Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20260309_093113_Google.jpg

Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
  • Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
  • Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
  • Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
  • Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
 
Hata kwenye kitabu cha Mwanzo 15:18-21, Mungu alifafanua mipaka ya nchi hiyo, kuanzia mto wa Misri mpaka mto mkubwa, mto Frati.
  • Uzao mwingi: Nchi hiyo ingekaliwa na uzao wake ambao ungekuwa mwingi kama mavumbi ya nchi au nyota za mbinguni.
  • Baraka kwa Mataifa: Kupitia Ibrahimu na uzao wake katika nchi hiyo, jamaa zote za dunia wangebarikiwa.
  • Muda wa Utimilifu: Mungu alimweleza Ibrahimu kuwa uzao wake ungekuwa mgeni katika nchi isiyo yao (Misri) kwa miaka 400 kabla ya kurudi kuimiliki Kanaani.
Screenshot_20260309_092940_Google.jpg
 
Israel ni jina la mtu,uyahudi ni dini hata wewe unaweza kuwa
Dunia haiwezi kuifanya biblia iliyoandikwa,haririwa na wahuni mara nyingi isiyo idadi,kuwa rejea ya kupora ardhi
Wanaoitwa wayahudi DNA zao siyo semitic bali za ulaya kwa 89+%, wapalestina DNA zao ni semitic
 
Wayahudi ni taifa. Linalotokana na taifa la Judea. Baada ya taifa la Israel kugawanyika na kuwa mataifa mawili. Israel na yuda.
 
Picha inaanzia mwaka 63 kabla ya kuzaliwa Kristu pale dola ya warumi ilipoivamia nchi ya wayahudi na kuitawala kama wakoloni, wakamtoa mfalme wa wayahudi, Hasmonean na kumuweka Herod madarakani. Wayahudi hawakukubali kutawaliwa hivyo wakapigana vita kadhaa za kutafuta uhuru, Mwaka 165 baada ya kuzaliwa Kristu, vita kali ilizuka lakini wayahudi wakashindwa tena na baada ya vita hii warumi wakaamua kuwafukuza wayahudi kutoka nchi yao.

Wakaibadilisha jina nchi hiyo na kuiita Palestina, hili ni neno la kigiriki ambalo maana yake ni 'vunja kabisa uhusiano kati ya wayahudi na ardhi yao', Wayahudi wakasambaa Ulaya ambayo ilikuwa chini ya Warumi, na hawakutakiwa tena kurudi.

Hiki kilikuwa kipindi ambacho ukristu ulikuwa unaanza kushamiri lakini warumi waliupiga vita, kuwa mkristu ilikuwa kosa kubwa sana ndani ya himaya ya warumi hadi karne ya nne pale mtawala wa warumi, Constantine alipoupokea na yeye kuwa Mkristo.

Constantine akausambaza katika himaya yote aliyoitawala na kuufanya ukristu kuwa dini rasmi ya warumi, Hii ilimaanisha kwamba sasa wazungu wataanza kujifunza ukristu na katika kujifunza wakagundua kwamba kumbe wayahudi ndiyo walimuua Yesu., Wakawachukia na kuanza kuwaua kila walipokuwepo.

Karne kadhaa baadaye himaya ya warumi ikaanguka na nchi ya Palestina pamoja na eneo lote la Mashariki ya Kati likaangukia chini ya tawala kadhaa za kiislamu za waarabu. Hapo ndipo Palestina ikakaliwa na waarabu, Utawala wa mwisho wa kiislamu ukawa wa himaya ya Ottoman, ambayo ilianguka baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia.

Ottoman ilipigana vita ya dunia upande wa Ujerumani, baada ya kushindwa, ikanyang'anywa makoloni yake yote kama adhabu, kama ilivyokuwa kwa Ujerumani ambayo ilinyang'anywa hadi nchi yetu, hapo ndipo Palestina ikaangukia kwa wakoloni wapya, waingereza.

