Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Kumbe waarabu wahamiaji ndio walijipachika jina la wapalestina na kudai hiyo ardhi ni yao kumbe waisrael wakomae kabisa hao wapalestina warudi kwenye mataifa ya kiarabu maanake ndiko walikotoka.
Stori ya upande mmja
 
December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?

Mwarabu akae kutulia au aondoke myahudi anataka taifa lake.
 
Mesapotamia,uru wa wakaldayo ilipo iraq ya sasa
Ukienda kwenye dini mvamizi ni Myahudi alitoka Misri akaenda hapo alipo na aliwakuta watu ,kabla ya kwenda Misri Kwa njaa Wayahudi walikuwa wanaishi wapi? Walikotoka kabla ndio kwao ila sio hapa Kwa Wapalestina huu ni uongo.
 
hata kama waarabu walikuwa wengi zaidi, ni kwasababu wayahudi walitawanyika kwenda uhamishoni, wakawa wanaishi nchi ya ugeni. hilo lilitabiriwa, hata Yesu aliulilia sana mji wa Yerusalem. Kitabu chetu sisi ni cha kweli kilitabiri yote haya na yametokea. hoja ni kwamba, wapalestina watuonyeshe kitu hatakimoja tu cha kihistoria kinachothibitisha kwamba wao walimiliki ile ardhi.

waisrael watakuonyesha makaburi ya wafalme wote wa israel, yapo hadi leo. watakuonyesha mahali Yesu alizaliwa, watakuonyesha mji wa nazareth aliokulia Yesu, upo hadi leo, watakuoneysha maeneo mengi ambayo Biblia inayatambua, waarabu wenyewe wanayatambua. mpalestina hata cha kuonyesha zaidi ya Al Aqsa ambayo nayo haikujengwa na wapalestina, ilijengwa na wapiganaji wa kiislam walioupora mji wa Yerusalem na kujenga kile walichojenga pale. waarabu na wapalestina wote hawajawahi kuidai ile ardhi kama ni mali yao. never, hata majengo yoote unayaona ya zamani, yanathibitisha wayahudi walijenga na wanamiliki. ukuta wa maombolezo ule pale wenye tofali kilo miangapi sijui, ulijengwa na suleiman na masultan walipopomoa hekalu ili wajenge ule msikiti wakasahau kubomoa na ukuta wote, umebaki pale hadi leo kama ushuhuda.

Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
 
Stori ya upande mmja,tupeni stori ya Wapalestina maana hiyo ya Netanyahu ni ya kujitetea.

Mwenye stori ya upande wa pili nae aiweke ili tulinganishe.

Tujue Mpalestina akitoka wapi maana isijekuwa wakati wa tawala zote hizo za kale na Wapalestina walikuwepo na kutawaliwa pia au isijekuwa ni ugomvi wa watu wa familia Moja.

Kusema Wayahudi walifurushwa na Wapalestina/Waarabu inaleta ukakasi.
Historia hii ipo wazi nenda kasome kwenye vitabu vya historia ama tembelea legitimate sources kama wikipedia.
 
Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
Historia ya biblia inawabeba wayahudi. Hilo halina wa kupinga.
Sio kweli Kwa sababu kabla ya kwenda Misri Wayahudi walitoka wapi? Maana walipotoka Misri ndio wakaja hapo Kwa Wapalestina wakakuta watu.

Then haijaeleweka baada ya kukuta watu walioshindwa bila shaka kwenye vita ya Ardhi ndio wakatawanyika huko Ulaya na kwingineko.

Aloyewarudisha Wayahudi 1958 ni Marekani,Kwa nini warudi kwenye Ardhi ya watu?
 
"Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa Kiarabu katika karne ya saba.

Wa-Arabu waliingia kutoka Arabia na kufanya kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla, si Warumi, Wa-Byzantini, si Wagiriki kabla yao, wala Alexanda the great, hakuna aliyewahi kufanya hivyo. Walianza kuchukua ardhi ya mkulima Myahudi. Walileta makoloni ya kijeshi ambayo yalichukua ardhi. Kadri muda ulivyopita, Wayahudi wakawa wachache katika ardhi yetu. Kwa hivyo, ni chini ya uvamizi wa Kiarabu ambapo Wayahudi walipoteza ardhi yao.

Wa-Arabu walikuwa wakoloni, Wayahudi walikuwa wenyeji. Hii ndivyo ilivyokuwa kwenye historia. Wayahudi walipokonywa ardhi yao. Tuliachwa tukitawanyika katika pembe za dunia, tukiteseka kwa sababu hatukuwa na nchi yetu, lakini hatukutoweka na kamwe hatukukata tamaa ya kurudi katika ardhi yetu ya kiasili.

Wa-Arabu, ambao walitawala ardhi, hawakuwahi kuifanya kuwa yao. Ilikuwa ardhi isiyo na watu. Katika karne ya 19, wazo la kurudi Yerusalemu likawa ukweli, na kwa sehemu kubwa, ilikuwa kutokana na msaada wa Wakristo Wakizayuni.

Kwa wazo la kurudi, Wayahudi waliendelea kurudi katika ardhi ya Israel katika karne ya 19. Matokeo ya kurudi huku ni kwamba tukaanza kujenga mashamba, viwanda, na maeneo ya ajira. Wa-Arabu, ambao walikuwa wamehamia katika karne zilizotangulia, sasa wanajiita Wapalestina. Waliibua upya historia na kusema wamekuwepo kwa karne nyingi.

Hawana haki ya kuwa hapa. Ardhi hii ni yetu. Imekuwa yetu kwa miaka 3,500. Ikiwa unachukua nyumba ya mtu, kuwafurusha na kuwapokonya, na hawakukataa madai yao, na wanasema ni madai yetu, na wewe unaiacha kama eneo lisilo na watu.

