Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

Nani anayempiga? Wale magenerali sasa hivi wako busy na wale 72. Mpaka wawamalize ni leo kweli?😂😂😂😂
Sasa kama wanazisakata bikra hapo hakuna tatizo kabisa bwashee , wewe kaa tulia angalia tu luninga yako
 
Chancellor wa Ujerumani amenululiwa akisema Israel inafanya kazi chafu kwa manufaa ya dunia nzima.

Kwamba Iran imeua watu wengi sana kwa mbinu za kigaidi hivyo ni wakati wa kusafisha ugaidi.

Anyway... Hivi Houth na Hezbollah wapo?
 
Mnavyopenda propaganda mpaka leo mshindwe kuwaonyesha hao Pilots? Mbona hao majasusi fake wa Mossad mnawaonyesha
Sawa tulia wameonyesha F35 mkasema oh hizi video hazifahamiki walitaka kuwaonyesha mapilot kwenye tv ya Iran mkakimbilia kuipiga station hahaha

Anyway leo mtaipata hakuna kulala mtu hapo Haifa na Tela Aviv
 
Nani anayempiga? Wale magenerali sasa hivi wako busy na wale 72. Mpaka wawamalize ni leo kweli?😂😂😂😂
Wewe ukiniletea Qur'an inasema kuna bikra 72 mimi naingia ukristo leo hii hii, lakini najua wewe akili zako zipo kama dengu huna ulijualo. Netanyahu alijisifia ka control anga la Iran sababu kuna vichaa kama wewe hawajui lolote wanamuamini.
 
Huyo muongo anaongea vitu gani, anaongea utafikiri anataka kutapika. Bure kabisa.
 
Sasa kama wanazisakata bikra hapo hakuna tatizo kabisa bwashee , wewe kaa tulia angalia tu luninga yako

Amebakia mzee anapiga mikwala...more than 12 generals wanatusua tu kama hawana akili nzuri.
Kazi nzito sana hiyo😂😂😂😂
 
Wewe ukiniletea Qur'an inasema kuna bikra 72 mimi naingia ukristo leo hii hii, lakini najua wewe akili zako zipo kama dengu huna ulijualo. Netanyahu alijisifia ka control anga la Iran sababu kuna vichaa kama wewe hawajui lolote wanamuamini.

Unakataa tena wakati ndicho twafunzwa?😂😂😂😂

Common, Iran hamuwezi Israel. Kama makamanda wale wote wameuwa, inamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom