Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Umekuwa brainwashed na dini zaidi, tafuta historia kwenye vitabu mbalimbali, ukisoma quran huwezi ipata historia, utaipata ya uwongo angalau usome biblia kwanini waliitwa wana wa Israel. Kuanzia karne ya 7 ndipo waarabu walipokwenda ku conquer nchi yao.
Nionyeshe hio bibilia ya Karne ya 7 ipo wapi, hizo bibilia zenu si magazeti tu yalio andikwa na waisrael Paul, Luke, Matthew na John hawa wote ni waisrael walio tunga hizo bibilia na hakuna hata mmoja alimuona Yesu.

Hio Injil aliyo kuja nayo Yesu huwezi kukuta ujinga huo eti Israel taifa la Mungu, Sijui Israel ni nchi, Yesu alizaliwa Palestine si Israel kama mnavyo dai. Wakati wa Yesu hakuna nchi inaitwa Israel.
 
Ukisoma maandiko Mungu anamwambia Ibrahim atoke Iraq aende nchi atayomuonyesha ambayo ndio hiyo Jerusalem

Swali
1) Je Ibrahim alivyofika Jerusalem alikuta Mji au alikuta poli

2) Kama alikuwa Mji hao watu walikuwa kina nani?
Alipofika huko alikutana na mabedui ambao ni warabu na wayahudi si wa Israel, neno Israel limekuja bada ya kuja nabii Yokoub na kwa jina lingine anaitwa Israel.

Rudi ukasome shule, na history sio unafata tu bibilia inavyo waimbisha.


Warabu na wayahudi wanaishi pamoja miaka walikuwepo na wataendelea kuishi pamoja si wayahudi wote ni wakristo au Majewish wengine ni Waislam.
 
December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?
hv mkuu ule mji ambao Yesu aliulilia unaitwaje maana nimeusahau?
 
umeweka quotation ya mandela hapo, huyo mandela ni mojawapo ya watu wabinafsi na wapuuzi sana. anaheshimika kidunia kiunafiki tu. kwa namna Nyerere alivyompigania, kwa namna Tanzania tulivyorisk uchumi na mahusiano yetu, alitakiwa awe na shukrani ya kutosha, lakini alimtosa nyerere mwishoni huyo baada ya kutoka, na amesifia watu wengine zaidi ya nyerere na watanzania. na itoshe kusema alikoma kukaa gerezani kwa miaka 27 bila kukutana na nyapu yeyote, madume tu, na alipotoka alikoma zaidi kuona mkewe kipendi anafumuliwa na bwamdogo. to hell is him.
Ndio maana huwa simkubali sana nyerere pesa na nguv kazi alizopoteza kuwasaidia watu wasiokuwa na shukrani kama akina nandela angezitumia kujenga nchi tungekuwa mbali sana
 
Ndio maana huwa simkubali sana nyerere pesa na nguv kazi alizopoteza kuwasaidia watu wasiokuwa na shukrani kama akina nandela angezitumia kujenga nchi tungekuwa mbali sana
kwa geographical position tuliyokuwa nayo, nakuambia angewatosa hawa pimbi, tungekuwa mbali sana. tulitumia hadi pesa zetu kuwasaidia, walipopata, wametusahau, ati tunasubiria malipo kwa Mungu? angalia Angola, angalia zimbabwe,angalia Namibia, Mozambique anashirikiana na sisi kwasababu ya magaidi wanaowasumbua tu ila isingekuwa hivyo, tungeshagombana nao suala la gas. wakati tunawasaidia hao watu, kenya ilikuwa inakula good time na kuita wawekezaji, tungekuwa mbali sana kama tusingepoteza muda nao.
 
Ukisoma maandiko Mungu anamwambia Ibrahim atoke Iraq aende nchi atayomuonyesha ambayo ndio hiyo Jerusalem

Swali
1) Je Ibrahim alivyofika Jerusalem alikuta Mji au alikuta poli

2) Kama alikuwa Mji hao watu walikuwa kina nani?
alikuta watu na mapori. alipigana nao na kuwashinda. kizazi chake kilizaliwa pale kupitia Isaka, then Yakobo, ndugu yake esau akaenda pande za ulaya, ndio hao wazungu, Yakobo alipozaa wale watoto 12 wakamuuza Yusuph misri, ndio alikuja kuchukuliwa familia nzima (baada ya yusufu kuwa waziri mkuu wa misri) wakahamia misri wakakaa pale miaka 400. baada ya hapo Mungu ndio akamwambia Musa awapeleke tena Caanan kwasababu miaka 400 iliyopita aliwapaga babu zake, yaani Ibrahim Isaka na Yakobo. Musa ndio akawaongoza for 40 years wanazunguka jangwani kwasababu ya dhambi, hadi wakafika pale chini ya mkono wa Joshua.

walitakiwa kupigana na wenyeji ili kutwaa nchi yao. watu mojawapo wa waliokuwa wanaishi pale ni wafilisti, ambao ndio hao wapalestina. waliwapiga hadi wanayooka, ila walibaki tu Gaza, maeneo mengine yote yalichukuliwa na waisrael.

kwa hiyo kwa kujibu swali lako, haimaanishi kama walikuta watu au la, hoja ni kwamba eneo lile Mungu ambaye ndiye aliumba mbingu na nchi aliwapa waisrael specifically. sasa kama aliyefinyanga ardhi ndiye aliyetoa hati ya urithi huo, wewe ni nani upinge? na wewe ni nani ubishane na Mungu? whether walionewa au hawakuonewa Mungu ndio ameamua na kwa sababu zake anazozijua yeye.

na ukichukulia eneo hilo liliwahi kuvamiwa na mashetani yaliyozaa na wanadamu wakatokea wanadamu magiant (kama Goliath shujaa wa kipalestina/kifilist aliyeuawa na Daudi mtoto wa kiisrael). Mungu alishakichoka kizazi cha pale, na alimwelekeza Joshua asiwaache ateketeze chote. joshua alikiacha, ndio akaambiwa kwasababu haujanisikiliza, hao watawasumbua vizazi vyenu vyote. na ndicho kinachoendelea.
 
Kama yesu alikuwa myahudi ,ilikuwaje wayahudi wezie wakamua
kwahiyo unafikiri Yesu alikuwa mpalestina? aliuawa kwa sababu ilitabiriwa hivyo kwamba angeuawa kama kafara la dhambi zangu mimi na wewe.
 
kwahiyo unafikiri Yesu alikuwa mpalestina? aliuawa kwa sababu ilitabiriwa hivyo kwamba angeuawa kama kafara la dhambi zangu mimi na wewe.
Yesu, mama'ke ni Mwafrika, Yesu ni Mwafrika kwa asili.
 
Back
Top Bottom