Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Dogo acha kuchanganya mafaili pia toa upuuzi uliojazwa huko madrasa,uyahudi ndio unahistoria kamli juu ya habari za ibrahimu na kizazi chake chote.

Hatuwezi amini kurwani kwasababu ni kitabu kilichotungwa na watu wenye chuki dhidi ya uyahudi na ukristo.
Mimi ni dogo naweza kuwa baba yako shenzi type, unajua umri wangu.

Sa we unaye sema ukristo ni dini nionyeshe wapi bibilia yenu inasema ukristo dini.

Na huyo myahudi katokana na nani kama sio kwenye kizazi cha Ishaq, kwa hio elewa mwarabu ndio zalio la kwanza la Ibrahim kabla ya wayahudi.
 
Sasa mbona anaanzia miaka 3500 tu iliyopita? Angeanzia mwaka "0" aseme Mungu aliumba Adam - muyahudi hivyo binadamu wote ni wayahudi na hakuna kqbila jingine?

Ndoto kama hizi hazipaswi kupewa nafasi. Kila mtu anaweza kuota kivyake ikawa fujo.

Aende mahakamani akapate tafsiri sIyo huu ununda wake:

View attachment 2785470

View attachment 2785469
Waliichukua hiyo ardhi kutoka kwa Wakanaani ambao hawapo tena leo hii duniani.
 
Israel imepiga hospitali ya kanisa huko Gaza na kuua mamia ya watu halafu mtu anakuja kujustify ukatili huu.
Unachanganya mambo,
Kusema Waisrael wana haki na ardhi waliyo nayo Mashariki ya kati haina maana kujustify vita, ukatili na vurugu za kugombania ardhi zinazoendelea eneo hilo.
 
Ardhi ya Wayahudi ni ipi au iko wapi hapa duniani leo hii?
Wana haki ya kusihi popote duniani including Israel, marekani, Ulaya, Africa, anywhere, ilimradi wafuate sheria
Na Wapalestina hivyo hivyo wana haki ya kuishi Israel, Marekani, Ulaya, anywhere ilimradi wanafuata sheria
 
Kasome historia. Hawa wamekuja baada ya Hitler
naijuwa historiq vzr , Waisrael waliporud hawakupora eneo la mtu bali walienda mabonden kama waluguru wa mto msimbaz miaka ya 2000 walikaa wao tu kule ss mtu anatokea tabata bima anaona kumedamshi kule bonden anasema hapa ni kwang ww ni mvamiz pisha hapa , JE HII NI SW ?
 
Wangoni wanafurahia zaidi ardhi ya Tanzania waliyo nayo sasa kuliko ya Africa Kusini.
Assume wangekuwa hawafurahii, je ni sawa kurudi South kudai eneo la kihistoria walio ishi mababu zao?
 
naijuwa historiq vzr , Waisrael waliporud hawakupora eneo la mtu bali walienda mabonden kama waluguru wa mto msimbaz miaka ya 2000 walikaa wao tu kule ss mtu anatokea tabata bima anaona kumedamshi kule bonden anasema hapa ni kwang ww ni mvamiz pisha hapa , JE HII NI SW ?

Utaijua historia wewe kuliko hawa?

IMG_1567.jpg

Screenshot_20231015-072654.png

Screenshot_20231021-083945.jpg

Huku kujimwambafy kwako hakuoni kuwa na walakini?
 
Assume wangekuwa hawafurahii, je ni sawa kurudi South kudai eneo la kihistoria walio ishi mababu zao?
Kama wangekuwa wanapigwa vita na kukataliwa na jamii nyingine jumuiya ya kimataifa ingeweza kufikiria kuwarudisha South kama solution mojawapo. Kumbuka kumekuwepo na conspiracy theories nyingi mbaya na za hatari sana kwa Wayahudi hadi kupelekea Holocaust ya Hitler.

Pia Wangoni walikubali kushindwa vita na Wazulu wakaamua kuondoka kabisa South Africa, Wa-Israeli hawajawahi kukubali hilo.
 
Mimi ni dogo naweza kuwa baba yako shenzi type, unajua umri wangu.

Sa we unaye sema ukristo ni dini nionyeshe wapi bibilia yenu inasema ukristo dini.

Na huyo myahudi katokana na nani kama sio kwenye kizazi cha Ishaq, kwa hio elewa mwarabu ndio zalio la kwanza la Ibrahim kabla ya wayahudi.

Kwa akili hizi utaendelea kuwa dogo hata kama una wajukuu,ukristo ni dini na muongozo kupitia yesu kristo,kristo ni mpakwa mafuta mtu aliyewekwa wakfu kwaajili ya kazi ya Mungu.

