Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

Walokole ni watu wa hovyo ambao sijawahi kupata kuwaona kwenye hii sayari🤔
Wapo nilio soma nao wana akili lakini wa humu JF hawa wengi wao walilewa kwenye mabanda ya kuuza pombe za kienyeji ndio sababu nawaita makenge.

Mtu mwenye akili atasema hilo taifa la Israel ni teule hahaha na hakuna taifa linafanya genocide kama wao, hakuna taifa linashangilia ushoga kama hao hivi vipenzi wa Mungu watakuwa na sifa hizo hahaha
 
Japo naomba usiongolee pombe kwa ubaya bwashee ila naunga mkono hoja yako 100%
 
Back
Top Bottom