Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Nionyeshe hio bibilia ya Karne ya 7 ipo wapi, hizo bibilia zenu si magazeti tu yalio andikwa na waisrael Paul, Luke, Matthew na John hawa wote ni waisrael walio tunga hizo bibilia na hakuna hata mmoja alimuona Yesu.Umekuwa brainwashed na dini zaidi, tafuta historia kwenye vitabu mbalimbali, ukisoma quran huwezi ipata historia, utaipata ya uwongo angalau usome biblia kwanini waliitwa wana wa Israel. Kuanzia karne ya 7 ndipo waarabu walipokwenda ku conquer nchi yao.
Hio Injil aliyo kuja nayo Yesu huwezi kukuta ujinga huo eti Israel taifa la Mungu, Sijui Israel ni nchi, Yesu alizaliwa Palestine si Israel kama mnavyo dai. Wakati wa Yesu hakuna nchi inaitwa Israel.