baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Wajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.View attachment 3555308
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
- Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
- Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
- Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
- Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Wapagani wa Roma ndiyo waliandika hicho kitabu kisha kikahaririwa mara kibao kadiri siku zilivyoendaunataka kubishana na Roho wa Mungu?
Uyahudi ni Dini, Yemen kuna wayahudi ambao asili yao kwa Nguvu walibadilishwa dini toka Ukristo kwenda uyahudi, Kabla mtume hajakuja.Wayahudi ni taifa. Linalotokana na taifa la Judea. Baada ya taifa la Israel kugawanyika na kuwa mataifa mawili. Israel na yuda.
Pia wayahudi hawa wanaotesa watu sasa "Zionist" walikua na agreement na Hitler, si kila Jews ni Zionist na kuna Jews wengi waliokataa kujiunga na Zionist waliuliwa, na hata hao Jews waliopona Ujerumani wengi wapo upande wa Palestine.Umejitaid sana kuelezea safi.
lkn Wana story wanakataa hesabu ya milioni 6 kuwa ni uwongo !!
Wayahudi wa kipindi icho kama wamezidi ni 50000 tu!!!
kambi za meteso sio kubwa kuweza kukubaliana na watu milioni 6 wakae maeneo yale.
So kuna uwongo mwingi kwenye history ya Wayahudi!!.
Pale Ujerumani baada ya kuona kizazi cha sasa kinataka kufukunyua ukweli !!
Imebidi wapitishe Sheria ya kupinga mawazo mapya yoyote yanayopingana na kile kimeelezwa kwenye history ya Wayahudi.!!
lkn Wazungu wameshashtuka kuwa ilikuwa history yenye uwongo mwingi usiomisilika.✍️
Baada ya kifo cha Solomon, ufalme uliokuwa mmoja wa Israeli uligawanyika kuwa falme mbili: Ufalme wa Israeli (kaskazini) na Ufalme wa Yuda (kusini). Mgawanyiko huu unatokana na uasi wa makabila kumi dhidi ya mwana wa Sulemani, Rehoboam. Makabila hayo yakamchagua Jeroboam I kuwa mfalme wao. Tukio hili linaelezwa katika 1 Kings 12:16–20, ambapo inaandikwa kwamba Israeli walikataa utawala wa ukoo wa Daudi na kumtawaza Yeroboamu kuwa mfalme wao.nitajie wafalme wa yudea unaowajua, je yudea na israel hizo falme hazikuwahi kupigana? Ainisha maeneo ya utawala wao. Je samaria ilikuwa upande wa ufalme upi?
kweli kabisaPia wayahudi hawa wanaotesa watu sasa "Zionist" walikua na agreement na Hitler, si kila Jews ni Zionist na kuna Jews wengi waliokataa kujiunga na Zionist waliuliwa, na hata hao Jews waliopona Ujerumani wengi wapo upande wa Palestine.
unajisikiaje dini yako pendwa ilianzishwa na haohao unaowaita wapagani?Wapagani wa Roma ndiyo waliandika hicho kitabu kisha kikahaririwa mara kibao kadiri siku zilivyoenda
Wapagani waanzishe dini imenyooka vile!?.. unaugua akili!?unajisikiaje dini yako pendwa ilianzishwa na haohao unaowaita wapagani?
we mjuba vipi? We si unaamini dini iliyoanzishwa vatican karne za hivi karibuni? Kasome kitabu HOW VATICAN CREATE ISLAM. Naona unaleta ushabiki wa kidini tu huku hujui mambo mengi ya dunia hiiWapagani waanzishe dini imenyooka vile!?.. unaugua akili!?
Vatican,iliyoamini dunia haizunguki jua na kumnyonga Galileo,ikaanzishe dini yenye kitabu chenye scientific facts!?..siyo kila chapisho ni la kweliwe mjuba vipi? We si unaamini dini iliyoanzishwa vatican karne za hivi karibuni? Kasome kitabu HOW VATICAN CREATE ISLAM. Naona unaleta ushabiki wa kidini tu huku hujui mambo mengi ya dunia hii
kwani uislam umetoka wapi wakati una mambo yanayofanana na kitabu kile kikubwa?Vatican,iliyoamini dunia haizunguki jua na kumnyonga Galileo,ikaanzishe dini yenye kitabu chenye scientific facts!?..siyo kila chapisho ni la kweli
Yaani Vatican waanzishe dini watayopambana nayo hadi kumwaga damu!?..tumieni akili
Watu wa Palestina, Lebanon, Jordan, Syria ni kizazi wa karibu wa watoto wa Israeli walikuwepo hapo toka zamani. Kuna baadhi yao walikuja hapa kutoka Uarabuni na sehemu nyingine za dunia baada ya muda. Lakini kwa walio wengi, hao ndio wazao wa kweli. Sasa unaweza kujiuliza, kwa nini wote si Wayahudi basi? Jibu ni rahisi sana, babu zao walirejea Uislamu kutoka katika dini yao wakati wa kuuteka Uislamu, wakaoana na hivyo ndivyo walivyo kuwa Waislamu. Na bado kulikuwa na Mayahudi, Wakristo katika nchi hizi wanaoishi pamoja na Waislamu waliorudi nyuma na wao ni wamiliki wa kweli wa ardhi hii pia. Hata DNA zao zinathibitisha point yangu chunguzi wao wa DNA unaonyesha kuwa wanahusiana zaidi na wale wa zamani ambao waliishi hapa (Walawi, Wakanaani, nk)View attachment 3555308
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
- Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
- Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
- Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
- Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
musa alikuwa mwaebrania, mbona wapelistina si waebrania? Na si wayuda? Labda mngesema ni wafilisti, wayebusi, wahiti mgeelewekaWajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.
Scientific studies zinaonesha Wapalestina wa Leo Wana same DNA na wayahudi walioshi wakati wa Yesu Na Musa.
Sababu MTU katoka Ulaya anajiita myahudi haimfanyi yeye kuwa ni descendant wa Musa.
Kitabu kikubwa kinachosema Mungu alipigana mieleka na binadam na akashindwa?kwani uislam umetoka wapi wakati una mambo yanayofanana na kitabu kile kikubwa?
Usipotoshe. Neno "Judea" limetokana na jina la Yuda mwana wa nne wa Yakobo, ambaye alikuwa mwanzilishi wa kabila hilo.Israel ni jina jingine la yakobo, baada ya kumzidi Mungu nguvu kwenye mpambano wa mieleka, Judea ilikuja baada ya imani ya kiyahudi,ni kama leo Islamabad idaiwe kuwa taifa la waislam
Tatizo lao walisilimu wakati wa Jihad karne ya 6Wajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.
Scientific studies zinaonesha Wapalestina wa Leo Wana same DNA na wayahudi walioshi wakati wa Yesu Na Musa.
Sababu MTU katoka Ulaya anajiita myahudi haimfanyi yeye kuwa ni descendant wa Musa.
Walianza kubadili dini toka wakati wa Yesu na kuwa wakristo kabla hawajawa waisilamu, Hilo haliwafanyi wao wasiwe Israelite wa zamani wala kuwafanya Ardhi isiwe yao.Tatizo lao walisilimu wakati wa Jihad karne ya 6
Wapalestina ni waarabu!Wajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.
Scientific studies zinaonesha Wapalestina wa Leo Wana same DNA na wayahudi walioshi wakati wa Yesu Na Musa.
Sababu MTU katoka Ulaya anajiita myahudi haimfanyi yeye kuwa ni descendant wa Musa.