jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Yani hawa waisrael waliondoka karne ya 7 wakarudi karne ya 19 takribani miaka 1200 hawa jamaa ni kama wavamizi tu.
Kumbe ni kama ila sio kama wanataka ardhi yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hawa waisrael waliondoka karne ya 7 wakarudi karne ya 19 takribani miaka 1200 hawa jamaa ni kama wavamizi tu.
Alizikuta ila aliambiwa awaue wote.Nisichoelewa hapa issue ni dini, makabila au nn hasa? Kwani Abraham wakati anapewa Kanaani hakukuta jamii za watu wengine?
Kwa hiyo huko kuporwa Ardhi Kwa mkulima wa Kiyahudi na Waarabu ilitoka wapi wakati walishaenda Misri? Acheni fixKabla ya kwenda Misiri walitokea kwenye nchi hiyohiyo inayosemwa na Netanyau na walikwenda Misiri kwa kuchukuliwa na Yusufu ambaye aliuzwa Misiri na waishimail waliyemnunua kwa ndugu zake.
Toa gunzi nyuma,akili zako ndogo,elimu ndogoWaislamu ndio wanaongoza kwa kuiba na kubadili historia zisizo zao,waambie waarabu waondoke hapo uyahudi laa watakufa wote mbaki kuandika pray for.
Alipompa alikuwa si kaumba haukukuwa na watu .au hujui aliagiza wawaue waliowakuta .huyo ni mungu mwema anaeua ??Ugomvi ukizidi, Mungu aliyempa Ibrahimu aridhi hii, ataamua ugomvi
Kwaiyo aliambiwa aue ili pawe pake?Alizikuta ila aliambiwa awaue wote.
Ni binadamu wote tuna utashi. Tuna ubinadamu, Ukiona, mwanamke, msichana, mtoto, mzee mgonjwa unaumuacha. Kumpiga Mzee unatulia.
Unaonekana ni mvivu wa kufuatilia historia, mambo ya utumwani Misri yalitokea huko zamani miaka zaidi ya 1000 BC (Kabla ya Kristo). Huko kuporwa kwa ardhi na watawala wa Kiarabu ni mika 600 AD karne ya 7 hivi. Wakati Uislamu unaenezwa ulienezwa kwa upanga hivyo kwakuwa Wayahudi ni watu wa msimamo na dini yao wengi walikimbia nchi kutokana na mateso na ukandamizaji wa tawala hizo za Kiarabu.Kwa hiyo huko kuporwa Ardhi Kwa mkulima wa Kiyahudi na Waarabu ilitoka wapi wakati walishaenda Misri? Acheni fix
Ndio. Ila binadamu kwa asili tuna huruma kuhusu maandiko akaawacha watoto, wanawake wazee.Kwaiyo aliambiwa aue ili pawe pake?
This is it🤝🤝🤝 case closed!"Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa Kiarabu katika karne ya saba.
Wa-Arabu waliingia kutoka Arabia na kufanya kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla, si Warumi, Wa-Byzantini, si Wagiriki kabla yao, wala Alexanda the great, hakuna aliyewahi kufanya hivyo. Walianza kuchukua ardhi ya mkulima Myahudi. Walileta makoloni ya kijeshi ambayo yalichukua ardhi. Kadri muda ulivyopita, Wayahudi wakawa wachache katika ardhi yetu. Kwa hivyo, ni chini ya uvamizi wa Kiarabu ambapo Wayahudi walipoteza ardhi yao.
Wa-Arabu walikuwa wakoloni, Wayahudi walikuwa wenyeji. Hii ndivyo ilivyokuwa kwenye historia. Wayahudi walipokonywa ardhi yao. Tuliachwa tukitawanyika katika pembe za dunia, tukiteseka kwa sababu hatukuwa na nchi yetu, lakini hatukutoweka na kamwe hatukukata tamaa ya kurudi katika ardhi yetu ya kiasili.
Wa-Arabu, ambao walitawala ardhi, hawakuwahi kuifanya kuwa yao. Ilikuwa ardhi isiyo na watu. Katika karne ya 19, wazo la kurudi Yerusalemu likawa ukweli, na kwa sehemu kubwa, ilikuwa kutokana na msaada wa Wakristo Wakizayuni.
Kwa wazo la kurudi, Wayahudi waliendelea kurudi katika ardhi ya Israel katika karne ya 19. Matokeo ya kurudi huku ni kwamba tukaanza kujenga mashamba, viwanda, na maeneo ya ajira. Wa-Arabu, ambao walikuwa wamehamia katika karne zilizotangulia, sasa wanajiita Wapalestina. Waliibua upya historia na kusema wamekuwepo kwa karne nyingi.
Hawana haki ya kuwa hapa. Ardhi hii ni yetu. Imekuwa yetu kwa miaka 3,500. Ikiwa unachukua nyumba ya mtu, kuwafurusha na kuwapokonya, na hawakukataa madai yao, na wanasema ni madai yetu, na wewe unaiacha kama eneo lisilo na watu.
Na familia na uzao wa watu waliotimuliwa wanarudi, wanajenga nyumba, huna haki ya kuwakataza kuwa hapa. Tunawaambia, mnaweza kuishi hapa, sisi pia tunaweza kuishi hapa, lakini ardhi hii ni yetu, ni nchi yetu.
Na sababu hii ya mzozo inaendelea ni kwa sababu Wapalestina, wanaowakilisha wakoloni wa Kiarabu, uvamizi wa Kiarabu, katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine, wanadai kuwa hatuna haki ya kuwa na nchi ya Kiyahudi. Lakini tunayo haki. Kama kuna watu wenye haki ya kuwa na nchi, kama kuna watu ambao hawajawahi kukataa ndoto yao ya kurudi katika nchi yao ya kiasili, basi Wayahudi wanamiliki ardhi hii. Ardhi hii ni ya Wayahudi.
Wapalestina wana uhuru wa kuishi hapa karibu nasi, miongoni mwetu, lakini hawana haki ya kudai kuvunjwa kwa nchi ya Kiyahudi. Hiyo si haki. Hiyo ni dhuluma." Alisema Benjamin Netanyahu alipohojiwa na chombo kimoja cha Habari.
Khaaaaa😅😅😅😅umeweka quotation ya mandela hapo, huyo mandela ni mojawapo ya watu wabinafsi na wapuuzi sana. anaheshimika kidunia kiunafiki tu. kwa namna Nyerere alivyompigania, kwa namna Tanzania tulivyorisk uchumi na mahusiano yetu, alitakiwa awe na shukrani ya kutosha, lakini alimtosa nyerere mwishoni huyo baada ya kutoka, na amesifia watu wengine zaidi ya nyerere na watanzania. na itoshe kusema alikoma kukaa gerezani kwa miaka 27 bila kukutana na nyapu yeyote, madume tu, na alipotoka alikoma zaidi kuona mkewe kipendi anafumuliwa na bwamdogo. to hell is him.
Case is still open, the jury is still out.This is it🤝🤝🤝 case closed!
Ukweli unajulikana.Tumfufue Musa(Prophet Moses),yeye ndio anajua ukweli wa hilo eneo[emoji38][emoji38]
Wewe mungiki wa kikuyu roho yako chafu ukijua kuandika wewe inatosha,karibu ashdood hapa wewe mungiki 😂