Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi ni dogo naweza kuwa baba yako shenzi type, unajua umri wangu.Dogo acha kuchanganya mafaili pia toa upuuzi uliojazwa huko madrasa,uyahudi ndio unahistoria kamli juu ya habari za ibrahimu na kizazi chake chote.
Hatuwezi amini kurwani kwasababu ni kitabu kilichotungwa na watu wenye chuki dhidi ya uyahudi na ukristo.
Mkuu mm siamini uwepo wa mungu yoyote Yulemungu wa kwako chinjachinja ndio muongo na mjinga. ila Mungu wa Israel aliyemtoa Yesu Kristo ndiye mtawala hata juu yako. fyata mkia foolish wewe.
Walikutana wapi na Mungu?Kule siyo kwao. Kwao ni Kanaani walikopewa na Mungu.
Hiyo ni ardhi ya Wayahudi na Wapalestina,Wayahudi walikuta watu pale. Asijishaue.
Ardhi ya Wayahudi ni ipi au iko wapi hapa duniani leo hii?Kasome historia vizuri ujue population ya Wayahudi ilikuwa ni kiasi gani mwaka 1947 na Waarabu walikuwa wangapi. Ondoa moshi wa propaganda akilini mwako.
Waliichukua hiyo ardhi kutoka kwa Wakanaani ambao hawapo tena leo hii duniani.Sasa mbona anaanzia miaka 3500 tu iliyopita? Angeanzia mwaka "0" aseme Mungu aliumba Adam - muyahudi hivyo binadamu wote ni wayahudi na hakuna kqbila jingine?
Ndoto kama hizi hazipaswi kupewa nafasi. Kila mtu anaweza kuota kivyake ikawa fujo.
Aende mahakamani akapate tafsiri sIyo huu ununda wake:
View attachment 2785470
View attachment 2785469
Unachanganya mambo,Israel imepiga hospitali ya kanisa huko Gaza na kuua mamia ya watu halafu mtu anakuja kujustify ukatili huu.
Wangoni wanafurahia zaidi ardhi ya Tanzania waliyo nayo sasa kuliko ya Africa Kusini.Wangoni inabidi warudi kwao South Africa kudai ardhi yao.
Wana haki ya kusihi popote duniani including Israel, marekani, Ulaya, Africa, anywhere, ilimradi wafuate sheriaArdhi ya Wayahudi ni ipi au iko wapi hapa duniani leo hii?
naijuwa historiq vzr , Waisrael waliporud hawakupora eneo la mtu bali walienda mabonden kama waluguru wa mto msimbaz miaka ya 2000 walikaa wao tu kule ss mtu anatokea tabata bima anaona kumedamshi kule bonden anasema hapa ni kwang ww ni mvamiz pisha hapa , JE HII NI SW ?Kasome historia. Hawa wamekuja baada ya Hitler
Assume wangekuwa hawafurahii, je ni sawa kurudi South kudai eneo la kihistoria walio ishi mababu zao?Wangoni wanafurahia zaidi ardhi ya Tanzania waliyo nayo sasa kuliko ya Africa Kusini.
naijuwa historiq vzr , Waisrael waliporud hawakupora eneo la mtu bali walienda mabonden kama waluguru wa mto msimbaz miaka ya 2000 walikaa wao tu kule ss mtu anatokea tabata bima anaona kumedamshi kule bonden anasema hapa ni kwang ww ni mvamiz pisha hapa , JE HII NI SW ?
Kama wangekuwa wanapigwa vita na kukataliwa na jamii nyingine jumuiya ya kimataifa ingeweza kufikiria kuwarudisha South kama solution mojawapo. Kumbuka kumekuwepo na conspiracy theories nyingi mbaya na za hatari sana kwa Wayahudi hadi kupelekea Holocaust ya Hitler.Assume wangekuwa hawafurahii, je ni sawa kurudi South kudai eneo la kihistoria walio ishi mababu zao?
Mimi ni dogo naweza kuwa baba yako shenzi type, unajua umri wangu.
Sa we unaye sema ukristo ni dini nionyeshe wapi bibilia yenu inasema ukristo dini.
Na huyo myahudi katokana na nani kama sio kwenye kizazi cha Ishaq, kwa hio elewa mwarabu ndio zalio la kwanza la Ibrahim kabla ya wayahudi.
Kwani si walipewa ardhi ya Palestina, why sasa wanashindwa kuheshimu mipaka iliyo weka,wanamega ardhi ya Palestina kimabavu kila siku.Kama wangekuwa wanapigwa vita na kukataliwa na jamii nyingine jumuiya ya kimataifa ingeweza kufikiria kuwarudisha South kama solution mojawapo. Kumbuka kumekuwepo na conspiracy theories nyingi mbaya na za hatari sana kwa Wayahudi hadi kupelekea Holocaust ya Hitler.
Pia Wangoni walikubali kushindwa vita na Wazulu wakaamua kuondoka kabisa South Africa, Wa-Israeli hawajawahi kukubali hilo.
Waliichukua hiyo ardhi kutoka kwa Wakanaani ambao hawapo tena leo hii duniani.
Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa inamilikiwa na Uingereza. Wayahudi walijipatia Sehemu kubwa ya ardhi yao ya mwanzo kutoka kwa Serikali ya Uingereza, hawakuwanyang'anya Wapalestina.Kwani si walipewa ardhi ya Palestina, why sasa wanashindwa kuheshimu mipaka iliyo weka,wanamega ardhi ya Palestina kimabavu kila siku.
Kwa miaka zaidi ya 75 wapalestina wanateseka wanauliwa ,waende wapi na pale ndio kwao. Gazza kwa wanasiasa na watu wa haki za binadamu ambao kila siku report zao kuhusiana na uvunjifu wa haki za binadamu zinadharauliwa na wote wanakuja na output moja mpaka wameibatiza Gazza ni Open Air Prison.
Gazza wakazi wale nusu ni watoto,hivi haya mabomu yanayo rushwa hovyo hovyo unazani wanaou umia ni nani? Halafu mnasema taifa la Mungu,Mungu gani analibariki taifa linalo angamiza watoto.
Hizo story mnazitolea wapi,kwani Tanganyika lilikuwa eneo la nani,Mwingereza au Mtanganyika?Kabla ya mwaka 1948 sio ardhi yote ya eneo hilo ilikuwa ya Waarabu Wapalestina. Sehemu ya ardhi ilikuwa inamilikiwa na Wayahudi wachache, Sehemu kubwa ilikuwa ni ardhi ya umma iliyokuwa inamilikiwa na Uingereza. Wayahudi walijipatia Sehemu kubwa ya ardhi yao ya mwanzo kutoka kwa Serikali ya Uingereza.
Ukiwa na maana gani??Kasome historia vizuri ujue population ya Wayahudi ilikuwa ni kiasi gani mwaka 1947 na Waarabu walikuwa wangapi. Ondoa moshi wa propaganda akilini mwako.