camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Watu wa Palestina, Lebanon, Jordan, Syria ni kizazi wa karibu wa watoto wa Israeli walikuwepo hapo toka zamani. Kuna baadhi yao walikuja hapa kutoka Uarabuni na sehemu nyingine za dunia baada ya muda. Lakini kwa walio wengi, hao ndio wazao wa kweli. Sasa unaweza kujiuliza, kwa nini wote si Wayahudi basi? Jibu ni rahisi sana, babu zao walirejea Uislamu kutoka katika dini yao wakati wa kuuteka Uislamu, wakaoana na hivyo ndivyo walivyo kuwa Waislamu. Na bado kulikuwa na Mayahudi, Wakristo katika nchi hizi wanaoishi pamoja na Waislamu waliorudi nyuma na wao ni wamiliki wa kweli wa ardhi hii pia. Hata DNA zao zinathibitisha point yangu chunguzi wao wa DNA unaonyesha kuwa wanahusiana zaidi na wale wa zamani ambao waliishi hapa (Walawi, Wakanaani, nk)
Lakini ni kinyume kabisa na Waisraeli wa kisasa wakimbizi waliokuja kuishi hapa kwenye hilo taifa walilo litengeneza Waingereza mwaka 1948 hao Wayahudi wa ashkenazi. Wanajitangaza kuwa wao ni kizazi cha wana wa Israeli lakini wengi wao si kweli. Ndio maana hawaruhusiwi kupima DNA zao kwa sababu haiko karibu hata kidogo
Tazama video hi utapata angalau mwanga.
View: https://youtu.be/thWFCrl6ZiU
Yote tisa ukweli ni hivi Bani Israel walikuwa Waislamu wakati wa Yesu na watoto wa Israel waligawanyika wengine walimkataa Yesu ambao ni Majews au ukasema Wayahudi na Wengine walikuwa Nasarah au Wakristo ambao walimkubali Yesu.
Je hao wanao jiita Wakristo walifata mafunzo ya Yesu wapo na ndio wakawa Waislam na wengine wakafata mafunzo tofouti na mafunzo ya Yesu ambao ni kina Paulo
Acha porojo umefunga buana!
Bandiko lako halisuportiwi na historia!