Mauaji ya wayahudi Ulaya yakasababisha kuzaliwa kwa harakati za kuwarudisha kwao na kuanzisha taifa lao, harakati hizi zikaitikiwa vizuri na wayahudi wote duniani, wakanza kurudi Palestina lakini hii ikasababisha vurugu kati ya waarabu waliokuwa wakiishi pale na wayahudi waliokuwa wakirudi, vurugu hizi zikawafanya wakoloni waingereza kusimamishela harakati za wayahudi kurudi.

Nchini Ujerumani ikiwa inaongozwa na Hittler, Wayahudi milioni 6 waliuwawa kinyama (Holocaust), Kama Vita vya Pili vya Dunia havingeisha ama Mjerumani angeshinda na kuitawala ulaya basi wayahudi wote wangeuliwa Ulaya, Mauaji haya ya kutisha ya Ujerumani dhidi ya wayahudi yakarudisha tena harakati zile.

Lakini kadri wayahudi walivyokuwa wakirudi ndivyo vurugu baina yao na waarabu zikaongezeka pia nao Uingereza walikuwa na maslahi yao walipoitawala Palestina, waliwanyima wayahudi vibali vya kununua ardhi, kuweka ugumu wa kutoa vibali vya kuwaruhusu wayahudi wa Ulaya warudi Palestina sambamba na kukandamiza jitihada za wayahudi wanaopaza sauti kupewa eneo wawe na taifa lao.

Ni mpaka Mwaka 1947 umoja wa mataifa ukaandaa mpango wa kugawa ardhi ya Palestina ili kuwe na mataifa mawili, la waarabu ambalo litaitwa Palestina na la wayahudi ambalo litaitwa Israel, Mji wa Jerusalem ukaachwa kama ukanda huru kutokana na umuhimu wake katika dini zote tatu za eneo lile.
 
Umejitaid sana kuelezea safi.

lkn Wana story wanakataa hesabu ya milioni 6 kuwa ni uwongo !!

Wayahudi wa kipindi icho kama wamezidi ni 50000 tu!!!

kambi za meteso sio kubwa kuweza kukubaliana na watu milioni 6 wakae maeneo yale.

So kuna uwongo mwingi kwenye history ya Wayahudi!!.

Pale Ujerumani baada ya kuona kizazi cha sasa kinataka kufukunyua ukweli !!

Imebidi wapitishe Sheria ya kupinga mawazo mapya yoyote yanayopingana na kile kimeelezwa kwenye history ya Wayahudi.!!

lkn Wazungu wameshashtuka kuwa ilikuwa history yenye uwongo mwingi usiomisilika.✍️
 
Picha inaanzia mwaka 63 kabla ya kuzaliwa Kristu pale dola ya warumi ilipoivamia nchi ya wayahudi na kuitawala kama wakoloni, wakamtoa mfalme wa wayahudi, Hasmonean na kumuweka Herod madarakani. Wayahudi hawakukubali kutawaliwa hivyo wakapigana vita kadhaa za kutafuta uhuru, Mwaka 165 baada ya kuzaliwa Kristu, vita kali ilizuka lakini wayahudi wakashindwa tena na baada ya vita hii warumi wakaamua kuwafukuza wayahudi kutoka nchi yao.

Wakaibadilisha jina nchi hiyo na kuiita Palestina, hili ni neno la kigiriki ambalo maana yake ni 'vunja kabisa uhusiano kati ya wayahudi na ardhi yao', Wayahudi wakasambaa Ulaya ambayo ilikuwa chini ya Warumi, na hawakutakiwa tena kurudi.

Hiki kilikuwa kipindi ambacho ukristu ulikuwa unaanza kushamiri lakini warumi waliupiga vita, kuwa mkristu ilikuwa kosa kubwa sana ndani ya himaya ya warumi hadi karne ya nne pale mtawala wa warumi, Constantine alipoupokea na yeye kuwa Mkristo.

