Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

Ye si anajifanya kuzuia taarifa na picha zisipigwe acha atembezewe kichapo kimya kimya akizidiwa taarifa atatoa mwenyewe
 
Iran amewambia waisrael wanao ishi Haifa na Tela Aviv Leo inanza adhabu waondoke


View: https://youtu.be/oL1cWgtADwg?si=wD0KjzGDu6lLeZ7M

Uingereza imetoa report bada ya siku 12 isipo ingia USA kwenye vita direct, Israel atacharazwa vibaya sana sabubu Iron dome haitawasaidia kabisa


View: https://youtu.be/rxxK3ZR3g9U?si=zPw-4218TenGm70R

Haha wa Israel wametii agizo la Iran wameanza kukimbia nchi kuishi chini ya ardhi kama panya wameshindwa


View: https://www.instagram.com/reel/DLCfGFwPluO/?igsh=MWV4eXgzZmR5YWps
 
Back
Top Bottom