Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

Acha porojo umefunga buana!
Bandiko lako halisuportiwi na historia!
 
musa alikuwa mwaebrania, mbona wapelistina si waebrania? Na si wayuda? Labda mngesema ni wafilisti, wayebusi, wahiti mgeeleweka
Wafilisti ni wagiriki they have nothing to do na Wapalestina wa sasa. Wapalestina wa sasa ndio waebrania wa zamani. Pamoja na watu wa Lebanon, Syria na Jordan. Tafiti kibao zimefanya ni suala kila MTU analijua. Hakuna Tofauti yoyote baina ya Mpalestina muisilamu, Mpalestina mkristo na Mpalestina myahudi.

Hao mnaowaita wa Samaritan hawaoani na MTU na ndio watu wenye DNA Kali ya Ki ebrania, moja ya tafiti ni hii

Ukiangalia hapo Makundi mbalimbali ya huo Ukanda wote Wana DNA Kali ya Ki Israelite, Samaritan wakiongoza na wengine wakiwa hawapo mbali. Hapo ndio wayahudi halisi wa zamani ambao wamekaa hapo maelfu ya miaka na sasa hivi wanauliwa na wayahudi toka Ulaya ambao hawana claim yoyote na hio Ardhi.
 

Uyahudi ni utaifa na hapohapo ni Dini.

Mtu anaweza akawa myahudi na hapohapo dini Yake isiwe myahudi
 
Wapalestina ni waarabu!
Acha uongo umefunga
Wapalestina si Waarabu wa asili hakuna Utafiti ama chanzo chochote cha academic na hata common sense kinachoonesha hivyo.

Kuanzia mavazi, makazi, vyakula, mentality na kila kitu hawafanani na waarabu wa Gulf.

Comment ya juu nimeweka scientific study inavyoonesha DNA za Wapalestina.
 
Israel ni jina jingine la yakobo, baada ya kumzidi Mungu nguvu kwenye mpambano wa mieleka, Judea ilikuja baada ya imani ya kiyahudi,ni kama leo Islamabad idaiwe kuwa taifa la waislam

Judea inatokana na kabila la Juda wala haihusiani na dini.
 
Pale Israel the so called wapalestina si wazawa ni wavamizi walioletwa na uislamu!
Ni waarabu na lugha yao ni kiarabu!
 
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
Sawa rudi Mwanzo 13 je hiyo ardhi ilikua ya nani hadi Abraham akatolea fungu la kumi? Maana alikuta kuna wakaaji kabisa wenye ardhi yao.

Na ardhi alipewa Abraham sio waisrael nashangaa kwanini waisrael wamejimilikisha!!
 
Tafiti hupingwa na tafiti mwenzake, nimeweka utafiti wangu, naomba na wewe leta evidence ya unayoclaim.
Mzee umejifungia kwenye dimbwi la ngano za.mwamedi zinazolenga kujinasibisha na wayahudi ili kumpa mwamedi legitimacy ya prophetic lineage.
Hebu soma historia nje ya ngano za biblia na Quran.
Tafiti ingekuwa indepent na ufia dini ningeikubali.
Mbona historia iko wazi kabisa kaka?
Wapalestina hawaongei kihebrania Wala si wayahudi ni waarabu!
 
Wapi nimeongelea mambo ya Dini na Quran? Nimeleta utafiti wa kisayansi, we unajitungia mambo mengine kabisa na kusema nimeongea Mimi, lete tafiti yoyote unayoijua wewe kwamba Wapalestina wanaongea kiarabu basi ni waarabu kibaolojia, Sudan, Somalia, wote wanaongea Kiarabu, Sudan kusini Hadi Arab cup wanashiriki nap ni waarabu sababu wanaongea kiarabu?
 
lkn Wana story wanakataa hesabu ya milioni 6 kuwa ni uwongo !!

Wayahudi wa kipindi icho kama wamezidi ni 50000 tu!!!

kambi za meteso sio kubwa kuweza kukubaliana na watu milioni 6 wakae maeneo yale.
Uongo huu.
Kuna vyanzo vingi independent vinavyothibitisha..
=======================
HOLOCAUST

There is substantial, independent, and tangible evidence supporting the estimate that approximately 6 million Jews were killed during the Holocaust. This figure is not based on a single, comprehensive list, but on a combination of Nazi documentation, demographic studies, and forensic evidence collected after World War II.

While the exact number is impossible to calculate down to the last individual due to the destruction of records by the Nazis, mainstream historians place the figure between 5.1 and 6 million.

TANGIBLE INDEPENDENT EVIDENCE

1. Nazi Documentation:
Despite efforts to destroy evidence, the Nazis kept meticulous records of deportations and killings. Captured German documents, such as the "Korherr Report" (named after SS statistician Richard Korherr), tracked the reduction of the Jewish population.

2. Railway Transport Records:
Records of payments for train transport to death camps (like Treblinka, Sobibor, and Auschwitz) allow historians to calculate the number of people deported.

3. Demographic Data:
Before-and-after demographic studies comparing European Jewish population censuses (approx. 9.5 million in 1933) with post-war figures (approx. 3.5 million in 1950) show a disappearance of roughly 6 million people.

4. Forensic Evidence and "Killing Centres":
Archaeological and forensic studies at camps like Sobibór have identified the remains of victims, with DNA analysis confirming their identity as Ashkenazi Jews.

5. Names Database:
Yad Vashem, the World Holocaust Remembrance Center, has documented over 4.5 million names of individual Jewish victims, with the list continuously growing through research.

6. Testimonies:
Postwar trials, such as the Nuremberg Trials, utilized testimonies from both survivors and perpetrators, including Auschwitz commandant Rudolf Höss, who detailed the scale of the killings.

7. Verification:
The 6 million figure is supported by multiple independent sources, including international commissions of inquiry (such as the 1946 Anglo-American Commission) and reputable historians like Raul Hilberg.
 
nani anapeleka muslims to Christian countries? hapo ndipo ninapoamini kwamba islam ilianzishwa na catholic church, ni inside job, leo hii karibia nchi zote za ulaya na marekani kuna uvamizi wa muslims na islam, swali nani anawaleta? kwa mfano nani alipeleka wasomali minessota amabo wanaleta shida kubwa sana huko? na kwa nini? somali ya muslims through and through, hata aliyeleta muslims tanzagiza ni english monarchy pia, iweje london iwe na mayor muslim na karuhusu hilo?

muslim mayor of new york mamdan na police wakiomba dua kwa allah, who allows this?




waziri kombo (muslim) kwa Papa Mkuu wa Kanisa Katoliki Vatikani

 
Sasa wakiwa hizo sehemu ndugu wewe kipi kinakuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…