Israel ilitakiwa kuondosha Hamas ili waisrael wapate tumaini kuwa lile tukio alitokei tena lkn sasa nikama kuwaambia waisrael IDF Imeshindwa kulinda usalama wenu akili mnazo mtaamua wenyewe m'baki maeneo ya karibu na GAZA au muame maeneo ayo.
Wale waisrael wanye misimamo mikali siku mbaya kwao wataanza kujiuzuru viongozi wengi ktk serikali ya Netanyahu na watumishi wengine!! Hamas wataogopwa zaid kutokea sasa