Constantine akausambaza katika himaya yote aliyoitawala na kuufanya ukristu kuwa dini rasmi ya warumi, Hii ilimaanisha kwamba sasa wazungu wataanza kujifunza ukristu na katika kujifunza wakagundua kwamba kumbe wayahudi ndiyo walimuua Yesu., Wakawachukia na kuanza kuwaua kila walipokuwepo.

Karne kadhaa baadaye himaya ya warumi ikaanguka na nchi ya Palestina pamoja na eneo lote la Mashariki ya Kati likaangukia chini ya tawala kadhaa za kiislamu za waarabu. Hapo ndipo Palestina ikakaliwa na waarabu, Utawala wa mwisho wa kiislamu ukawa wa himaya ya Ottoman, ambayo ilianguka baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia.

Ottoman ilipigana vita ya dunia upande wa Ujerumani, baada ya kushindwa, ikanyang'anywa makoloni yake yote kama adhabu, kama ilivyokuwa kwa Ujerumani ambayo ilinyang'anywa hadi nchi yetu, hapo ndipo Palestina ikaangukia kwa wakoloni wapya, waingereza.

Mauaji ya wayahudi Ulaya yakasababisha kuzaliwa kwa harakati za kuwarudisha kwao na kuanzisha taifa lao, harakati hizi zikaitikiwa vizuri na wayahudi wote duniani, wakanza kurudi Palestina lakini hii ikasababisha vurugu kati ya waarabu waliokuwa wakiishi pale na wayahudi waliokuwa wakirudi, vurugu hizi zikawafanya wakoloni waingereza kusimamishela harakati za wayahudi kurudi.

Nchini Ujerumani ikiwa inaongozwa na Hittler, Wayahudi milioni 6 waliuwawa kinyama (Holocaust), Kama Vita vya Pili vya Dunia havingeisha ama Mjerumani angeshinda na kuitawala ulaya basi wayahudi wote wangeuliwa Ulaya, Mauaji haya ya kutisha ya Ujerumani dhidi ya wayahudi yakarudisha tena harakati zile.

Lakini kadri wayahudi walivyokuwa wakirudi ndivyo vurugu baina yao na waarabu zikaongezeka pia nao Uingereza walikuwa na maslahi yao walipoitawala Palestina, waliwanyima wayahudi vibali vya kununua ardhi, kuweka ugumu wa kutoa vibali vya kuwaruhusu wayahudi wa Ulaya warudi Palestina sambamba na kukandamiza jitihada za wayahudi wanaopaza sauti kupewa eneo wawe na taifa lao.

Ni mpaka Mwaka 1947 umoja wa mataifa ukaandaa mpango wa kugawa ardhi ya Palestina ili kuwe na mataifa mawili, la waarabu ambalo litaitwa Palestina na la wayahudi ambalo litaitwa Israel, Mji wa Jerusalem ukaachwa kama ukanda huru kutokana na umuhimu wake katika dini zote tatu za eneo lile.
We piga porojo tu
 
Attachments

  • IMG_20251225_105959_406.jpg
    IMG_20251225_105959_406.jpg
    51.9 KB · Views: 27
Wayahudi ni taifa. Linalotokana na taifa la Judea. Baada ya taifa la Israel kugawanyika na kuwa mataifa mawili. Israel na yuda.
Israel ni jina jingine la yakobo, baada ya kumzidi Mungu nguvu kwenye mpambano wa mieleka, Judea ilikuja baada ya imani ya kiyahudi,ni kama leo Islamabad idaiwe kuwa taifa la waislam
 
Sio Kila MTU anaamini Biblia hivyo haiwezi kuwa Rejea ya haja katika mgogoro huo.

Hata humo kwenye bible hao wayahudi walikuta Wenyeji katika nchi hiyo.
So wao ni Waebrania(wasafiri) katika mataifa ya watu
Hao si wanatokana na muebrania(mhamaji) Ibrahim, Ibrahim alikuta watu hapo
 
Back
Top Bottom