Mimi nakuuliza sasa kipi kinakuumiza
Uislamu ni mfumo wa maisha kwa ujumlaislam ni political movement na siyo dini kama wengi wanavyodhania ...
View: https://x.com/amuse/status/2027042669474488615?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2027042669474488615%7Ctwgr%5Ed501ad3117aad6edd78c294ea5a2be1b4fa6ffdf%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fpolitical%2Fwatch-dsny-heads-supplicate-allah-mayor-mamdani-coercive-islamic-ritual
Biblical prophecy ipi?
Uislamu ni mfumo wa maisha kwa ujumla
Hivi kuna political movement inayohusisha mtu kuswali,kufunga au kukaa ndani peke yake na kufanya dhikr?
Zungumzia facts achana na hizo posts sasa hapo mimi nitaamini vipi kama ni kweli?
Kama hicho ulichoweka ni utafiti basi naomba nikupuuze!Wapi nimeongelea mambo ya Dini na Quran? Nimeleta utafiti wa kisayansi, we unajitungia mambo mengine kabisa na kusema nimeongea Mimi, lete tafiti yoyote unayoijua wewe kwamba Wapalestina wanaongea kiarabu basi ni waarabu kibaolojia, Sudan, Somalia, wote wanaongea Kiarabu, Sudan kusini Hadi Arab cup wanashiriki nap ni waarabu sababu wanaongea kiarabu?
Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Hakuna mahali popote Biblia inasema Mungu aliumba Wayahudi na wasio Wayahudi. Hii distinction ni artificial labels ambazo zimekuwa invented na wanadamu.View attachment 3555308
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
- Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
- Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
- Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
- Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Lakini hawa wa leo DNA inawakataa.....View attachment 3555308

Lakini waliopo si wenyewe DNA inagoma....View attachment 3555308
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
- Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
- Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
- Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
- Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Kobaz kwa kujifariji tu.Wajukuu wa Musa ndio Wapalestina wa Leo, Musa hakua Mzungu so is hao wayahudi wa Zamani.
Scientific studies zinaonesha Wapalestina wa Leo Wana same DNA na wayahudi walioshi wakati wa Yesu Na Musa.
Sababu MTU katoka Ulaya anajiita myahudi haimfanyi yeye kuwa ni descendant wa Musa.
Jitu jeusi tena. Dah haya bana ukifa itabadilika kuwa liarabu.Wafilisti ni wagiriki they have nothing to do na Wapalestina wa sasa. Wapalestina wa sasa ndio waebrania wa zamani. Pamoja na watu wa Lebanon, Syria na Jordan. Tafiti kibao zimefanya ni suala kila MTU analijua. Hakuna Tofauti yoyote baina ya Mpalestina muisilamu, Mpalestina mkristo na Mpalestina myahudi.
Hao mnaowaita wa Samaritan hawaoani na MTU na ndio watu wenye DNA Kali ya Ki ebrania, moja ya tafiti ni hii
View attachment 3555649
Ukiangalia hapo Makundi mbalimbali ya huo Ukanda wote Wana DNA Kali ya Ki Israelite, Samaritan wakiongoza na wengine wakiwa hawapo mbali. Hapo ndio wayahudi halisi wa zamani ambao wamekaa hapo maelfu ya miaka na sasa hivi wanauliwa na wayahudi toka Ulaya ambao hawana claim yoyote na hio Ardhi.
Sawa rudi Mwanzo 13 je hiyo ardhi ilikua ya nani hadi Abraham akatolea fungu la kumi? Maana alikuta kuna wakaaji kabisa wenye ardhi yao.
Na ardhi alipewa Abraham sio waisrael nashangaa kwanini waisrael wamejimilikisha!!
View attachment 3555308
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu:
Hakuna kitu kinaitwa Palestina, waarabu ni wavamizi tu wakati wa enzi za jihad
- Kusini: Huanzia Bahari ya Chumvi, kupita jangwa la Zini hadi kijito cha Misri na kuishia Bahari ya Kati.
- Magharibi: Mpaka huu ulikuwa Bahari Kuu (Bahari ya Kati).
- Kaskazini: Kutokea Bahari ya Kati kuelekea Mlima Hori, mpaka Hamathi na kuishia Sefami.
- Mashariki: Kutokea Sefami, mpaka mteremko wa Bahari ya Kinerethi (Galilaya) na kufuata mto Yordani hadi Bahari ya Chumvi.
Mwanzo 15:18 Siku ile Bwana akafanya agano na Abramu, akasema, Uzao wako nimewapa nchi hii, kutoka mto wa Misri mpaka huo mto mkubwa, mto Frati,Enhee... usitoe historia za upande mmoja tu ili kubeba agenda zako...
na Mwanzo 15 : 18 imesemaje ? Middle East yote wamepewa wao! Kuazia Mto Nile mpaka Mto Euphrates ( Iraq kule)
Sasa tushike lipi tuache lipi ??
2. Kuhusu Palestinians kuvamia eneo. Jibu hili:
Wakati wana wa Israeli wanapewa Kanaani, au Middle East yote ( Mwanzo 15 ) eneo hilo palikuwa ni kama mapori ya Mabwepande ??? Kina nani walikuwepo hapo ?????
Mussa alikuwa mchina?Mussa