Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Ilitoangusha ni drone ya Hermes 900 na tumeiona ila hizo f35 ziko wapi? Tuonyesheni kama mlivyoonenyesha hiyo drone mliyoangusha Janaπ
Iran anasema kisha piga tano na atawaonyesha mapilot karibuniKila F 35 ikitia pua Iran chali
Hawana lolote hao kelele nyingi Trump alikimbia Yemen na alitumia maboom yote mpaa hilo wanalita MOP lenye ton 13Zimeangushwaje tena wakati jana trumpeti alitamba kukontrol anga la iran
Hahahaha sahihi kabisa wanatupigia tu makelele hakuna loloteHawana lolote hao kelele nyingi Trump alikimbia Yemen na alitumia maboom yote mpaa hilo wanalita MOP lenye ton 13
Sawa Mkuu sisi walokole wa ufufuo na uzima tupo pale tunasubiria kichaka kifyekwe rasmiπ πIsrael apigwe tu ili hiki kichaka cha walokole kifekwe rasmi.
Na mtaliwa vichwa kwelπSawa Mkuu sisi walokole wa ufufuo na uzima tupo pale tunasubiria kichaka kifyekwe rasmiπ π
Hongera umeingia kwenye list ya watu waliojishindia soda ya bure kutoka kwangu kwa kuandika comment niliyoipendaIsrael apigwe tu ili hiki kichaka cha walokole kifekwe rasmi.
Haha wa Israel wametii agizo la Iran wameanza kukimbia nchi kuishi chini ya ardhi kama panya wameshindwaIran amewambia waisrael wanao ishi Haifa na Tela Aviv Leo inanza adhabu waondoke
View: https://youtu.be/oL1cWgtADwg?si=wD0KjzGDu6lLeZ7M
Uingereza imetoa report bada ya siku 12 isipo ingia USA kwenye vita direct, Israel atacharazwa vibaya sana sabubu Iron dome haitawasaidia kabisa
View: https://youtu.be/rxxK3ZR3g9U?si=zPw-4218TenGm70R
Mnavyopenda propaganda mpaka leo mshindwe kuwaonyesha hao Pilots? Mbona hao majasusi fake wa Mossad mnawaonyeshaIran anasema kisha piga tano na atawaonyesha mapilot karibuni
View: https://youtu.be/3fVB8ua2xwI?si=BEZ8NzOsJRGqTxle