blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Well narrated...video yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well narrated...video yake
Hii kitu watu hawaijui kabisa...sijui ni lini watu watakuja kujua .. wayahudi wa kipindi Cha yesu walikuwa weusi ...Hawa Ni wazungu wahuni tu na makatili..Wayahudi wapi unao ongelea. Hawa waliopo sasa wametoka nchi za Ulaya kuanzia miaka 75 iliyopita!. Wengi ni waabudu wa dini ya kiyahudi lakini sio kabisa wale waliokuwepo miaka hiyo!. Kuna watu wengi wanaitwa wayahudi kwasababu tu ya kuabudu dini na sio lazima wale jamii hii naona wengi wanajichanganya. Ukifuatilia DNA wayahudi wa miaka 2000 iliyopita wengi wapo North Africa, East Africa na wengine walibaki sehemu ile. Hawa wanao ongoza wengi wametoka German na Poland
Umekuwa brainwashed na dini zaidi, tafuta historia kwenye vitabu mbalimbali, ukisoma quran huwezi ipata historia, utaipata ya uwongo angalau usome biblia kwanini waliitwa wana wa Israel. Kuanzia karne ya 7 ndipo waarabu walipokwenda ku conquer nchi yao.Prophet Yaqub (pbuh) was born in Palestine, and was the son of Prophet Ishaq (pbuh). He is known for leading his life in the footsteps of his father and grandfather, spreading the message of the Oneness of God, and advising followers to pray and give in charity
Hili jibu linamtosha Mtume Yaqoub alizaliwa Palestine na anajulikana kwa jina.lingine ni Israel, kwa tarifa yako Israel waliba jina kutoka kwa Mtume Yaqoub wakanza kufake kwa kutengeneza bibilia kuwa Israel ni taifa [emoji23]
Bada ya Mtume yaqoub ndio kukatokea makabila ya Bani Israel 12 wako wakawa Waislam, wengine wakawa wakristo wengine Jewish ndio hao wanajita wa Israel lakini hakuna taifa lilo ongelewa na Mwenyezi Mungu zaidi ya Bani Israel yani kizazi cha Yaqoub au cha Israel kwa jina lingine.
Israel ni jina lingine la Mtu ambaye anaitwa Mtume Yakobo.
Kwani wanafaida gani kuwepo kwao? Kutwa mikelele tu. Wamalizwe wote tu.++Tukimaliza Palestina tunaingia Saudi Arabia. Maliza wote na mikanzu yao.Umepatwa na nini?
siwajui moderators, kama wana ushabiki wa imani za kidini waache. Huenda baadhi yao wana ufahamu mdogo kuhusu historia za dunia na mambo mazito. Kufuta nyuzi ambazo ni fact haipendezi kwa kweli. Muandishia anaandika uzi unafutwa halafu wahusika wakihojiwa huja na yaleyale yaliyoandikwa. Si kila nyuzi ni za kufutwa zingine ni ukweli mtupu kulingana na mukhtadha wa mambo yenyeweModerator aliyefuta ujumbe wangu ajitafakari, sinaga utoto wa kushabikia maafa ya vita popote duniani wala vinasaba vya kidini humu JF.
Hao waarabu wanafaida gani kuendelea kuwepo huko?amesema ukweli wote, nimesoma sana vitabu vya historia ya hawa watu, ipo hivyo hivyo. karne ya saba ndio waarabu walivamia hapo.
Tuungane tuwarudishe waarabu wa Afrika Kaskazini walikotokea.Kila mdu akipadai kwao miaka 4000 iligopita patakalika kweli Duniani
safi sana mkuu. Umeona mbali.December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?
Kule siyo kwao. Kwao ni Kanaani walikopewa na Mungu.Waisrael warudi kwao Uru ya Kardayo
Waislam ndio taifa gani?Mwambie . Waislam wanataka Masjid Aqswa yao
Kwaiyo hapakuwa kwakuwa hakuwaua?Ndio. Ila binadamu kwa asili tuna huruma kuhusu maandiko akaawacha watoto, wanawake wazee.
Dini imekuvuruga balaa.Prophet Yaqub (pbuh) was born in Palestine, and was the son of Prophet Ishaq (pbuh). He is known for leading his life in the footsteps of his father and grandfather, spreading the message of the Oneness of God, and advising followers to pray and give in charity
Hili jibu linamtosha Mtume Yaqoub alizaliwa Palestine na anajulikana kwa jina.lingine ni Israel, kwa tarifa yako Israel waliba jina kutoka kwa Mtume Yaqoub wakanza kufake kwa kutengeneza bibilia kuwa Israel ni taifa 😂
Bada ya Mtume yaqoub ndio kukatokea makabila ya Bani Israel 12 wako wakawa Waislam, wengine wakawa wakristo wengine Jewish ndio hao wanajita wa Israel lakini hakuna taifa lilo ongelewa na Mwenyezi Mungu zaidi ya Bani Israel yani kizazi cha Yaqoub au cha Israel kwa jina lingine.
Israel ni jina lingine la Mtu ambaye anaitwa Mtume Yakobo.
Ukisoma maandiko Mungu anamwambia Ibrahim atoke Iraq aende nchi atayomuonyesha ambayo ndio hiyo JerusalemDecember tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?