Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

mandela alikuwa jembe kuliko nyerere? unaongea nini wewe? mandela amelialia tukamwonea huruma na kupoteza hadi uchumi wetu hapa tunampigania yeye yupo gerezani hadi watu wetu wameuliwa kwasababu yake, halafu unakuja kusema alikuwa jembe? alifanya nini cha maana? kukubali kuishi pamoja na wazungu? icho tu? wakati alikuwa hana namna lazima angefanya hivyo tu? tuambie amefanya nini cha maana? yeye yupo gerezani wengine ndio wanapambana. hata aliyekuwa mkewe winnie, alipambana na alikuwa jembe kuliko mandela.

wazungu walimpa nobel prize kwasababu apartheid ilienda miaka mingi, walitegemea kuwakuta na kulipiza kisasi, lakini akasamehe yote. kule kusamehe tu ndio aliwafurahisha wazungu ambao walikuwa wanatuita sisi iran na tulinyimwa hadi misaada kwasababu ya kumsaidia yeye akiwa gerezani.


View: https://medium.com/@matshonatdhliwayo/7-reasons-why-nelson-mandela-was-a-great-leader-by-matshona-dhliwayo-203fdab12b03

Click hspo uone mambo.

Habari ndiyo hiyo.
 
Na huo ndo ukweli wachane bwana "Nyau" Hata zanzibar isingekuwa waarabu leo hii ingekua mkoa tu wa tanganyika usio na dini moja.
 
wewe utakuwa ni mtoto wa masalia ya wasouth waliokuwa wanatrain hapa bongo miaka ile. kapime DNA na unayemwita babako. mbona huelewi?

1664543999224~2.jpg
 
Hii vita ya sasa hivi itawafungua wengi na kujua hawa jamaa hawana ugomvi wa kidini,ugomvi wao myahudi na mwarabu,yan mwarabu awe mkristo awe muislam hawezi kumkubali myahudi,na ndivyo kwa wayahudi awe jewish au muslim kamwe amkubali mwarabu,upande wa israel kuna waisrael waislam ambao wako sambaba na wayahudi kupigania ardhi yao na upande wa waarabu ni hivyo hivyo,sasa wale waislam na wakristo wa kwa mtogole akili inawarudi kidogo kidogo kama ilivyo kwa myahudi wa kwenye maslum MK254
 
Kwa hiyo wamekuwa wakigombea hiyo ardhi toka kitambo hiko mpaka leo jamani🤔
 
Hii vita ya sasa hivi itawafungua wengi na kujua hawa jamaa hawana ugomvi wa kidini,ugomvi wao myahudi na mwarabu,yan mwarabu awe mkristo awe muislam hawezi kumkubali myahudi,na ndivyo kwa wayahudi awe jewish au muslim kamwe amkubali mwarabu,upande wa israel kuna waisrael waislam ambao wako sambaba na wayahudi kupigania ardhi yao na upande wa waarabu ni hivyo hivyo,sasa wale waislam na wakristo wa kwa mtogole akili inawarudi kidogo kidogo kama ilivyo kwa myahudi wa kwenye maslum MK254

Halafu wewe mlalahoi wa hapo Tandale jifunze kuandika, tafuta mtu akufundishe namna ya kuzingatia alama za uakifishaji, tatizo utakuta umevimbiwa ubwabwa hapo baada ya kujazwa ujinga kijiweni unaona uje kuandka andika humu JF, sasa nini hiki umeandika hapa, hukushirikisha ubongo.
 
"Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa Kiarabu katika karne ya saba.

Wa-Arabu waliingia kutoka Arabia na kufanya kitu ambacho hakijawahi kutokea kabla, si Warumi, Wa-Byzantini, si Wagiriki kabla yao, wala Alexanda the great, hakuna aliyewahi kufanya hivyo. Walianza kuchukua ardhi ya mkulima Myahudi. Walileta makoloni ya kijeshi ambayo yalichukua ardhi. Kadri muda ulivyopita, Wayahudi wakawa wachache katika ardhi yetu. Kwa hivyo, ni chini ya uvamizi wa Kiarabu ambapo Wayahudi walipoteza ardhi yao.