Na familia na uzao wa watu waliotimuliwa wanarudi, wanajenga nyumba, huna haki ya kuwakataza kuwa hapa. Tunawaambia, mnaweza kuishi hapa, sisi pia tunaweza kuishi hapa, lakini ardhi hii ni yetu, ni nchi yetu.

Na sababu hii ya mzozo inaendelea ni kwa sababu Wapalestina, wanaowakilisha wakoloni wa Kiarabu, uvamizi wa Kiarabu, katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine, wanadai kuwa hatuna haki ya kuwa na nchi ya Kiyahudi. Lakini tunayo haki. Kama kuna watu wenye haki ya kuwa na nchi, kama kuna watu ambao hawajawahi kukataa ndoto yao ya kurudi katika nchi yao ya kiasili, basi Wayahudi wanamiliki ardhi hii. Ardhi hii ni ya Wayahudi.

Wapalestina wana uhuru wa kuishi hapa karibu nasi, miongoni mwetu, lakini hawana haki ya kudai kuvunjwa kwa nchi ya Kiyahudi. Hiyo si haki. Hiyo ni dhuluma." Alisema Benjamin Netanyahu alipohojiwa na chombo kimoja cha Habari.
Ukweli upo hivi Islam ilitumia nguvu kubwa sana kuondoa dini zote, tamaduni zote, mila zote , kabila zote karne ya saba duniani kote kutumia upanga, jambia kodi kutengwa. Kuliko falme zilizopita.

Nchi nyingi zilitawaliwa ila sio kwa ukatili uofanyika karne hio.

Waarabu wengi walikuwa Wakristo kabla ya 700, Persia, Uturuki, India, Afrika Magharibi, kaskazini, mashariki zilivamiwa chini ya upanga.

Kabla ya hapo kulikuwa na kuvumiliana, Ethiopia, Sudan, Egypt, Greece ,Romans, Persia waliacha tamadamu kidogo za wazawa.

Ila Uislamu ilikuwa ni hivi unachukua dini yetu au kifo.
Wengi walichagua kuishi.
 
Okay
 

Attachments

  • 1697569231144.jpg
    1697569231144.jpg
    20.2 KB · Views: 3
Halafu wewe mlalahoi wa hapo Tandale jifunze kuandika, tafuta mtu akufundishe namna ya kuzingatia alama za uakifishaji, tatizo utakuta umevimbiwa ubwabwa hapo baada ya kujazwa ujinga kijiweni unaona uje kuandka andika humu JF, sasa nini hiki umeandika hapa, hukushirikisha ubongo.
Wewe mungiki wa kikuyu roho yako chafu ukijua kuandika wewe inatosha,karibu ashdood hapa wewe mungiki 😂
 
Ukweli upo hivi Islam ilitumia nguvu kubwa sana kuondoa dini zote, tamaduni zote, mila zote , kabila zote karne ya saba duniani kote kutumia upanga, jambia kodi kutengwa. Kuliko falme zilizopita.

Nchi nyingi zilitawaliwa ila sio kwa ukatili uofanyika karne hio.

Waarabu wengi walikuwa Wakristo kabla ya 700, Persia, Uturuki, India, Afrika Magharibi, kaskazini, mashariki zilivamiwa chini ya upanga.

Kabla ya hapo kulikuwa na kuvumiliana, Ethiopia, Sudan, Egypt, Greece ,Romans, Persia waliacha tamadamu kidogo za wazawa.

Ila Uislamu ilikuwa ni hivi unachukua dini yetu au kifo.
Wengi walichagua kuishi.
Nisichoelewa hapa issue ni dini, makabila au nn hasa? Kwani Abraham wakati anapewa Kanaani hakukuta jamii za watu wengine?
 
December tu yenyewe watu watamiminika Bethlehem ambayo ipo westbank (eneo wanakoishi wapalestina) ambako Yesu aliyeishi kama Myahudi alizaliwa. halafu mtu anakuja leo anasema ile ardhi sio ya wayahudi, akili matope hayo?
Kama yesu alikuwa myahudi ,ilikuwaje wayahudi wezie wakamua
 
Sio kweli Kwa sababu kabla ya kwenda Misri Wayahudi walitoka wapi? Maana walipotoka Misri ndio wakaja hapo Kwa Wapalestina wakakuta watu.

Then haijaeleweka baada ya kukuta watu walioshindwa bila shaka kwenye vita ya Ardhi ndio wakatawanyika huko Ulaya na kwingineko.

Aloyewarudisha Wayahudi 1958 ni Marekani,Kwa nini warudi kwenye Ardhi ya watu?
Kabla ya kwenda Misiri walitokea kwenye nchi hiyohiyo inayosemwa na Netanyau na walikwenda Misiri kwa kuchukuliwa na Yusufu ambaye aliuzwa Misiri na waishimail waliyemnunua kwa ndugu zake.
 
Mandela hajawahi kuwa jembe.
Alisifiwa zaidi na wanyonyaji wa Afrika ikiwamo makaburu.
Sababu alifuata matakwa ya makaburu.
Sifa walizompa ilikuwa ni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa

We can agree to disagree;

1664543999224~2.jpg
 
Hayuko sahihi,wayahudi kazi yao kuibadili history iendane na agenda zao, byzantine waliwatimua, waislam chini ya ummar wakawarudisha baada ya kuwatimua wabynztine

Waislamu ndio wanaongoza kwa kuiba na kubadili historia zisizo zao,waambie waarabu waondoke hapo uyahudi laa watakufa wote mbaki kuandika pray for.
 
Back
Top Bottom