Myahudi katoka katika uzao halali wa ibrahimu na sara,ndio walio pewa agano na Mungu wao,

Ishimael ni mtoto wa bahati mbaya waarabu mnaita haramu yani wa nje ya ndoa kupitia kijakazi. Hata kama ni mwanae wa kwanza ila hakuwa katika ule mpango mkuu wa ahadi ya mungu kwa ibrahimu ndio mana hajiri na ishimael walifukuzwa watoke katika nyumba ya ibrahimu wakakimbilia jangwani.

Kasome ujielimishe halafu utumie akili sio upumbafu uliojazwa madrasa huku ukilambwa viboko kwa kukosea kutamka maneno ya kiarabu.
 
Kama wangekuwa wanapigwa vita na kukataliwa na jamii nyingine jumuiya ya kimataifa ingeweza kufikiria kuwarudisha South kama solution mojawapo. Kumbuka kumekuwepo na conspiracy theories nyingi mbaya na za hatari sana kwa Wayahudi hadi kupelekea Holocaust ya Hitler.

Pia Wangoni walikubali kushindwa vita na Wazulu wakaamua kuondoka kabisa South Africa, Wa-Israeli hawajawahi kukubali hilo.
Kwani si walipewa ardhi ya Palestina, why sasa wanashindwa kuheshimu mipaka iliyo weka,wanamega ardhi ya Palestina kimabavu kila siku.

Kwa miaka zaidi ya 75 wapalestina wanateseka wanauliwa huku dunia ikikaa kimya ,waende wapi na pale ndio kwao. Gazza kwa wanasiasa na watu wa haki za binadamu ambao kila siku report zao kuhusiana na uvunjifu wa haki za binadamu zinadharauliwa na wote wanakuja na output moja mpaka wameibatiza Gazza ni Open Air Prison.

Gazza wakazi wale nusu ni watoto,hivi haya mabomu yanayo rushwa hovyo hovyo unazani wanaou umia ni nani? Halafu mnasema taifa la Mungu,Mungu gani analibariki taifa linalo angamiza watoto,acheni kumsingizia Mungu kwa hiki kinacho endelea Gazza.
 
Waliichukua hiyo ardhi kutoka kwa Wakanaani ambao hawapo tena leo hii duniani.

Hata mmasai huamini ng'ombe wote wasiokuwa na meno mbele juu ni wao. Imani za namna hiyo hazipaswi kupewa nafasi katika jamii yoyote iliyostaraabika. Muhimu kutambua Imani Yako si ya mwingine ndiyo maana Kuna sheria hadi za kimataifa:

Screenshot_20231015-072654.png

IMG_1567.jpg

Kistaarabu ni kwa mujibu wa sheria si kwa mujibu wa Imani yako. Imani kila mtu ana yake.
 
Kwani si walipewa ardhi ya Palestina, why sasa wanashindwa kuheshimu mipaka iliyo weka,wanamega ardhi ya Palestina kimabavu kila siku.

Kwa miaka zaidi ya 75 wapalestina wanateseka wanauliwa ,waende wapi na pale ndio kwao. Gazza kwa wanasiasa na watu wa haki za binadamu ambao kila siku report zao kuhusiana na uvunjifu wa haki za binadamu zinadharauliwa na wote wanakuja na output moja mpaka wameibatiza Gazza ni Open Air Prison.

Gazza wakazi wale nusu ni watoto,hivi haya mabomu yanayo rushwa hovyo hovyo unazani wanaou umia ni nani? Halafu mnasema taifa la Mungu,Mungu gani analibariki taifa linalo angamiza watoto.
Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa inamilikiwa na Uingereza. Wayahudi walijipatia Sehemu kubwa ya ardhi yao ya mwanzo kutoka kwa Serikali ya Uingereza, hawakuwanyang'anya Wapalestina.
 
Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa inamilikiwa na Uingereza. Wayahudi walijipatia Sehemu kubwa ya ardhi yao ya mwanzo kutoka kwa Serikali ya Uingereza.
Hizo story mnazitolea wapi,kwani Tanganyika lilikuwa eneo la nani,Mwingereza au Mtanganyika?

Eneo lote hilo lilikuwa la Palestina kabla ya
Balfour Declaration ( nenda kasome) 1917,ambao waliigawa ardhi ya Palestina.

Na still bado pamoja na kupewa ardhi ya Palestina, kila siku wanaimega ardhi kwa miaka zaidi ya 75 Wapalestina wanaendelea kuteseka,mlitaka wafanye nini?
 
Back
Top Bottom