Wa-Arabu walikuwa wakoloni, Wayahudi walikuwa wenyeji. Hii ndivyo ilivyokuwa kwenye historia. Wayahudi walipokonywa ardhi yao. Tuliachwa tukitawanyika katika pembe za dunia, tukiteseka kwa sababu hatukuwa na nchi yetu, lakini hatukutoweka na kamwe hatukukata tamaa ya kurudi katika ardhi yetu ya kiasili.

Wa-Arabu, ambao walitawala ardhi, hawakuwahi kuifanya kuwa yao. Ilikuwa ardhi isiyo na watu. Katika karne ya 19, wazo la kurudi Yerusalemu likawa ukweli, na kwa sehemu kubwa, ilikuwa kutokana na msaada wa Wakristo Wakizayuni.

Kwa wazo la kurudi, Wayahudi waliendelea kurudi katika ardhi ya Israel katika karne ya 19. Matokeo ya kurudi huku ni kwamba tukaanza kujenga mashamba, viwanda, na maeneo ya ajira. Wa-Arabu, ambao walikuwa wamehamia katika karne zilizotangulia, sasa wanajiita Wapalestina. Waliibua upya historia na kusema wamekuwepo kwa karne nyingi.

Hawana haki ya kuwa hapa. Ardhi hii ni yetu. Imekuwa yetu kwa miaka 3,500. Ikiwa unachukua nyumba ya mtu, kuwafurusha na kuwapokonya, na hawakukataa madai yao, na wanasema ni madai yetu, na wewe unaiacha kama eneo lisilo na watu.

Na familia na uzao wa watu waliotimuliwa wanarudi, wanajenga nyumba, huna haki ya kuwakataza kuwa hapa. Tunawaambia, mnaweza kuishi hapa, sisi pia tunaweza kuishi hapa, lakini ardhi hii ni yetu, ni nchi yetu.

Na sababu hii ya mzozo inaendelea ni kwa sababu Wapalestina, wanaowakilisha wakoloni wa Kiarabu, uvamizi wa Kiarabu, katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine, wanadai kuwa hatuna haki ya kuwa na nchi ya Kiyahudi. Lakini tunayo haki. Kama kuna watu wenye haki ya kuwa na nchi, kama kuna watu ambao hawajawahi kukataa ndoto yao ya kurudi katika nchi yao ya kiasili, basi Wayahudi wanamiliki ardhi hii. Ardhi hii ni ya Wayahudi.

Wapalestina wana uhuru wa kuishi hapa karibu nasi, miongoni mwetu, lakini hawana haki ya kudai kuvunjwa kwa nchi ya Kiyahudi. Hiyo si haki. Hiyo ni dhuluma." Alisema Benjamin Netanyahu alipohojiwa na chombo kimoja cha Habari.
Leo sasa ndo amefunguka ya Moyoni, mengine zuga tu.

Hiki ndo wanachokitaka na ndo maana hawaishi kuwachokonoa wapalestina kila kukicha
 
Sasa mbona anaanzia miaka 3500 tu iliyopita? Angeanzia mwaka "0" aseme Mungu aliumba Adam - muyahudi hivyo binadamu wote ni wayahudi na hakuna kqbila jingine?

Ndoto kama hizi hazipaswi kupewa nafasi. Kila mtu anaweza kuota kivyake ikawa fujo.

Aende mahakamani akapate tafsiri sIyo huu ununda wake:

View attachment 2785470

View attachment 2785469
Kila mdu akipadai kwao miaka 4000 iligopita patakalika kweli Duniani
 
Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500
If that's the case mbona Idd Amin alipodai historically kuwa Kagera ilikua Uganda mbona alipingwa? Same to Russia anaona kama Crimea ni historically Russia ila anapingwa? But kwa israel pekee ndio halali?

Huu unafiki ni kwa faida ya nani?
 
Back
Top Bottom